Nilimthamini sana, kumbe ananiona mjinga, akaamua kunidhalilisha

daah!kumbe wengine tunapataga vimatatizo kwenye hili eneo,kuna wenye matatizo..pole kaka ni njia tu umepita kuna mahali unaelekea,cha msingi ni kuomba Mungu akufikishe salama huko unakoelekea,wenyewe wanasema "every human being is the mistery" so msamehe ili maisha yaendelee
 
Mpe miaka mitano tu ndoa itamshinda, wa dizaini hiyo ni waongo waongo hata ndoani.....yani wa hivyo anaweza kukupigia simu akakukisss kumbe kuna mtu mwingine muda huo huo yupo kifuani kwake....shukuru sana mungu kakuepusha na janga la aina hiyo....wala usikasirike ni mungu kakuepushia mengi ila akili yako ndo haitaki kutambua hilo....
kama nakuona vile utakuwa na mke mzuuri chaguo lako, utakuwa na chenji mfukoni ya kutosha....utakuwa na amani ndoani huku mkitembea njiani ww na mke wako watu wakiwatamani....sasa kiindi hicho kule kwake uswahili swahili wake umemtokea puani....atakupigia simu na kukuambia daaaah najuta kukuacha, shetani tu alinipitia....mwambie usijal ongea na huyu hapa, mpe mkewe simu mwambie ongea naye huyo.....
that will be the best revenge my bro!!!!!
 
Hawa watu wanatakiwa kutolewa miguu yao. Angalau inawapunguzia dau.
Saa zingine pande zote inabidi zipate maumivu sehemu moja ama nyingine.
Usifanye lolote kwa sasa maana itajulikana ni wewe umefanya. Msamehe na uendelee na maisha kutegemea kuwa atakuja patwa na baya sahau. Watu wengine wakifanya hayo mabaya wanakinbilia kwa Mungu na kutubu hivyo mabaya hayawapati
 
Mpe miaka mitano tu ndoa itamshinda, wa dizaini hiyo ni waongo waongo hata ndoani.....yani wa hivyo anaweza kukupigia simu akakukisss kumbe kuna mtu mwingine muda huo huo yupo kifuani kwake....shukuru sana mungu kakuepusha na janga la aina hiyo....wala usikasirike ni mungu kakuepushia mengi ila akili yako ndo haitaki kutambua hilo....
kama nakuona vile utakuwa na mke mzuuri chaguo lako, utakuwa na chenji mfukoni ya kutosha....utakuwa na amani ndoani huku mkitembea njiani ww na mke wako watu wakiwatamani....sasa kiindi hicho kule kwake uswahili swahili wake umemtokea puani....atakupigia simu na kukuambia daaaah najuta kukuacha, shetani tu alinipitia....mwambie usijal ongea na huyu hapa, mpe mkewe simu mwambie ongea naye huyo.....
that will be the best revenge my bro!!!!!

Asante sana, nimekupata vzr
 
daah!kumbe wengine tunapataga vimatatizo kwenye hili eneo,kuna wenye matatizo..pole kaka ni njia tu umepita kuna mahali unaelekea,cha msingi ni kuomba Mungu akufikishe salama huko unakoelekea,wenyewe wanasema "every human being is the mistery" so msamehe ili maisha yaendelee

Asante sn,, ntafnya hvyo
 
'If an injury is to be caused to a man, it must be so severe that revenge need not be feared' - Niccolò Machiaveli said something like that, so its only normal that you want revenge.

Here is the best revenge, from your story, it's clear that she jumped ship for the money, but she still misses you that's why she keeps in touch. Now, whatever you do, just be nice to her, while going extra harder for your grind and dreams. Make sure that you're happy, for yourself, and then make sure she'll be missing for the rest of her life what could've been hers, had she stayed loyal. Stay blessed, Bruv.

Rev. Paulo.
 
Thnks much bro.. Nitafnya hvyo!!
 
Mpaka sasa naongea nae kwa upole sana, natamani ajue jinsi ninavyomchukia moyoni, lakin naona kama itaniharibia mipango yangu.

bado sijaelewa sababu ya wewe kuendelea kuwasiliana nae. Futa no yake na mwambie kwa sasa yeye ni mke wa mtu hivyo aangalie ndoa yake tu. Ukiendelea kuchat nae kwa huo upole unaoutaja kuna mazingira itatokea mtakutana na utamdonoa akizani ndo njia pekee ya kuku please tena hapo hali inaweza kuwa mbaya kuliko ya mwanzo. Achana nae fanya yako visasi havisaidii mkuu
 
Take easy though it's not easy. Maisha ya sasa hivi hasa ya kimapenzi ni magumu sana huwezi mjua yupi mkweli na yupi mwongi, usanii umekua mwingi kupita maelezo. Sasa hapo ushaharibiwa kisaikolojia kiasi kwamba hata atokee malaika kumuamini itachukua karne. Pole sana na kaza moyo
 
acha ujinga soma mtoto wa kiume unalilia mapenzi.ukikua utaujua ujinga wako.

Hujasoma post yote.. Usilazmshe kucomment kama ww ni mvivu wa kusoma, unatoaje ushauri kwa kichwa cha habari? Unakijua kilchozungumzwa ndan??
 
Take easy though it's not easy. Maisha ya sasa hivi hasa ya kimapenzi ni magumu sana huwezi mjua yupi mkweli na yupi mwongi, usanii umekua mwingi kupita maelezo. Sasa hapo ushaharibiwa kisaikolojia kiasi kwamba hata atokee malaika kumuamini itachukua karne. Pole sana na kaza moyo

Hata watakaonipenda kweli wana kazi ngumu
 
Achana naye kabisaa, karma itafanya kazi yake; we subiri tu one day utayasikia yaliyomsibu.
 
acha ujinga soma mtoto wa kiume unalilia mapenzi.ukikua utaujua ujinga wako.

Kweli makabila mengine ni mambumbu kwenye mapenzi aisee wewe unamwambia mkuu kuwa ni ujinga?au wewe siyo mzima kwa haya mambo?
Mkuu mie nakushauri tu kila jambo na wakati wake Mungu amekuandalia ubavu wako we kaa utulie kwanza ila usilipize kisasi mkuu.
 
The best revenge is to find your happiness....

na unapaswa kushukuru lililokukwepa hujui angekuletea shida kiasi gani ndani ya ndoa..

Jifunze jambo moja tu 'mapenzi hayana akili nyingi'
ni mioyo tu ndo inaamua...usijione mjinga...

I agree with you TB.............
nilikua sijajua hapo katika Revenge now I know
 
Back
Top Bottom