Nilimuamini nikaenda kwake akataka kunibaka

Nilimuamini nikaenda kwake akataka kunibaka

Kwa ninavyomjua mdogo wangu huyu hacheki na yoyote lazima alimpa kipapa..!! 😹😹
Hapa anaogopa tu kusema tutamuona maharage ya Mbeya.
Ya mbeya si ndio mazuri hutumii mkaa mwingi au?? tena mboga ya haraka kama dagaa
 
Eti ulimuona kama kaka yako? Uende kwake, ule ushibe, unafurahia usafiri wake, akufanyie yote hayo kwa lipi hasa? Wewe ndio ulimtega, alafu unateguliwa unaanza kelele
 
Eti ulimuona kama kaka yako? Uende kwake, ule ushibe, unafurahia usafiri wake, akufanyie yote hayo kwa lipi hasa? Wewe ndio ulimtega, alafu unateguliwa unaanza kelele
Wala sikumtega yeye ndiye aliyenilazimisha
 
Tulishasema sana hakuna urafiki wa mwanamke na mwanaume,tena kutembeleana geto,
Utabakwa njia mbili endelea na ujinga wako
 
Bado umeniacha njiani, mimi bado najiuliza alikubeba kukupeleka chumban kwake, yaan ukakubali kabisa kubebwa!😇 Kuna namna ulikuwa dilema, kwa akili ya kijasusi ulipokuwa seblen ulikuwa 70% kukubali ila ulipofika chumban ndo akili ikakurud ukajikuta unakataa
 
Back
Top Bottom