Jugado
JF-Expert Member
- Oct 28, 2021
- 1,449
- 3,144
Wanabodi, baada ya kuandika ule uzi wangu wa "Maisha yangu baada ya miaka 37" wengi walinishauri niache nyumba ya laki tatu nikapange ya bei nafuu ili nitoboe.
Kweli nimehamia nyumba ya laki na nusu wapangaji tupo sita ndani ya geti. Ni uswahilini fulani ukitoka nje ya geti unakutana na mihogo au supu ya buku!
Twendeni kwenye mada humo ndani wengi wana familia zao isipokua dada fulani anaigiza kwenye tamthilia (Nilijua hivyo kupitia wife).
Huyu dada ni mzuri sana ana Kila kitu na hajawahi leta mwanaume pale kwake. Mara moja moja namuona akipiga gambe.
Sasa issue ni hivi nilimfukuzia miezi zaidi ya sita ni bila bila tena alinitukana matusi mazito na hataki kuongea na Mimi hata luku nikimlipia hataki!
Sasa jana kanitext nimpleke live band ijumaa hii ila hataki uhusiano wa kimapenzi!!!
Sasa napanga kumtoa ila nasita nitafaidika vipi? Yaani nikatumie kama laki tatu hivi then nitokee bila bila. Wazee wa kazi hii imekaaje Sina uzoefu sana na mademu wa njee.