Nilikua siijui jamii Forums

Nilikua siijui jamii Forums

Kwani pius ni nani? si popo tu yule, Wao wanajua kushutumu tu na kutaka watu wakae kimy!,

This is Necessary noise, zitakufikia popote pale, Next time akiongea kuhusu JF atanitambua!
 
acha uongo wewe, umejiunga leo masaa machache haya umeishasoma na kumaliza post zote?

unajua JF ina post ngapi hadi sasa? angalia statistics na usirudie tena kudanganya great thinkers!

we vp? Kwani kusoma jf ndo kumaliza post zote yeye anamaanisha zile zilizotoka ivi punde mpaka msekwa aanze kulalama! Ivi kwa akili yako ukikutana na mtu anakwambia mi ni dr.bingwa wa binadamu anakuwa amefuzu kumtibu binadamu kwa kila gonjwa au? Au kama iyo kubwa,je ukikutana na mtoto aliyemaliza form6 akakwambia amemaliza shule,ni kweli shule imeisha au amefuzu alichotaka kufuzu,train you mind to think greatly mkuu!
 
Jukwaa la wakubwa halifunguki.

kuna kidude hapo chini ya hii post yangu kimeandikwa thanks kibonyeze.
na ushakaribishwa humu ndani, hapa kila mtu ana chama chake cha siasa.i
na nakukaribisha sana kwenye chama langu tpp-maendeleo ya warmly welkom
 
Karibu SUPRISE, ukweli lengo la jamaii forum si kutetea chama fulani. Hapa ni uwanja wa hoja (Kuchangia na kujieleimisha)zenye mlengo wa kulijenga Taifa letu. "Utaifa mbele"
 
Jana Makamu wetu Pius msekwa alituambia kuwa jamii forums inakipaka matope chama chetu.

Baada ya kuulizia kwa wafanyakazi wenzangu,jamiiforums ni kitu gani,,nimefanikiwa kuelezwa na kujiunga rasmi leo.

Nimesoma post zote, mbona sione uchochezi wowote?

surprise,ccm ilikuwa ya kwanza kuipandisha chati cdm,likaja bunge likamtoa zitto bungeni,cdm ikajenga jina,wakamchafua dr.Slaa,nenda popote uulize Slaa nani utaambiwa ni yule aliyeibomoa ccm,sasa Msekwa ameamua Kuitangaza Jf Tanzania nzima,tunamshukuru na nakuhaidi kuwa Msekwa ataongeza rejistadi members jamvini,kwa vitisho vyake ametujenga Jf. Hata ivo karibu mkuu,Tanzania ni ya wananchhi. Hilo tu ndo tunataka litekelezwe!
 
Huyu kweli ametoka CCM, JF sio pakuchezea kama FB...hapa ni great thinkers.
Sasa anadhani hapa tunachat, tusubiri viroja kuendelea kujiri baada ya kauli ya jana ya makamu mwenyekiti wa chama tawala maana ameifanyia promo JF.
 
Mr Msekwa said technological advancement that has led to invention of online social
networks such as blogs, facebook, YouTube and twitter have made easier for mobilising people and that the reforms within CCM will seek to cope with cyber dynamism.
He added that the increased number of educated Tanzanians as a result of expansion of secondary schools and higher learning institutions in the country has led to emergence of
knowledge society and entrenched use of social networks to share information.

“A vivid example is Jamii Forums (one of local online forums) which has been established
by youth belonging to Chadema
that works to undermine CCM and the government,” he said. The demographic structure of Tanzania in which almost two thirds of the country’s 40 million people are youths, who are attracted to changes were among challenges that the party seeks to address, according to Msekwa.

Daily News | CCM raps anti-ruling party plots

JF inawafanya hawa wazee kuweweseka sana
 
Jana Makamu wetu Pius msekwa alituambia kuwa jamii forums inakipaka matope chama chetu.

Baada ya kuulizia kwa wafanyakazi wenzangu,jamiiforums ni kitu gani,,nimefanikiwa kuelezwa na kujiunga rasmi leo.

Nimesoma post zote, mbona sione uchochezi wowote?

karibu,..
hapa ndio home kwa ma-great thinkers mkuu......
 
Hivi kulipia tangazo kwenye vyombo vya habari ni shilingi ngapi mpaka hii jamiiforumu inashindwa kujitangaza?
Wengi hawaijui kabisa.

kazi ya kujitangaza tunafanyiwa na chama cha magamba free, ya nini tukalipe tena. kuhusu wengi kuijua itajulikana tu alimradi tumeshapata advertising agency.

ni kama wewe ulivyoijua nina hakika umetutangaza kwa watu wasiopungua kumi, hasa wa hapo ofisini kwako, na baada ya kutoka hapa, mavituz utakayopaka humu huwezi kukaa kimya lazima utasema tena, karibu sana.
 
Mr Msekwa said technological advancement that has led to invention of online social
networks such as blogs, facebook, YouTube and twitter have made easier for mobilising people and that the reforms within CCM will seek to cope with cyber dynamism.
He added that the increased number of educated Tanzanians as a result of expansion of secondary schools and higher learning institutions in the country has led to emergence of
knowledge society and entrenched use of social networks to share information.

"A vivid example is Jamii Forums (one of local online forums) which has been established
by youth belonging to Chadema
that works to undermine CCM and the government," he said. The demographic structure of Tanzania in which almost two thirds of the country's 40 million people are youths, who are attracted to changes were among challenges that the party seeks to address, according to Msekwa.

Daily News | CCM raps anti-ruling party plots

JF inawafanya hawa wazee kuweweseka sana

Huyu mkerewe mwenzangu is not informed kabisa, nakumbuka wakati makamba anashutumiwa kwa kuwakataza ccm kushiriki midahalo prior to uchaguzi mkuu, alisema wao wana njia zao za kuongea moja kwa moja na wananchi, vipi hazikusaidia? this is very good news.
 
Nadhani Msekwa na CCM wenzake wameitaja Jamii forum sio kwa maana halisi ya kulaumu bali ni mbinu ya kuwahadaa Watanzania hasa wale wasiojua masuala ya internet and social networking. I believe not more than 1m Tanzania ndio wana access ya internet na kati ya hao wanotumia social network ni number ndogo sana, ndio mana JF ina about 35,916 registered members.

Ili kuonyesha kuwa CCM bado inawachukulia Watanzania kama ni wajinga wanaodanganyika kirahisi wameingia na gia kuwa CCM haina makosa ila kuna nguvu kutoka nje wakazitaja kama Ukoloni mambo leo (je hili linaingiaje hapa wakati CCM na serekali wanategemea wafadhili haohao), na maendeleo ya mawasiliano. Kule vijijini wazee wengi wanajua ukoloni mambo leo ni kitu kibaya, wakati serekali yetu ndio inafuata huo mfumo. Wale wazee hawajui Twiter, Facebook (ni lugha ya kigeni) hivyo ukiitaja Jamii forum ni rahisi kueleweka na kwa vile hawajui hiyo JF inatazamikaje basi wataichukulia kama kitu kibaya.

CCM ni chama cha propaganda na sio watendaji. Ili wawe wasafi waonyeshe kuwa yaliyosemwa yote ni uongo....na sasa issue ya Package ya kuukomboa uchumi itawala tena mana ndio inaonekana ilisaidia campaign...wajibu hizo shutuma kwa hoja wasiwahadae watanzania. 40% (Vijana) sasa hawadanganyiki.
 
we vp? Kwani kusoma jf ndo kumaliza post zote yeye anamaanisha zile zilizotoka ivi punde mpaka msekwa aanze kulalama! Ivi kwa akili yako ukikutana na mtu anakwambia mi ni dr.bingwa wa binadamu anakuwa amefuzu kumtibu binadamu kwa kila gonjwa au? Au kama iyo kubwa,je ukikutana na mtoto aliyemaliza form6 akakwambia amemaliza shule,ni kweli shule imeisha au amefuzu alichotaka kufuzu,train you mind to think greatly mkuu!

Mkuu nadhani ni kweli haikuwa sahihi kwa suprise kusema amesoma post zote, huku akiwa amejiunga leo tu. na pili Msekwa hajalalamika kwa post zilizotoka hivi punde. usimkaripie mwenzio hana kosa lolote.
 
Pius hanajifanya amjui adui wa chama chake?mzee amepotoka ucant avoid social netwok kwa maslai ya chama,inawezekana na yy yumo humu ila ndio hatumjui,makamu mkiti bado apange jinsi ya kukinusuru chama,anapambana na kivuri,kazi kwelikweli

ni kwamba huyu jamaaa(msekwa) ni senior expert member wa jf ndo analalamika angukuwa haijui asingeropoka kwa kama kitu hujui ni ngumu kukiongea... ni hayo tu mkuu
 
Jana Makamu wetu Pius msekwa alituambia kuwa jamii forums inakipaka matope chama chetu.

Baada ya kuulizia kwa wafanyakazi wenzangu,jamiiforums ni kitu gani,,nimefanikiwa kuelezwa na kujiunga rasmi leo.

Nimesoma post zote, mbona sione uchochezi wowote?

Karibu sana
 
Karibu kwenye jumuiya wa Great Thinkers. Jisikie huru kuchangia, ila zingatia haya:
Moja:ufikirie kwanza kabla ya kupost siyo upost ndo ufikirie. Utapachoka hapa kesho tu.
Pili, hapa tunajadili masilahi ya nchi bila kujali uachama au ushabiki wa chama chako. Hii ndio inayowatofautisha hata ndani ya ccm kati ya mafisadi na wazalendo. Kwa hiyo usilete ushabiki wa chama bali ushabiki wa masilahi ya nchi yetu tunayoipenda TZA.
Tatu: Jadili zaidi ideas na events kidongo lakini siyo watu (Gossip). Ninapozungumzia ideas namaanisha issues zinazonguza taifa kama Uraisi, katiba, kiongozi fulani n.k katika lengo la utendaji.
Mwisho: Kama unataarifa yoyote ya siri au la kutoka CCM tafadhari ilipue hapa ili kusaidia nchi yako. Kuwa mzalendo kwa kutetea utu, utaifa na mali za nchi yako Tanzania.

Karibu tena.
 
Back
Top Bottom