kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,177
- Thread starter
- #501
Nilikataa since sebuleni sema akawa amefosi kunibebaBado umeniacha njiani, mimi bado najiuliza alikubeba kukupeleka chumban kwake, yaan ukakubali kabisa kubebwa!😇 Kuna namna ulikuwa dilema, kwa akili ya kijasusi ulipokuwa seblen ulikuwa 70% kukubali ila ulipofika chumban ndo akili ikakurud ukajikuta unakataa