Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 11,017
- 16,308
Mali humlilia mwenyewe
Hiyo ya baadae lkn akikuwa ataelezwa na baba km atajitokeza atalipa faini kuendana na kabila leo
Mali humlilia mwenyewe
OkKuna walimu na walinzi
Mkuu please have a 1 litre bottle of cold coke, i will foot the bill, hongera kabisa you have spoken like king solomon tho not many will give attention to what you have just said, blessings mkuuUnachosema ni kweli mambo hayo yanatokea sana, Mimi kuna jamaa nilimkuta sehemu nikasikia hadithi yake anatembea na binti wa primary school zamani kidogo kama miaka 5 au 6 imepita nikamuoji na kumshangaa nikamwambia kwa nini unafanya hivyo ananiambia nitafanyaje sasa na hata Mimi nilivyofanya nae ngono sikumkuta bikra.
Nikamuuliza je unatumia Kinga ukiwa unafanya naye akaniambia situmii kinga ya nini, nikabaki naangalia chini na kushika kichwa na he was very Normal wakati ananielezea, of which inakupa picha kwa hajali what will be the outcomes Either kwa kujua au kutokujua
Na wasichojua wanaume wengi kisaikolojia hakuna, Binti wala mwanamke yeyote anaye penda kuingiliwa pasipo ridhaa yake, na kuwaingilia mabinti wadogo ni kuwaharibu kisaikolojia. LAKINI HAKUNA ANAYEJALI
Asikwambie mtu haya mataifa yaliyoendelea wanajitahidi sana kulinda maadili yao, kulinda vizazi vyao at large. Safari tuliyo nayo ni ndefu sana
pls try read and understand the messageAcha uongo wewe. Shule ya kulipa 1.6 maana yake ni private school ambayo mtoto akipata mimba hafukuzwi shule. Anaweza kuzaa na kurudi shule.
Nilimuacha akiwa mdogo sana na alikuwa anasoma shule ya msingi wakati ule Mimi nilikuwa naondoka mkoani kuja Dar kutafuta Maisha.
Miaka ilienda baadae akakua na akawa anaanza elimu ya sekondari , wakati huo Mimi nilikuwa nimeanza kupata vijihela kidogo nikaona ni bora dogo akasome private ili muda wake mwingi uwe ni shuleni
Ada kwa mwaka ni mil 1.6 amesoma miaka 4 mwaka huu alitakiwa amalize kidato cha 4 ,lakini napigiwa simu na mwalimu wake eti ana mimba tena ya miezi 4
Na ada nimelipa miaka yote minne ,ni zaidi ya milion 7 imetumika.Hapa nawaza naona bora ningeliacha mapema nisingehangaika nalo..
Mwalimu wake ananiambia tuma nauli mtoto arudi nyumbani, nimemwambia kama hawezi kutembea kwa miguu basi atembelee tumbo kurudi nyumbani kwao.
Ongea na walimu wasifute usajili wake,miezi mitano michache,Muombe Mungu ajifungue salama,alee mtoto kwa miezi sita,then omba uhamisho akasome day school iliyokaribu na home,trust me ameshajifunza ya kutosha,na atasoma kwa bidii sana.Mpe moyo akiwa nyumbani aendelee kusoma vitu vya form three,ili iwe rahisi kucatchup akirudi shule.Daah! Pole sana mkuu... Jitahidi umvushe hapo. Akijifungua mpeleke qt amalize firm four umpeleke Veta kisha uachane naye...
Hapa pia ndiyo sehemu ya wanaume wenzangu kuona umuhimu wa kuacha kutembea na hawa mabinti wa teens sababu level ya maturity na kimaadili ni ndogo sana
Yaani unamtongoza na anakukubali lakini ukifikiri kwa undani zaidi ni kama umemrubuni tu, si vizuri kabisa
Nilimuacha akiwa mdogo sana na alikuwa anasoma shule ya msingi wakati ule Mimi nilikuwa naondoka mkoani kuja Dar kutafuta Maisha.
Miaka ilienda baadae akakua na akawa anaanza elimu ya sekondari , wakati huo Mimi nilikuwa nimeanza kupata vijihela kidogo nikaona ni bora dogo akasome private ili muda wake mwingi uwe ni shuleni
Ada kwa mwaka ni mil 1.6 amesoma miaka 4 mwaka huu alitakiwa amalize kidato cha 4 ,lakini napigiwa simu na mwalimu wake eti ana mimba tena ya miezi 4
Na ada nimelipa miaka yote minne ,ni zaidi ya milion 7 imetumika.Hapa nawaza naona bora ningeliacha mapema nisingehangaika nalo..
Mwalimu wake ananiambia tuma nauli mtoto arudi nyumbani, nimemwambia kama hawezi kutembea kwa miguu basi atembelee tumbo kurudi nyumbani kwao.
Hapo kama mimi ni Kaka na'mbananisha amtaje alieyemtia mimba alafu kizaazaa ndo kianzie hapo....Pole sana, sana mpaka nimewaza kuhusu wadogo zangu pia, lakini ndyo ishatokea usimtenge isije kumletea shida hasa kwa hali aliyonayo.
Unajua kuna kile kipindi cha ukuaje/balehe ,inakua inasumbua vijana na vibinti yaani ni umri ambao unakua unataka kujaribu kila kitu,ashki za hapa na pale yaani arrgh. Hivo msamehe atajutia kosa lake na huenda akabadilika na kuwa mfano bora kabisa.
Hajafanya jambo zuri ila usimtenge.
Yaani, inaumiza hata kutumia kinga tu hakuna wakati anajua anatembea na mwanafunzi, [emoji30] [emoji30]Hapo kama mimi ni Kaka na'mbananisha amtaje alieyemtia mimba alafu kizaazaa ndo kianzie hapo....