YANGU NI HAYA YAFUATAYO>
1. Hongera kwa kuleta ili jambo hapa JF maana tayari umshatua mzigo kwa 90% uliokuwa ukikusumbua moyoni na akili.
2. Wapo wengi waliopitia mitihani mikubwa ya maisha kuliko hayo yako lakni Mungu amewapa ujasiri waliyasahau and life go on....wana ndoa zenye furaha na Amani tele.
3. Huyo sio wako aliyekupangia Mungu......wako Yulee...nimepishana nae pale anakuja...TULIA..MUNGU ATAKUPA WAKO..mtakaye...endana vema...na hata hivyo mshukuru Mungu amekuepusha na huyo mwanamke...!
4. Usije ukalipa KISASI....MUNGU ATAMLIPA...NA IPO SIKU ATAKUJA KULIA MACHOZI MBELE YAKO akikuomba msamaha.
5. Mfariji mama ...mwambie ULITELEZA TU...IPO SIKU...atafurahia kushuhudia NDOA YAKO NA WAJUKUU.
NB: Usilipe kisasi, mpotezeee, namba yake...m-block ili asizidi kukutia stress...usitafute binti haraka..TULIA ...wako anakuja.
Hivi kwanini wadada wanaamua kufanya hivi??
Tamaa , kutojitambua, na kukosa hofu ya Mungu .. But you dont need to hate her.Or revenge her for bad things .. Forgive her . To forget will take a process but be willing , pray without ceasing and shall you find a Peace .. . Just forget everything and leave everything unto God and Will repay / reward you Abundantly . And your enemies will dance with you on that day .. Be strong dear, relay and depend unto God surely He will never disappoint you . Child of God arise its a beautiful day be happy and start your vision for the best to come . Kumbuka umeondolewa kilio and miserable for the rest of your life ..So shukuru Mungu for that ... Thanks..
Listen bro; Weak people revenge, strong people forgive but intelligent people ignore. kwahyo please tupilia mbali mawazo juu yake, vuta kila kitu kinachohusiana nayeye hata hiyo namba yake mpya ifutilie mbali, na pia hata yeye muweke kwenye black list/m-block kwenye simu yako both calls na message hadi whatsap ili uweze kujipa a complete healing time, hata marafiki zake mlokua mmezoeana wakati mkiwa pamoja jitenge nao kabisa. Ninayafahamu vzuri sana machungu ya namna hii, jitahidi kufanya hayo if u r real serious. lakini jichunge usiingie kwenye mahusiano hivi karibuni, jiwweke karibu sana na mama yako au kama una dada yako ambae mko karibu naye pia jiweke karibu zaidi kwake, hii itakusaidia kisaikolojia kupunguza machungu na kuziba ile absence yake and so with time u'll get healed to a greater part. KUA UYAONE. JIPE MOYO HUO NDIO UKUBWA KAKA.
mmmhh....... ama kweli dunia ina mambo.
Habari zenu wanaJF,
Nimeamu kuwa member baada ya kuwa nasoma tu kila siku, hii ni kutaka kushare na nyinyi angalau naweza kupata ushauri. Huyu dada nilikua nae kwenye mahusiano kwa miaka mitatu sasa. Ule mwaka wa mwanzo alikua hayupo active sana, ila baadae akaonyesha kunikubali sana tukawa tunaishi kama wapenzi, ingawa kutokana na kusoma mimi nikahamia mkoani kwa ajili ya masomo ya elimu ya juu yeye nikamuacha kule mkoa wa nyumbani.
Alionyesha kunijali, wivu mwingi, na pia alitii kila nililokua namwambia. Mara nyingi alikua akipanda gari na kuja huku mkoani kwangu na tulikua tukifanya mengi. Nilimtambulisha nyumbani wakamkubali kutokana na nidhamu yake ya hali ya juu aliyokua akionekana nayo. Mwisho nikaamua kupeleka barua, akanikubalia ila hapa ndipo akaanza kunizungusha. Akidai kuwa watu wa kwao wamemwambia asubiri kwanza!! Basi akazungusha sana kama miezi mi4 hivi.
Mmoja kati ya watu wa nyumbani akaja akanitonya siku hiyo kuwa hyo demu wako nasikia anaolewa..nikamjibu haiwezekani, akajitahidi kunithibitishia kuwa habari zile ni sahihi na zinatoka kwao haswa mimi nikabisha. Na nilikuwa na kila sababu ya kubisha sababu wakati naelezwa maneno haya huyu demu alikua kifuani kwangu na hiyo ni siku ya 3 tangu aje. Nikamuuliza vzri akacheka sana na kunambia hakuna ktu kama hcho, ww ndo mume wangu.
Naomba nifupishe hii story ila naamini mtanielewa maana nashindwa kuandika kila ktu hapa. Sikuwa na taarifa, nilikaa nikiamini kuwa yeye ni wangu tu. Nilipata likizo, nikawa niko nae sana kule nyumbani. Usilolijua ni sawa na usiku wa giza tu. Kumbe wakati mimi naanza likizo yeye alikua amebakiza siku 20 kabla ya ndoa.
Basi tukaendelea mpaka ilipobaki wiki moja kabla ya harusi, akiamini kuwa anaenda kuwekwa ndani na sitomuona tena, ndio hapo aliponambia anaenda Dar kwa matibabu. Nikaitikia na kumuombea Mungu sana apone haraka. Basi tukaendelea kuwasiliana na kupeana moyo, akawa ananipa updates za hosptali, mara ndo naingia kwa dakitari, mara nesi kaja, mara subiri kidogo nawekewa drip, nk.
Mimi dua zote kwake huku namaliza status zangu za pole kwenye Whatsapp kumbe ndugu yake mmoja ambaye anaujua ukweli na aliambiwa jinsi ninavyodanganywa anatizama halafu anacheka tu. Mamayangu naye kila siku anapiga simu kumpa pole huyu msichana na bila aibu anaitikia na kuzidi kumdanganya. Watu wote nyumba nzima wanamuombea dua apone haraka ili barua ipelekwe. Kimbembe kilikuja Jumanne ambayo Ijumaa yake ndo ilikua harusi.
Hiyo jumanne ilikuja kadi ya mwaliko wa harusi. Sikuwepo, ikasomwa pale na nikasubiriwa kwa hamu, wakaja wakanionyesha, sikuamini nikampigia simu mbele yao na kuweka loudspeaker, nilipomuuliza kuhusu harusi akakata simu na hakupokea tena usiku ule. Sikuweza kulala. Asubuhi akanitext na kunieleza maneno mengi kuwa amelazimishwa. Mimi nikawa namuitikia tu, nikajaribu kufuatilia kwa kina sana nikajua ni pesa ilihusika, jamaa alikuja nyuma yangu akalipa milions nyingi sana, ila huyu demu akakosa cha kunidanganyia, akaona aendelee kunifanya zoba tu.
Na kipindi hiki cha harusi (ambaye yeye alikifanya cha ugonjwa) alinipiga vizinga sana, yaani zaidi ya laki nne ndani ya wiki moja. Nadhni ndo aliamua kunikamua kwa mara ya mwisho. Hadi siku ya harusi bado alikua ananipigia simu, mimi nikamwambia leo unaolewa concentrate kwenye ndoa yako, mimi niache. Lakini alkua hakubali sababu pamoja na ujinga wake huu alioufanya alikua akinifahamu vzuri kuhusu maamuzi yangu.
Mungu mkubwa, kipindi kile cha hasira nilipata counselling kubwa sana kutoka kwa wazee, sikufanya maamuzi magumu. Mama yangu nlimshuhudia akitoa chozi kwa kudanganywa na mtoto mdogo, ila nikampoza na kumuomba msamaha. Licha ya kuwa alibadilishiwa namba na mumewe lakini still alintafuta na namba yake mpya ninayo. Bado mpka sasa natafuta cha
kumfanya huyuhanithi, baradhuli kwa sababu kuu hizi:
1. Kwanini alipoona mimi simfai asingenambia mapema tu kuliko hivi alivyofanya?!
2. Kwanini afikie hatua hadi amdanganye mtu ninayemuheshimu zaidi hapa ulimwenguni (mama) ambaye hata mimi mwenyew sijawahi kumdanganya.
3. Hii wiki moja kabla ya kuolewa alikuwa akiwaambia ndugu zake kuwa huyu jamaa sitamsahau ngoja nimle vyake vya mwisho mwisho maana akili zake za kilevi sana. Sielewi alikua na lengo gani hapa.
4. Kama alijua anao wa kumpa vingi na vya kumtosheleza, kwanini achkue vyangu vichache?
Kwakweli ndugu zangu hili jambo naweza nikalieleza simpo sana hapa, lakini liliniuma kwa zaidi ya mwezi mzma sikuwa normal semesta ya jambo hili ndo semesta nlifanya vibaya zaidi kulko zote. Anywayz, now niko normal na akili imetulia, na inaniambia lazima nilipe kisasi. Natamani na yeye ajutie one day ! Sababu sijaona mantiki ya kufanya hivi.
Kabla sijaamua, ndugu zangu, hebu tupeane ushauri. Maana kila ninavyojitahidi kusahau naona kama nimefanywa zoba sana afu akili yangu haitaki.
Natanguliza shukrani

Jamani wakati mwingine hata wanawake wanaingia gharama kwa wapenzi wao ya vitu mbalimbali vya thamani lakini mwisho wa siku wanabwagwa kama mzoga usio na mwenyewena wanabaki kudhalilika, na tena wanawake hubwagwa mara nyingi kuliko wanaume, kwahiyo tunapolitizama jambo hili la Nzi Chuma tusiwe-bias, tulielezee in a positive atitude tukijua laweza tokea upande wowote ule.
Hongereni wanajamvi, katika jambo hili la mkuu Nzi Chuma mmenifurahisha sana, yaan mmeacha utani na bra bra zenu za siku zote, mmekua serious, constructively counseling our dear bro Nzi Chuma. Nimewapenda sana kwasababu mmefanya jamvi limekua na maana kwake. Mungu awabariki sana, na Mungu amvushe salama Nzi Chuma katika wakati huu wa kujaribiwa kwake, na huenda si kujaribiwa bali ni kwamba amepokea majibu ya ushindi toka kwa Mungu maana hatujui nini kingetokea kama angeingia nae binti huyu kwenye ndoa. cheers!