Nilimthamini sana, kumbe ananiona mjinga, akaamua kunidhalilisha

cha kwanza twende tukadai laki nne yetu mbele ya mume wake..unaenda kueleza hali halisi ilivyokuwa na jinsi demu alivyokuwa anawachezea akili nyie wote..mana alijua anaolewa lakini still wiki moja kabla ya ndoa alikuwa kwako akikujaza ujinga na huyo bwana ake sijui alikuwa anamuaga vipi..ushaidi wa msg si unao?

Hakuna.cha kwenda kudai hela potezea tu kijana kiumri utakuwa na miaka 24 au 26 kama sijakosea maana navyoona uko below 30 bado unanafasi ya kuanzisha mahusiano mapya
 
cha kwanza twende tukadai laki nne yetu mbele ya mume wake..unaenda kueleza hali halisi ilivyokuwa na jinsi demu alivyokuwa anawachezea akili nyie wote..mana alijua anaolewa lakini still wiki moja kabla ya ndoa alikuwa kwako akikujaza ujinga na huyo bwana ake sijui alikuwa anamuaga vipi..ushaidi wa msg si unao?

Kaka ushahidi upo wa kutosha..
Tukiongozana hiyo laki 4 tunagawana..vipi upo dar?
 
Nzi Chuma

Dogo penati ulipiga, kona ukapiga na kuunganisha mwenyewe. Laki nne pesa ya mboga muhulize mama tibaijuka atakwambia. Hiyo ajali safarini unachukua kifaa kingine mzuri Mara kumi yake hadi ukimuona unatabasamu mwenyewe
 
Last edited by a moderator:

Kaka ntafanya hvyo
 
Jifunze kumshukuru Mungu hujui amekuepushia nini!mshukuru Mungu utakuja ikumbuka hii comment
 
Mimi nataka nimroge akose ndoa yake afu arudi kwangu na mimi nimkatae.. Ili ajue uchungu ulivyo

hahaaaaaaa mkuu umenifurahisha japo kuwa natambua maumivu yako...
umemifanya nicheke kwa saut...
ila pole bwana..
zid kumuomba Mungu akufanyie wepes.
 
Mpaka sasa naongea nae kwa upole sana, natamani ajue jinsi ninavyomchukia moyoni, lakin naona kama itaniharibia mipango yangu.

Ongea nae kawaida sana, wangu nilikuwa napiga nae story kabisa na hata pesa nilimpa na kuna wakati nilimkopesha pesa (hakuamini). Alirejesha kiasi kidogo sn kingine nikamwambia asirejeshe (bado hakuamini), usilipe baya kwa baya.

Kwa sasa signature inamhusu sana, namuonea huruma dunia imemgeuka.
 
Daah, kumbe baadae lazma ajutie, ndo kanuni ilivyo ama
 
Nzi Chuma mimi nilisomesha yakatokea km yako. Nilisamehe japo sikusahau. Mwachie Mungu ndio mwenye kisasi.
 
Last edited by a moderator:
hahaaaaaaa mkuu umenifurahisha japo kuwa natambua maumivu yako...
umemifanya nicheke kwa saut...
ila pole bwana..
zid kumuomba Mungu akufanyie wepes.

Ila natania tu, sina mpango wa kumroga mtu mkuu
 
Wanawake ni mshetani sana aise!!! Pole sana mzee.
Nakushauri usionge nae tena. Achana nae una hasira unaweza kuumua bure. Mimi sijapenda alivyowadanganya wazazi wako. Hio sikubaliani nalo.
Mungu amekuepusha na jambo,huwezi jua kafuata ukimwi huko nk.
Wako anakuja yuko njiani.
 
REVENGE ni silaha inayoua sana kuliko hata AK 47 ama RPG, ukiwaza REVENGE hata hufanikiwi mambo yako ya kila siku trust me, FORGIVENESS tu inantosha sanaaaaa..... Utaona Nguvu ya MSAMAHA amin amin nakuambia.
 
Chief pole Sana ila Mimi siamini mambo ya maisha bila consequence wewe vuta mda nafasi itajitokeza ya kurevenge na uitumie ipasavyo manake hata science inakwambia to every action there is an equal and opposite reaction jipange halafu ufanye kweli hadi afurahi na roho yake huyo Demu hana tofauti na muuaji yani alichofanya Kama Mimi mahakama ni kunyongwa tu.... Wanaume tunajitahidi kupenda na kuwa waadilifu lakini wanatokea wanawake Kama hawa wanavunja imani ya mtu kabisa my advice is "revenge is a dish best served cold" kuwa na Subira and when opportunity presents itself do your worst coz she deserves nothing less.....usiku mwema
 
Ndio tatizo la kutokuwa na michepuko. Ungekuwa na ka plan b hata usingelia lia ovyo.
 
Chief pole Sana ila Mimi siamini mambo ya maisha bila consequence wewe vuta mda nafasi itajitokeza ya kurevenge na uitumie ipasavyo manake hata science inakwambia to every action there is an equal and opposite reaction jipange halafu ufanye kweli hadi afurahi na roho yake huyo Demu hana tofauti na muuaji yani alichofanya Kama Mimi mahakama ni kunyongwa tu.... Wanaume tunajitahidi kupenda na kuwa waadilifu lakini wanatokea wanawake Kama hawa wanavunja imani ya mtu kabisa my advice is "revenge is a dish best served cold" kuwa na Subira and when opportunity presents itself do your worst coz she deserves nothing less.....usiku mwema

Kaka umeongea kwa hisia sana, yaani umevaa kabisa hili tatizo langu.. Mimi namwangalia tu kwa sasa..ila kama ulvyosema huyu nikipata nafas ya kumkwamisha siwez kumsamehe kwakwel..
 
Wanawake ni mshetani sana aise!!! Pole sana mzee.
Nakushauri usionge nae tena. Achana nae una hasira unaweza kuumua bure. Mimi sijapenda alivyowadanganya wazazi wako. Hio sikubaliani nalo.
Mungu amekuepusha na jambo,huwezi jua kafuata ukimwi huko nk.
Wako anakuja yuko njiani.

Kaka kuna watu hawana aibu mpka kwa mama za watu.
 
Chief pole Sana ila Mimi siamini mambo ya maisha bila consequence wewe vuta mda nafasi itajitokeza ya kurevenge na uitumie ipasavyo manake hata science inakwambia to every action there is an equal and opposite reaction jipange halafu ufanye kweli hadi afurahi na roho yake huyo Demu hana tofauti na muuaji yani alichofanya Kama Mimi mahakama ni kunyongwa tu.... Wanaume tunajitahidi kupenda na kuwa waadilifu lakini wanatokea wanawake Kama hawa wanavunja imani ya mtu kabisa my advice is "revenge is a dish best served cold" kuwa na Subira and when opportunity presents itself do your worst coz she deserves nothing less.....usiku mwema

Nimesoma post zooooooteee hii ndo nimeielewa na revenge nzuri ni ile ya kutomtoa mtu damu au kumtusi ni kumuumiza moyo tuuuu dadadekiiii
 
Back
Top Bottom