Nilikuwa nakutega tu!!

Nilikuwa nakutega tu!!

Kwanza aliekwambia Dr. wana hela ni nani? wenye hela hawasemi. Njoo nikuazime la kwangu maana kama dr. huna hata gari bado ni majanga.

Hawa jamaa hela wanapata. Katika public service ni moja ya kada zinazoanza na mshahara wa juu kidogo. Sema ni wagumu sana kuhonga kwani pesa yenye anaipata baada ya kuisotea sana. Chezea kulala macho wewe! Bahili sana madaktari.
 
Basi angekuwa hata na gari sio kwenda kuazima mkuu. Uongo sio kitu kizuri mkuu kumbuka na gari ataenda kumwambia mdada kuwa ni lake. Nahisi huyu dr. anaweza akawa ni yahaya.
 
Gari ndio uchawi wa mwisho kwa watoto wa mujini,wewe azima hata STK AU DFP Utawapata tena waambie yako
umenifanya ni log-inn, kweli hawa wanawake ni mambumbumbu kabisa hawajui hat STK, DFP, SU SM zinamilikiwa na nani! pole yao sana
 
.....and still u cant afford a "car"..........u have to borrow.....

Hakuna mtu anayeitwa baba mwenye gari, a house is my priority.! By the way his ni moja ya kunogesha mjadala.
 
Basi angekuwa hata na gari sio kwenda kuazima mkuu. Uongo sio kitu kizuri mkuu kumbuka na gari ataenda kumwambia mdada kuwa ni lake. Nahisi huyu dr. anaweza akawa ni yahaya.

Lakini wadada wa siku hizi kwani wanaweza kutambua hilo? Wao wanachojali ni kuona amepandishwa kwenye gari na kunyweshwa bia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom