Nilikosa amani yote kwa kusumbuliwa na wachawi, nilikuwa nalala alfajiri huku nanunua betri ya tochi kila siku, nilihama nyumba

Mbwa walikuwa wanakwangua usiku. Pia kuna wanyama kama mijusi wanapiga kelele. Kama ni mgeni na hujui wanyama wa hapo unaweza sema ni watu.
 
kwa hiyo unataka tubishane ikiwa huo muda sina. baki na ujuaji wako maana watanzania kila kitu ni kubisha kumbe kichwani ni empty set kapake hayo mafuta ya elfu 50 unayosema ni virgin utanipa mrejesho.
Hhahaha......hiyo ina tofauti gani na uganga unaofanywa na manabii wa mchongo!
 
Swali la nje ya mada hivi kwanini Arusha kuna tatizo kubwa sana la umeme yaani Arusha suala la mgao wa umeme au umeme kukatika ni suala la kawaida kabisa je kuna ugomvi gani kati ya wana Arusha na Tanesco na kama sio ugomvi je kuna tatizo gani
 
Nliwahi kutana na mapuuza yanayotaka kufanana na hayo Sema wale walikua wanachana makaratasi, ukiwa sebuleni wanachana huko chumbani ukiwa chumbani unaskia chumbani binafsi nlikuwa sielew na wala Kwa akili za haraka sikufikiria kama yaweza kua mambo ya ushirikina maana nlikuwa kama napatwa na uzezeta flan chaliangu moja ndo akaniambia mbn hii siyo kawaida ni kama akili yangu ilifunguka gafla na kuelewa nn kinaendelea!

Baadae hali ilizidi kua mbaya usiku hatulali hzo kelele, mchanga unamwaga juu ya bati, mara vishindo bahati nzuri miongoni mwa wapangaji alikuepo Mnyamwezi moja alienda kwao akarudi na madawa yake aisee tulikaa miaka mitatu hatukupata usumbufu wowote!
 
wapi hiyo ilikuwa, atown ama.. mitaa gani
 
Unawaambia Nini wakishua watoto wa daslam

Wanaosema uchawi haupoView attachment 2631750
Dar es salaam upo pia Kuna makazi mapya nili amia duu ikawa ni shuhuri ingine ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Asante Kwa brother Gily na wadau wengine wengi wa humu Jf mbinu zenu zimesaidia Sasa naishi Kwa amani japo mwanzoni nilitaka kukimbia....

Jibu ni YESU KRISTO WA NAZARETH ALIE HAI LEO
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Watu wanapaponda sana Dar ila siwazi kuishi sehemu nyingine yoyote.
 
uchawi hauonekani kirahisi kama kwenye muvi zinazotungwa na ma director ambao wanatengeneza picha tunayoiona kwenye muvi inayotokana na mawazo yao na kuaminisha wengine wauone kwa jinsi wanavyofikiri.

Kiuhalisia ni tofauti kabisa, watu wengi wamekariri wachawi wanapaa na ufagio sababu wameona kwenye muvi za harry potter ila yote yale yalikuwa mawazo ya mtu moja director,
''Watu bwangu wanaangamia kwa kukosa maarifa''. Hayo maelezo uliyotoa ndiyo yanathibitisha kuwa kuna uchawi? Hujui kuna wenye nyumba wajanaja wanaweka spika darini na kufanya vitimbi kama hivyo ili kufukuza wapangaji?
 
huwa wanaweka ng'ombe zikimbie darini ?
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Watu wanapaponda sana Dar ila siwazi kuishi sehemu nyingine yoyote.
Usipo ishi TANZANIA (DSM) ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Ukaishi wap ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ™‚โ˜บ๏ธ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿค“๐Ÿค“
 
Nikidaka kamshahara nikanunue haya.
ina maana lita 2 inakimbilia million
Hapana bhana mbona yapo mengi sana kwa bei nzuri..ukienda kwenye misikiti ama maeneo yaliyokaribu na misikiti yanauzwa sana. Waislamu wanaijua elimu ya kiroho wanayatumia na wanajua sifa zake
 
Dar es salaam upo pia Kuna makazi mapya nili amia duu ikawa ni shuhuri ingine ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Asante Kwa brother Gily na wadau wengine wengi wa humu Jf mbinu zenu zimesaidia Sasa naishi Kwa amani japo mwanzoni nilitaka kukimbia....

Jibu ni YESU KRISTO WA NAZARETH ALIE HAI LEO
Mkuu ulipatwa na nini
 
njro naijua uzunguni ya kule upande wa relini uliotenganishwa na barabara, hio uhindini ya wapi...

pia ukimaliza kunijibu nakuhitaji >> huku >>
Pale zle quarter za maghorofa ya sunflag wanapokaaa wahindi, njiro kutamu kule kampan za watoto wa uhasibu, wi Fi chuoni, matamasha ya o mara nyingi inakuaga ijumaaa

Nlistay kule 2016-2020 ndo nkaja kwa chalamila land
 
Back
Top Bottom