Nilimuamini nikaenda kwake akataka kunibaka

Nilimuamini nikaenda kwake akataka kunibaka

Mwanamke Hawezi ata kukufanya rafiki kama huna kitu ndani yako.

Mwanamke mpk kakuita rafiki kuna vigezo umekidhi ambavyo kuptia hvyo vigezo ni rahisi kuwa mume kwake.

Shida sio Wewe shida ni kwa Jamaaa angu,alikurupuka sana DAY ONE badala hata aigizeeee utakatifu st tomas anashindwaaa
Huyu kijana ni mpambanaji ndiyo maana nilitamani awe rafiki ila nilivyoona tabia zake hizi sitaki tena mazoea naye
 
Utakua kimbao mbao au nyee zili kukaa pia sema mwamba ali chelewa tu hesabu , hadi una pelekwa chumbani ndio una shtuka ,ili bidi ushtuke mboo ikiwa ndani
😂😂😂duh! Huo ubakaji sasa na ningepiga kelele ningemzalilisha
 
Tatizo lenu Huwa hamjui kusoma wanaume. Huwa mnawanyima wanaowapenda kwa dhati na wenye malengo ya maana mnaenda kuwapa wajinga wajinga ambao mwisho wa sikunazaa na masanii yanayoishi maisha ya kuingiza. Ungempa tu huyo anaonekana alikuwa serious na alipnyesha viishara kwako ambavyo hukuvisoma
Hapo ataenda pewa mimba na kuzaa na dereva wa gari la halimashauri ambae amezaa na wanawake tofauti,atazaa na mume wa mtu mwenye ndoa yake, atazaa na dalali wa magari ambae hana pesa ila mikwara mingi na anatembea na magari ya wateja, atazaa, atazaa na mtu yoyote ambaye hayupo serious ili tu aje kusema wanaume ni mbwa,kumbe na yeye ni mbwa iliyokuwa inatafuta mbwa nyenzake huku inakwepa binadamu.
 
Back
Top Bottom