Nilikuwa nakutega tu!!

Nilikuwa nakutega tu!!

dah, halafu ulivosema wewe dokta nimekupenda ghafla. lol
 
Mkuu iko hivi, kama unatafuta mke wa kuoa muigizie kwamba wewe ni hohehahe na kama una usafiri kwenye miadi usiende nao mpandishe daladala, akikuelewa hivyohivyo jua umepata waifu.
Lakini kama unahitaji kugegeda siku moja we jifanye millionare, kale mzigo halafu unamwachia buku tano tu unatembea, kuonana tena majaliwa.
Mkuu habari ya asubuhi?
Jamaa amemuona nyoka kwenye rangi yake hasa

Chaguo ni lake

CC: Mjuni Lwambo !
 
Na hivi madaktari wengi hawajipendi (rough rough) muonekano wako ulimlazimisha akuulize wafanya kazi gani.
Ingukuwa smart (simaanishi kichwani) asingekuuliza angekuuliza kwa vitendo na kudeduce kuwa unazo au za kuunga na gundi ya mnyaa.
hao madaktari wewe umewaona wapi...?
 
Dr gani kwanza! wa kupewa au ka ule wa dr manyaunyau au dr cheni?!
Afu ungekua teller hata asingekuuliza.
 
Mkuu iko hivi, kama unatafuta mke wa kuoa muigizie kwamba wewe ni hohehahe na kama una usafiri kwenye miadi usiende nao mpandishe daladala, akikuelewa hivyohivyo jua umepata waifu.
Lakini kama unahitaji kugegeda siku moja we jifanye millionare, kale mzigo halafu unamwachia buku tano tu unatembea, kuonana tena majaliwa.

Mkuu nimekusoma!!!!!!!

Tatizo wengine hatujazoea kugegeda tu!
 
Mkuu nimekusoma!!!!!!!

Tatizo wengine hatujazoea kugegeda tu!
Inabidi uzoee mkuu, vinginevyo kama unataka wa kuoa usiende umevaa hiyo suti yako, atakubali tu kwa kuwa una kazi na siku ukifutwa kazi ndio mwisho wa mapenzi yenu.
 
huyo hakupend, kula tambaa..
ila usife moyo kwamba hakuna wanawake tena wenye mapenzi ya kweli! la hasha, wapo chungu nzima . endelea kutafta utapata.
 
Inabidi uzoee mkuu, vinginevyo kama unataka wa kuoa usiende umevaa hiyo suti yako, atakubali tu kwa kuwa una kazi na siku ukifutwa kazi ndio mwisho wa mapenzi yenu.

Kweli kabisa mkuu
Hii suti yangu inaweza kuniletea shida

Nakenda nimevaa nguo zangu za kupalilia shamba!
 
^^
Ha ha bora wewe uko parokiani
Ila ni kweli ukitaka kuchelewa kuoa basi taja kazi ya chini... Mabinti wanatugeuza mitaji ukiwaambia professional status yako
^^

Mkuu mimi nimeamua kulisha kondoo wangu tu!
 
Mkuu wengi huzimika kama umeme wa Tanesco kila wakisikia hii habari
Ila nimeshajizoea maisha ya kukaa mwenyewe

Siwezi kuishi maisha ya kuigiza mie!

Mh! Ni ngumu sana kuishi na hawa watu (ke) bila ya kuwapa mkwanja!
Yani uwafanyie chochote bila ya kuwapa mkwanza watakuambia haujui kuhandle/kucare!!!
...
Mmh! Mi naenda nao hivyo-hivyo! Lkn kwangu huo mkwanja unatoka baada ya .....! Eee! Tena sio mara zote!
 
Siku hizi nikiulizwa kazi na binti namuambia nauza karanga

Hii kadhia nilishakumbana nayo sana tu
Laiti wangekuwa wanajua.............!!!!!!!!!

Ha,ha,ha.. Si ndo maana mie nikamwambia nauza duka la mhindi! Na leo amenitafuta ili tupige story
 
Sio mchafu mchafu kama ..........?
Bwana natania tu, vya pombe ndio wanakuwaga wachafu.
Jamani kulikuwa na emergency ngapi? Nakumbuka enzi za mzee wangu, akiwa zamu alikuwa anafuatwa na dreva in case kuna operation au emergency. Siku hizi ikoje?

Emergence zipo kama kawaida. Siku nyingine unapigiwa simu ukiwa kwe utamu! Huwa namaind sana.
 
Ha,ha,ha.. Si ndo maana mie nikamwambia nauza duka la mhindi! Na leo amenitafuta ili tupige story

Umemwambiaje?

Au sikiliza nikuambie kitu mkuu,
Kubaliana nae halafu mwambie kuwa yule jamaa alikuita dr kwa kuwa ulikuwa mganga wa kienyeji siku za nyuma
Halafu uone atakuambiaje!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom