Kwa nini unawaza hivyo?mkuki kwa nguruwe........cha ajabu yeye mwenyewe jamaa anarubuni vitoto vya kike
Kwamba hata wewe unafanya hivyo?
Kwa nini unawaza hivyo?mkuki kwa nguruwe........cha ajabu yeye mwenyewe jamaa anarubuni vitoto vya kike
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] Ana nyota ya mimba huyoo malaya alafu anadakaa mimba ka ugoroo[emoji119][emoji119][emoji23][emoji23]
Mimi imenitokea pia nimekauka kama kisiki chapingo hata aje nani simsikiliziYani mm nikipata hiyo taarifa hata siongei kitu. Huyo dogo atajua yeye mwenywe
Uko sahihi na hilo nililifanya sana kila wakati nilikae nae kumwelimisha, kumtia moyo, kumwonyesha kuwa alikuwa na wajibu kwa mwanae na hivyo anatakiwa kusoma ili siku moja ajitegemee, na kwa kuwa nilikuwa namwamini kichwani nilishaanza kumfikiria namna ya kumwendeleza, na kwa bahati mbaya kwake alipata div 4 na alikuwa na nafac ya kusomea ualimu ila ndo hivyo hakuna matunda.Pole sana ndugu yangu!
Nafikiri ni muhimu katika malezi wazazi wa kiume tukawa karibu sana na mabinti zetu, sio kuwabana bali ni kujaribu kuwaelewesha baadhi ya mambo. Hii itasaidia sana kutokuwahi kukimbilia wanaume mapema.
Achukue tu hayo maamuzi magumu hujajua tu uchungu wa kaka and i support him 100%Usikate tamaa kiasi hicho, tafuta mbinu ya kumsaidia .watoto wa kike wana roho nyepes sana kama utamtenga katika wakati huu mgumu. Anaweza kuchukua maamuzi mabaya.
Uko sahihi na hilo nililifanya sana kila wakati nilikae nae kumwelimisha, kumtia moyo, kumwonyesha kuwa alikuwa na wajibu kwa mwanae na hivyo anatakiwa kusoma ili siku moja ajitegemee, na kwa kuwa nilikuwa namwamini kichwani nilishaanza kumfikiria namna ya kumwendeleza, na kwa bahati mbaya kwake alipata div 4 na alikuwa na nafac ya kusomea ualimu ila ndo hivyo hakuna matunda.
Ukute ni mwanafunzi mwenzie sasa ndio alikuwa anatest naye topic ya reproduction kwa vitendo.Hiyo mimba asingeipata Kama asingeenda Shule mwozeshe kwa huyo aliyemtia mimba .Akamsomeshe mwenyewe mtia mimba
Mimi imenitokea pia nimekauka kama kisiki chapingo hata aje nani simsikilizi
Kama ni mtu wa nje Kijana mkubwa.??Kuua hapana lazima ahakikishe anafukuzwa shule.
Kwanini umeniuliza hivyo?Kama ni mtu wa nje Kijana mkubwa.??
Safi kabisa,,,, busara tupu hiiHapa pia ndiyo sehemu ya wanaume wenzangu kuona umuhimu wa kuacha kutembea na hawa mabinti wa teens sababu level ya maturity na kimaadili ni ndogo sana
Yaani unamtongoza na anakukubali lakini ukifikiri kwa undani zaidi ni kama umemrubuni tu, si vizuri kabisa
Sio uzi wangu huu nilijaribu kushea tu stori yangu ambayo kidogo inaendana na mleta uzi.kwahio ulisomesha ili usipate fedhea na sio kusaidia (hence ndio maana nikasema uzi wako ni full contradictions)
Zipo nyingi sana, hakuna kusamehe upumbavu kama huu, mimi sikuwa na akili na huruma zangu ziliniponza tena maushauri kama haya niliyakaribisha sana ndiyo yaliyoniharibia zaidi.kwahio unataka kusema wote waliosamehe mwisho wake ulikuwa kama wako ? Au hakuna case studies ambazo mwisho wake ni fotauti ?
Sina machungu ya kutokunitafuta nina machungu ya fedha zangu, muda wangu na fedheha kwa familia na ukoo kwa ujumla.Sasa huoni kutokuwa kwake machoni kwako ni faida kwako na kwake.., nina uhakika aliyemwoa anamtambua na kumuhitaji na wewe kumsaidia umetekeleza wajibu wako na kwa faida yake mengine ni kumuachia yeye na mzigo wake..., kama hutaki kumuona alafu bado una hasira nae nadhani machungu ni kuona alikuwa hana fadhila za kutokukutafuta (ambayo ni kweli kafanya kosa) ila huenda roho inamsuta ila uoga wa kujua wewe siku ukimuona utataka kumuua unamfanya aumie peke yake.., nina uhakika siku ukimtafuta na kumsalimia tu na kusema hauna kinyongo... wote yeye na wewe mtapunguza mzigo mzito rohoni
Nimeona umesema amuachishe shule hujawaza labda katembea na mtu mwingine tofauti na mwanafunzi.Kwanini umeniuliza hivyo?
Nimesema hivyo sababu boarding huwa wanabanwa Sana na mazingira ya njeNimeona umesema amuachishe shule hujawaza labda katembea na mtu mwingine tofauti na mwanafunzi.