Nilimthamini sana, kumbe ananiona mjinga, akaamua kunidhalilisha

Nilimthamini sana, kumbe ananiona mjinga, akaamua kunidhalilisha

Pole kk ila chkulia poa 2..mm wang kazalishwa kabsa na mahali katolewa mahali January ilyopita nkimuulza ananiambia imetokea bahat mbaya..anachonshngaza mm anantafuta kam bado mpnz wake na pasaka alinikuta bar nakula biaa akaniagzia za kutosha tu

Hivi hawa wanawake huwa wanafikiria nini haswa?
 
Pamoja na hayo sikushauri ulipize kisasi sasa achana naye wekeza Akili na nguvu zako kwenye harakati za maisha yako.

Ila kuna muda ambao naamini kisasi chako kitalipizwa sio Leo wala kesho but wewe usikitafute maana yawezekana kikakuvaa na wewe

Malipo hapahapa duniani ...kua mvumilivu tu
 
Don't let mistakes and disappointments of the past control and direct your future.....inauma ndio, but you need to let it go

Love matters revange is for the weak, achana nae tupa kule mbona anamambo muhimu ya kufanya kuliko hili. Amwache aishi maisha aliyochagua, tena amshukuru Mungu kumuondolea kahaba huyo. Vinginevyo angeolea wenziwe wenye nazo kumzidi.
 
Duh, pole.sana mkuu. Hata sijui nikushauri nini, lakin chochote utakachoamua juu ya huyo mtu nitakussuport.
 
Ila hii ishu ya jamaa inanikumbusha msemo wa mwana FA "alilala na bibi harusi siku moja(jamaa ilikua wiki) kabla ya harusi na wala si bwana harusi ...bado unanishauri harusi" ..daah hata mi ntakua niponipo sana hhahaahahah!
 
Pole sana mkuu, yaliyokutokea hayana tofauti sana na yaliyonipata mimi about a month ago.

Namshukuru Mungu maisha yanaendelea kama kawa...
 
ukitaka kujua mwanamke huyu hafai,aliyemuoa naye yuko hapo juu,jifunze kuchukua maamuzi magumu hasa kwa wanawake, they need a very constructive and smart move.
 
Nikutoe wasiwasi tu kuwa hii sio story ya kutunga. Imenitokea mimi mwenyewe.
Asante pia kwa ushauri wako, mapenzi yamenicost sana haswa muda umepotea mno.

Mimi nakushauri tulia bila kuwa na mpenzi hata zaidi ya Mwaka,..utasahau tu bro!...
 
Hujasoma post yote.. Usilazmshe kucomment kama ww ni mvivu wa kusoma, unatoaje ushauri kwa kichwa cha habari? Unakijua kilchozungumzwa ndan??

ID yako nimeipenda,..nitafutie avatar inayoendana na ID yako bro..
 
Marhaba hujambo atoto njuri,...

Mweee kumbe wewe ndio mapenzi!! Afadhali leo nimukutana nawewe nikuulize maswali yangu, hivi kwanini unatesa watu hivi?? Cant you grow up and start solving yo own problems?? Maana watu wamechoka sasa, tafadhali mapenzi jibu maswali hayo kwanza.
 
Pole sana kaka angu,hauna cha zaidi hapo bali kusamehe na kuachilia. Samehe tu kisasi ni cha Mungu mwenyewe.
 
Back
Top Bottom