Nilimthamini sana, kumbe ananiona mjinga, akaamua kunidhalilisha

Nilimthamini sana, kumbe ananiona mjinga, akaamua kunidhalilisha

Well said dear.. Ila women Wa sasa wengi wetu tumezidi tamaa ya Fedha na mashindano ya Kuiga ( most of them/ us . ) most of us thinking that money can bring all happiness we need but that's not true... Jamani Nilishawaambia kabisa my parents even though they will be more happier for me to marry a wealthy man who has highest education but I am not willing if my happiness / peace are involved.. So wafute tuu hayo mawazo mapema ... Niko radhi kuolewa na msukuma mkokoteni ( sisemi kujisifia thats the truth . Na sisemi hivi eti kwa sababu niliye nae hayuko hivyo .. this was my desire tangu nilipo kwenye step ya ukuuaji wangu ..) but ana hofu ya Mungu , mwenye upendo Wa kweli, heshima, happiness , Joy and Peace..Mali / Money zilizo halali ni zile mnazozitengeneza wote wajameni ...
Haya kwa makaka zangu some of them wanatizama the place that to bring more success or already have one...Walio na true Love , Hofu ya Mungu , Na Msimamo they will keep staying in commitment .. We can never find happiness/Joy/ Peace in materials things only through God who can do all.. Where your treasures are that where our hearts are or will be.. ....Thanks..
Very well articulated dear..... life is all about happiness.... like ur stand sister!
 
Banana zoro aliimba.... mapenz mapenz mapenz mabaya mapenz mabaya..... dah pole mkuu ....iv viumbe n ka mazombie! mda wwte wanakunyonya dam..
 
Banana zoro aliimba.... mapenz mapenz mapenz mabaya mapenz mabaya..... dah pole mkuu ....iv viumbe n ka mazombie! mda wwte wanakunyonya dam..

Kabisa mkuu..ila asante
 
Asante mkuu Nzi Chuma kwa kukiri ya kwamba umepona, sasa ni usiku mwingi nakusihi upumzike ili mwili nao ukae fresh, uje unawiri mpaka watu washangae, au sio bro? Haya lala baaasiiiiiii, lala unono, na usipate ndoto yoyote ile, lala kama kitoto kichanga vile!

Unaonekana unajua kubembeleza, itabidi nkutafte pm
 
Mweee kumbe wewe ndio mapenzi!! Afadhali leo nimukutana nawewe nikuulize maswali yangu, hivi kwanini unatesa watu hivi?? Cant you grow up and start solving yo own problems?? Maana watu wamechoka sasa, tafadhali mapenzi jibu maswali hayo kwanza.

Saizi nimelala kidogo,..ila nikiamka kunakitu ntakuambia sita kutesa tena sawa atoto njuri.
 
Nzichuma kuwa na moyo wa chuma

Ova and out
 
Last edited by a moderator:
Dih huyo binti hafai hata kwa kulumangia, achana naye tu pia msamehe nawe ujisamehe uendelee na maisha yako.

Maisha yana mabonde na milima hiyo ndio mojawapo ya njia ulizopita, waswahili wanasema Yaliyopita si ndwele.....
 
Samehe na songa mbele na maisha yako kama ulimtendea wema yeye anakulipa mabaya naamini malipo ni hapa hapa duniani
 
Nakushauri samehe na sahau halafu tengeneza maisha (pesa). Baada ya miaka 5 atajilipa kisasi mwenyewe, huna haja ya kufikiria cha kumfanya
 
pain is ennevitable mkuu but sufferings are optional usichague mateso,msamehe na sahau wala usilipize kisasi kata nae mawasiliano,tafuta mtaalam wa saikolojia atakusaidia amini hii usipuuzemateso ni ya mda mfupi sana ila furaha hua ya milele let some time pass ukiwa unapata councelling tumia mda mwingi kua busy and find sam1 new

i have been there ila saiv ni mtu tofauti kabisa na nafurahia maisha kama haijawah tokea vile,narudia tena maumivu ni kitu cha mda mfupi
 
Back
Top Bottom