Nilikuwa nakutega tu!!

Nilikuwa nakutega tu!!

wakati mwingine huwa wanafikiria atakutambulisha vipi kwa mashosti zake... "baby yangu ni muuza duka kwa wahindi kariakoo" wenyewe wanasema 'aka bibie Inahuu!!'

Haihuu babu
 
Wasi wasi wake tu, mbona wauza duka kwa mhindi wanahonga hadi basi, ukimpata utakuwa na bidhaa zote za ZEKI na mapochopocho kibaooooooooooo Madaktari michosho tuuuuuuuu!
 
Wasi wasi wake tu, mbona wauza duka kwa mhindi wanahonga hadi basi, ukimpata utakuwa na bidhaa zote za ZEKI na mapochopocho kibaooooooooooo Madaktari michosho tuuuuuuuu!

Huyo daktari hukumpa ile kitu napenda mpaka akadata. Kuna wengine wanadatishwa mpaka akipigiwa simu anaacha mponjwa na kukufuata.!
 
Na hivi madaktari wengi hawajipendi (rough rough) muonekano wako ulimlazimisha akuulize wafanya kazi gani.
Ingukuwa smart (simaanishi kichwani) asingekuuliza angekuuliza kwa vitendo na kudeduce kuwa unazo au za kuunga na gundi ya mnyaa.

I lik this
 
leo katika pita pita zangu nikakutana na mdada mmoja mtaani. Huyu dada tumeshawahi kutana mara nyingi, mi najua anafanya kazi gani ila ya alikuwa hajui kazi yangu.

Nikamweleza kuwa nina maongezi naye, akanipa namba yake ili nimtafute jioni. Ilipofika jioni nikamtafuta tukaenda pub moja tukaagiza vinywaji na nyama choma.

Tukiendelea kunywa akaniuliza nafanya kazi gani? Nikamwambia mi muuzaji wa duka la mhindi. Si akaanza kujishaua, oooh... Unajua kuna mtu nataka nimuwahi aliahidi kunipa hela leo..!., na sababu zingine kibao! Aakiwa anaendelea kujishaua kuna jamaa anayenifahamu akatukuta pale.

Katika kunisalimia akataja dr. Nyalotsi vipi? Kusikia hivyo nikaona mdada kabadirika, akaagiza na kinywaji kingine na kuniuliza, mbona hukunambia kuwa wewe ni dr? Nikamjibu nilitaka nijue kama utavutiwa na mimi kwanza.. Bahati nzuri na simu yangu ikaita kuna jamaa yangu alikuwa zamu, alihitaji nimsaidie.

Lakini bado najiuliza, kukiwa hakuna uhakika wa hela hupendwi? Ina maana ni money for service? Duh, kazi tunayo..!

hahahaha wanawake wa namna hii wako wengi.

hila najiuliza nini kilimfanya aamini kuwa unafanya kazi kwenye duka la mahindi.
 
Na hivi madaktari wengi hawajipendi (rough rough) muonekano wako ulimlazimisha akuulize wafanya kazi gani.
Ingukuwa smart (simaanishi kichwani) asingekuuliza angekuuliza kwa vitendo na kudeduce kuwa unazo au za kuunga na gundi ya mnyaa.

samahani sana , hao madaktari wengi ambao wapo rough rough umekutana nao wapi?
 
Leo katika pita pita zangu nikakutana na mdada mmoja mtaani. Huyu dada tumeshawahi kutana mara nyingi, mi najua anafanya kazi gani ila ya alikuwa hajui kazi yangu.

Nikamweleza kuwa nina maongezi naye, akanipa namba yake ili nimtafute jioni. Ilipofika jioni nikamtafuta tukaenda pub moja tukaagiza vinywaji na nyama choma.

Tukiendelea kunywa akaniuliza nafanya kazi gani? Nikamwambia mi muuzaji wa duka la mhindi. Si akaanza kujishaua, oooh... Unajua kuna mtu nataka nimuwahi aliahidi kunipa hela leo..!., na sababu zingine kibao! Aakiwa anaendelea kujishaua kuna jamaa anayenifahamu akatukuta pale.

Katika kunisalimia akataja Dr. Nyalotsi vipi? Kusikia hivyo nikaona mdada kabadirika, akaagiza na kinywaji kingine na kuniuliza, mbona hukunambia kuwa wewe ni dr? Nikamjibu nilitaka nijue kama utavutiwa na mimi kwanza.. Bahati nzuri na simu yangu ikaita kuna jamaa yangu alikuwa zamu, alihitaji nimsaidie.

Lakini bado najiuliza, kukiwa hakuna uhakika wa hela hupendwi? Ina maana ni money for service? Duh, kazi tunayo..!

mkuu madaktari hawana hela mbona..............

huyo dada limbukeni............
 
aise hiyo piga chini fasta, yaani hapo hakuna future wala nn
 
Ndio maana mabishoo wanawagonga kweli sababu wakipa hela tu wanaazima na gari wanaenda kuu. Dem akijastuka kashaliwa na mishen town hela yakusubiria Kama mvua za vuli
 
Huyo dada yupo kibusness zaidi

Kuwa muuza duka hakumfanyi mtu asipendwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom