Hyrax
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 619
- 1,581
nishapigwa sana bakora na kuchanjwa chale ziziso na idadiKabla ya hapo, ulikua unakutana nao.
nishapigwa sana bakora na kuchanjwa chale ziziso na idadiKabla ya hapo, ulikua unakutana nao.
Hhahaha......hiyo ina tofauti gani na uganga unaofanywa na manabii wa mchongo!kwa hiyo unataka tubishane ikiwa huo muda sina. baki na ujuaji wako maana watanzania kila kitu ni kubisha kumbe kichwani ni empty set kapake hayo mafuta ya elfu 50 unayosema ni virgin utanipa mrejesho.
Nashukuru, namtegemea Mungu aendelee kunilinda, na mambo hayo, mimi hizo vutugu nasimuliwa tu kama hivi.nishapigwa sana bakora na kuchanjwa chale ziziso na idadi
wapi hiyo ilikuwa, atown ama.. mitaa ganiNliwahi kutana na mapuuza yanayotaka kufanana na hayo Sema wale walikua wanachana makaratasi, ukiwa sebuleni wanachana huko chumbani ukiwa chumbani unaskia chumbani binafsi nlikuwa sielew na wala Kwa akili za haraka sikufikiria kama yaweza kua mambo ya ushirikina maana nlikuwa kama napatwa na uzezeta flan chaliangu moja ndo akaniambia mbn hii siyo kawaida ni kama akili yangu ilifunguka gafla na kuelewa nn kinaendelea!
Baadae hali ilizidi kua mbaya usiku hatulali hzo kelele, mchanga unamwaga juu ya bati, mara vishindo bahati nzuri miongoni mwa wapangaji alikuepo Mnyamwezi moja alienda kwao akarudi na madawa yake aisee tulikaa miaka mitatu hatukupata usumbufu wowote!
Eeee kaka A town ni kwetu, sema hv vituko vilinitokea kule njiro uhindiniwapi hiyo ilikuwa, atown ama.. mitaa gani
Dar es salaam upo pia Kuna makazi mapya nili amia duu ikawa ni shuhuri ingine ๐ ๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃ Watu wanapaponda sana Dar ila siwazi kuishi sehemu nyingine yoyote.Dar es salaam upo pia Kuna makazi mapya nili amia duu ikawa ni shuhuri ingine ๐ ๐
Asante Kwa brother Gily na wadau wengine wengi wa humu Jf mbinu zenu zimesaidia Sasa naishi Kwa amani japo mwanzoni nilitaka kukimbia....
Jibu ni YESU KRISTO WA NAZARETH ALIE HAI LEO
''Watu bwangu wanaangamia kwa kukosa maarifa''. Hayo maelezo uliyotoa ndiyo yanathibitisha kuwa kuna uchawi? Hujui kuna wenye nyumba wajanaja wanaweka spika darini na kufanya vitimbi kama hivyo ili kufukuza wapangaji?uchawi hauonekani kirahisi kama kwenye muvi zinazotungwa na ma director ambao wanatengeneza picha tunayoiona kwenye muvi inayotokana na mawazo yao na kuaminisha wengine wauone kwa jinsi wanavyofikiri.
Kiuhalisia ni tofauti kabisa, watu wengi wamekariri wachawi wanapaa na ufagio sababu wameona kwenye muvi za harry potter ila yote yale yalikuwa mawazo ya mtu moja director,
njro naijua uzunguni ya kule upande wa relini uliotenganishwa na barabara, hio uhindini ya wapi...Eeee kaka A town ni kwetu, sema hv vituko vilinitokea kule njiro uhindini
huwa wanaweka ng'ombe zikimbie darini ?''Watu bwangu wanaangamia kwa kukosa maarifa''. Hayo maelezo uliyotoa ndiyo yanathibitisha kuwa kuna uchawi? Hujui kuna wenye nyumba wajanaja wanaweka spika darini na kufanya vitimbi kama hivyo ili kufukuza wapangaji?
Usipo ishi TANZANIA (DSM) ๐น๐ฟ๐น๐ฟ Ukaishi wap ๐๐๐๐๐โบ๏ธ๐ ๐ ๐ค๐ค๐คฃ๐คฃ๐คฃ Watu wanapaponda sana Dar ila siwazi kuishi sehemu nyingine yoyote.
Kipindi icho tuliita mtanange sisi tunasoma comment ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐njro naijua uzunguni ya kule upande wa relini uliotenganishwa na barabara, hio uhindini ya wapi...
pia ukimaliza kunijibu nakuhitaji >> huku >>
Hapana bhana mbona yapo mengi sana kwa bei nzuri..ukienda kwenye misikiti ama maeneo yaliyokaribu na misikiti yanauzwa sana. Waislamu wanaijua elimu ya kiroho wanayatumia na wanajua sifa zakeNikidaka kamshahara nikanunue haya.
ina maana lita 2 inakimbilia million
Mkuu ulipatwa na niniDar es salaam upo pia Kuna makazi mapya nili amia duu ikawa ni shuhuri ingine ๐ ๐
Asante Kwa brother Gily na wadau wengine wengi wa humu Jf mbinu zenu zimesaidia Sasa naishi Kwa amani japo mwanzoni nilitaka kukimbia....
Jibu ni YESU KRISTO WA NAZARETH ALIE HAI LEO
Nilikua natokewa na watu usiku chumbani physicalMkuu ulipatwa na nini
Pale zle quarter za maghorofa ya sunflag wanapokaaa wahindi, njiro kutamu kule kampan za watoto wa uhasibu, wi Fi chuoni, matamasha ya o mara nyingi inakuaga ijumaaanjro naijua uzunguni ya kule upande wa relini uliotenganishwa na barabara, hio uhindini ya wapi...
pia ukimaliza kunijibu nakuhitaji >> huku >>