mkuu madaktari hawana hela mbona..............
huyo dada limbukeni............
ha ha ha je na wewe nimkweli pia?
Na kesho nna mpango wa kuazima gari kwa jamaa nikamgegede kabisa!!!
Kwani kazi ya kuuza duka haina hela? Hii mbôna hatari, kama issue ni hela kwanza hatuponi!
Hivi "madokita" mlishaongezewa mshahara?Leo katika pita pita zangu nikakutana na mdada mmoja mtaani. Huyu dada tumeshawahi kutana mara nyingi, mi najua anafanya kazi gani ila ya alikuwa hajui kazi yangu.
Nikamweleza kuwa nina maongezi naye, akanipa namba yake ili nimtafute jioni. Ilipofika jioni nikamtafuta tukaenda pub moja tukaagiza vinywaji na nyama choma.
Tukiendelea kunywa akaniuliza nafanya kazi gani? Nikamwambia mi muuzaji wa duka la mhindi. Si akaanza kujishaua, oooh... Unajua kuna mtu nataka nimuwahi aliahidi kunipa hela leo..!., na sababu zingine kibao! Aakiwa anaendelea kujishaua kuna jamaa anayenifahamu akatukuta pale.
Katika kunisalimia akataja Dr. Nyalotsi vipi? Kusikia hivyo nikaona mdada kabadirika, akaagiza na kinywaji kingine na kuniuliza, mbona hukunambia kuwa wewe ni dr? Nikamjibu nilitaka nijue kama utavutiwa na mimi kwanza.. Bahati nzuri na simu yangu ikaita kuna jamaa yangu alikuwa zamu, alihitaji nimsaidie.
Lakini bado najiuliza, kukiwa hakuna uhakika wa hela hupendwi? Ina maana ni money for service? Duh, kazi tunayo..!
Hapendwi mtu hapo
hahahahaha! job true truewakati mwingine huwa wanafikiria atakutambulisha vipi kwa mashosti zake... "baby yangu ni muuza duka kwa wahindi kariakoo" wenyewe wanasema 'aka bibie Inahuu!!'
bwana asifiwe!
Hawana hela ya kuhonga lakini anakuwa na uhakika wa hata akiolewa anakuwa secured na flow of môney, uhakika wa ndugu kutibiwa mapema bila foleni, kujaliwa nk. Pia it sounds good kuwaambia rafiki zake bf wake ni dr kuliko muuza duka la mhindi but in reality muuza duka anapata casht faster kuliko dr
Hawana hela ya kuhonga lakini anakuwa na uhakika wa hata akiolewa anakuwa secured na flow of môney, uhakika wa ndugu kutibiwa mapema bila foleni, kujaliwa nk. Pia it sounds good kuwaambia rafiki zake bf wake ni dr kuliko muuza duka la mhindi but in reality muuza duka anapata casht faster kuliko dr
Lakini bado najiuliza, kukiwa hakuna uhakika wa hela hupendwi? Ina maana ni money for service? Duh, kazi tunayo..!
kwani nani amemtongoza mwenzie, anaelipa ni yule aliyetongoza, ukitaka kulipwa basi asubii utongozweSasa mbona mnataka sie ndo tuwalipe? Si tuwe tunapeana baada ya utamu kuisha?
kwani nani amemtongoza mwenzie, anaelipa ni yule aliyetongoza, ukitaka kulipwa basi asubii utongozweSasa mbona mnataka sie ndo tuwalipe? Si tuwe tunapeana baada ya utamu kuisha?
Acha bange Doc!
Na kesho nna mpango wa kuazima gari kwa jamaa nikamgegede kabisa!!!