Leo katika pita pita zangu nikakutana na mdada mmoja mtaani. Huyu dada tumeshawahi kutana mara nyingi, mi najua anafanya kazi gani ila ya alikuwa hajui kazi yangu. Nikamweleza kuwa nina maongezi naye, akanipa namba yake ili nimtafute jioni. Ilipofika jioni nikamtafuta tukaenda pub moja tukaagiza vinywaji na nyama choma. Tukiendelea kunywa akaniuliza nafanya kazi gani? Nikamwambia mi muuzaji wa duka la mhindi. Si akaanza kujishaua, oooh... Unajua kuna mtu nataka nimuwahi aliahidi kunipa hela leo..!., na sababu zingine kibao! Aakiwa anaendelea kujishaua kuna jamaa anayenifahamu akatukuta pale. Katika kunisalimia akataja Dr. Nyalotsi vipi? Kusikia hivyo nikaona mdada kabadirika, akaagiza na kinywaji kingine na kuniuliza, mbona hukunambia kuwa wewe ni dr? Nikamjibu nilitaka nijue kama utavutiwa na mimi kwanza.. Bahati nzuri na simu yangu ikaita kuna jamaa yangu alikuwa zamu, alihitaji nimsaidie. Lakini bado najiuliza, kukiwa hakuna uhakika wa hela hupendwi? Ina maana ni money for service? Duh, kazi tunayo..!

Kudadadeki!
Ukiwa na hela unakula hata visivyoliwa!
At least umemjua ni mtu wa aina gani na kichwani mwake anawaza nini! Hapo sasa kazi ni kwako, maana dunia ni yako na chaguo ni lako!
Na hivi madaktari wengi hawajipendi (rough rough) muonekano wako ulimlazimisha akuulize wafanya kazi gani.
Ingukuwa smart (simaanishi kichwani) asingekuuliza angekuuliza kwa vitendo na kudeduce kuwa unazo au za kuunga na gundi ya mnyaa.
Gari ndio uchawi wa mwisho kwa watoto wa mujini,wewe azima hata STK AU DFP Utawapata tena waambie yako
Leo katika pita pita zangu nikakutana na mdada mmoja mtaani. Huyu dada tumeshawahi kutana mara nyingi, mi najua anafanya kazi gani ila ya alikuwa hajui kazi yangu. Nikamweleza kuwa nina maongezi naye, akanipa namba yake ili nimtafute jioni. Ilipofika jioni nikamtafuta tukaenda pub moja tukaagiza vinywaji na nyama choma. Tukiendelea kunywa akaniuliza nafanya kazi gani? Nikamwambia mi muuzaji wa duka la mhindi. Si akaanza kujishaua, oooh... Unajua kuna mtu nataka nimuwahi aliahidi kunipa hela leo..!., na sababu zingine kibao! Aakiwa anaendelea kujishaua kuna jamaa anayenifahamu akatukuta pale. Katika kunisalimia akataja Dr. Nyalotsi vipi? Kusikia hivyo nikaona mdada kabadirika, akaagiza na kinywaji kingine na kuniuliza, mbona hukunambia kuwa wewe ni dr? Nikamjibu nilitaka nijue kama utavutiwa na mimi kwanza.. Bahati nzuri na simu yangu ikaita kuna jamaa yangu alikuwa zamu, alihitaji nimsaidie. Lakini bado najiuliza, kukiwa hakuna uhakika wa hela hupendwi? Ina maana ni money for service? Duh, kazi tunayo..!
Na hivi madaktari wengi hawajipendi (rough rough) muonekano wako ulimlazimisha akuulize wafanya kazi gani.
Ingukuwa smart (simaanishi kichwani) asingekuuliza angekuuliza kwa vitendo na kudeduce kuwa unazo au za kuunga na gundi ya mnyaa.
Wenye "akili" siku hizi hawaulizi hata kama unaonekana muuza "tingisha"
Wanajua wanachokitafuta
Mzima lakini?
Khaaa!!!
We Kaunga wewe. Shkamo dada.
Hahahah, marihaba umeamka uzuri?
Sijaamka nimekesha. Si unajua tena mie daktari jana nilikuwa zamu ya usiku.
Lakini mie siko rafu kivíile. Usije ukaupiga chini mwaliko wangu bure.
Siku hizi nikiulizwa kazi na binti namuambia nauza karanga
Hii kadhia nilishakumbana nayo sana tu
Laiti wangekuwa wanajua.............!!!!!!!!!
Wenye "akili" siku hizi hawaulizi hata kama unaonekana muuza "tingisha"
Wanajua wanachokitafuta
Mzima lakini?
Niko poa, vipi weye?
Niko poa, vipi weye?
Ayaaaaa!!!
Kaka mleta mada alisema ni muuza duka kwa muhindi, ke alishaanza kuchopoka!
Sasa wewe karanga! Khaa! Usikute anachomoka ndani ya wavu!!!
wakati mwingine huwa wanafikiria atakutambulisha vipi kwa mashosti zake... "baby yangu ni muuza duka kwa wahindi kariakoo" wenyewe wanasema 'aka bibie Inahuu!!'