Nilikuwa nakutega tu!!

Nilikuwa nakutega tu!!

Mimi iko poa poa sana
Leo nimefungua kinywa kwa ugali wa udaga na nswalu na kushushia na maji ya mtungini.....
Weye?

Niko kwa kitanda bado, ila nimekunywa juice ya embe.
Udaga na nswalu wapi na wapi? Mnyamwezi anakula udaga na nyama ya kuchoma au kamwiporu.
 
Hivi ndoa yenu ilikufa kabisa?
Yaani Eiyer unanyang'anywa mke na yule mnyamwezi unakubali!!!??

Yaani ilikufa, tukachoma na jivu tukatupia ziwa tanganyika.
Kwa mnyamwezi nimefika aisee, hadi najiuliza kwanini sikuachika siku niliyomtongoza Eiyer.
 
Last edited by a moderator:
Niko kwa kitanda bado, ila nimekunywa juice ya embe.
Udaga na nswalu wapi na wapi? Mnyamwezi anakula udaga na nyama ya kuchoma au kamwiporu.

Mi nilidhani umekunywa togwa

Huku kwetu kijijini hakuna juice

Mnyamwezi gani huyo?
Au ni mmasai?
 
Sio mchafu mchafu kama ..........?
Bwana natania tu, vya pombe ndio wanakuwaga wachafu.
Jamani kulikuwa na emergency ngapi? Nakumbuka enzi za mzee wangu, akiwa zamu alikuwa anafuatwa na dreva in case kuna operation au emergency. Siku hizi ikoje?

Siku hizi unambonji kwenye kitanda cha wagonjwa ukisubiri kama kuna mzembe kanywa sumu, mlevi kagonga mtu, bodaboda imekosa breki, au mmama aliyegoma kutumia kondom miezi tisa iliyopita.
 
Yaani ilikufa, tukachoma na jivu tukatupia ziwa tanganyika.
Kwa mnyamwezi nimefika aisee, hadi najiuliza kwanini sikuachika siku niliyomtongoza Eiyer.

Mahawara hawaachani wewe
CC: Fidel80
 
Last edited by a moderator:
,.....simu ilipoita ukatoa a (ggxxxxyyyy).....bILI ilipoletwa katoa misimbaziiiiiiiiii

We mpe mpe helaaaa a nakwambi HAKYI ya papuchi ....we mpe mpe helaaaaa
Daktariiiiii toa helaaaaaa.....
 
Katika mambo yanayoniwia magumu sasa hivi ni pamoja na kubaini yupi ananikubali kwa jinsi nilivyo na si kwa sababu ya tittle majanga matupu.maney first
 
Hakuna anaeweza kuninyang'anya changu
Ukishaona umenyang'anywa jua hicho sio chako,uliazimishwa!

Lakini haiumi si alikutongoza mwenyewe!!

Yaani ilikufa, tukachoma na jivu tukatupia ziwa tanganyika.
Kwa mnyamwezi nimefika aisee, hadi najiuliza kwanini sikuachika siku niliyomtongoza Eiyer.

Ila najua unaishi kwa presha, utaweza heka heka za akina lara 1 na Zahra White? :noidea::noidea:
 
Last edited by a moderator:
Na kesho nna mpango wa kuazima gari kwa jamaa nikamgegede kabisa!!!
Unakamgegede au mkagegedane? si raha mwapata wote na anaweza pata raha zaidi yako, halafu eti ukaondoka unajisifu umemkomesha kumbe umempa raha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom