Nilifanya ujinga kumsomesha mdogo wangu wa kike

Nilifanya ujinga kumsomesha mdogo wangu wa kike

Mkuu unakosea sana, narudia tena unakosea sana,
mkuu,Mimi naona jamaa hajakosea kabisa,narudia tena jamaa yuko sahihi kabisa,yaani kaingia gharama kiasi hicho Dogo kaharibu na kudharirisha familia halafu amtumie nauli tena kurudi hom???kama anataka kurudi hom atumie njia anazojua yeye,kama vipi amfuate alompachika mimba au watumiane nauli,wapumbavu sana hawa madogo,labda halijakukuta mkuu
 
Na hii inafanya jamii yetu ya kitanzania kuwa na future ambayo kiukweli inaogofya sana, I agree with you tatizo linaanzia kwa sisi wanaume kwanini ushindwe kufanya tathimini ya maisha yako unampa Binti ujauzito afu unakimbia

Yote hii inasababishwa na kutokujali kwetu sote kama watanzania.

Jamii haijali, wazazi hawajali, watoto hawajali, serikali haijali. Hakuna anayejali

UKIKUBALI WAJIBU TIMIZA WAJIBU .

Hivi culture kwa kiswahili ni utamaduni...!!??

Basi tumepoteza utamaduni, upendo, mshikamano na kuilinda jamii yetu. Leo hii unaenda New Africa Hotel unakuta meza ya jirani baba wa maika 45 anakula na binti wa miaka 16 hadi 20.... Unajiuliza Hata kama amevuka miaka 18... Huo ni uharibifu huyo binti kwa miaka Hiyo alitakiwa awe anamalizia shule na kama aliishia darasa la saba basi walau awe na elimu ya ufundi stadi ya kumuwezesha kuishi.

Na hapo hakuna atayemuuliza huyo baba mbona unaonekana kwenye nyumba za starehe na binti ambaye kwa umri yuko sekondari badala yake tuna gossip....

The future is hunting us in the middle of the Jungle. Ni mwanzo wa ama zako ama zangu looh hehehehheee.
 
Dah nimekumbuka watoto wa mama ntilie.. NANI ANAJALI?

Ndiyo hivyo Mkuu, idadi kubwa ya Raia sisi hakuna anayejali na asikwambie mtu kwa namna mifumo hii inavyoendelea hatuwezi kufika popote labda miaka 2000 ijayo.

Kiwango cha civilization ni muhimu sana kwa raia wa taifa ambalo linataka maendeleo

Wenyewe wanakwambia lazima tufikiri na tufikiri positively kabisa
 
Nilimuacha akiwa mdogo sana na alikua anasoma shule ya msingi wakati ule Mimi nilikua naondoka mkoani kuja dar kutafuta Maisha..

Miaka ilienda baadae akakua na akawa anaanza elimu ya sekondari , wakati huo Mimi nilikua nimeanza kupata vijihela kidogo nikaona ni bora dogo akasome private ili muda wake mwingi uwe ni shuleni

Ada kwa mwaka ni mil 1.6 amesoma miaka 4 mwaka huu alitakiwa amalize kidato cha 4 ,lakini napigiwa sim na mwalimu wake eti ana mimba tena ya miezi 4

Na Ada nimelipa miaka yote mi nne ,ni zaidi ya milion 7 imetumika,,hapa nawaza naona bora ningeliacha mapema nisinge hangaika nalo..

Mwalimu wake ananiambia tuma nauli mtoto arudi nyumbani , nimemwambia kama hawezi kutembea kwa miguu basi atembelee Tumbo kurudi nyumbani kwao
NJOOO KWA MWAMPOSAAA ELSE SOON NAKUONA KICHWA KITAPATA MOTO UTAKUWA UNAONGEA MWENYEWE BARABARANI
 
Floow, najua inavyouma dogo akitundikwa mimba, wanaume kwa kulenga[emoji23] hatujambo.
Lakini nikwambie kuwa usimlsumu, usijutie maamuzi yako.
Ukimtenga na kumchukia umemharibia maisha yake yote.
Jitie nguvu, ruhusu kifua chako kinyonye uchungu, maumivu yake halfa zalisha upendo moyoni na kinywani mwako mpe maneno ya kutia moyo.

Mwambie; (dogo umeniumiza sana lakini nimekusamehe, usikate tamaa bado unayo nafasi ya kubadili maisha yako, haya ni ya muda mfupi)

Atakupenda
Atakuheshimu
Atajutia alichofanya
Na hata akirudi shule
Hatafanya ujinga tena.
Mkuu usimwache na usimkaripie

Bali mchape na kiboko cha upendo
Yaani maneno ya kumtia moyo na
Msamaha
Nilimuacha akiwa mdogo sana na alikua anasoma shule ya msingi wakati ule Mimi nilikua naondoka mkoani kuja dar kutafuta Maisha..

Miaka ilienda baadae akakua na akawa anaanza elimu ya sekondari , wakati huo Mimi nilikua nimeanza kupata vijihela kidogo nikaona ni bora dogo akasome private ili muda wake mwingi uwe ni shuleni

Ada kwa mwaka ni mil 1.6 amesoma miaka 4 mwaka huu alitakiwa amalize kidato cha 4 ,lakini napigiwa sim na mwalimu wake eti ana mimba tena ya miezi 4

Na Ada nimelipa miaka yote mi nne ,ni zaidi ya milion 7 imetumika,,hapa nawaza naona bora ningeliacha mapema nisinge hangaika nalo..

Mwalimu wake ananiambia tuma nauli mtoto arudi nyumbani , nimemwambia kama hawezi kutembea kwa miguu basi atembelee Tumbo kurudi nyumbani kwao
 
Hivi culture kwa kiswahili ni utamaduni...!!??

Basi tumepoteza utamaduni, upendo, mshikamano na kuilinda jamii yetu. Leo hii unaenda New Africa Hotel unakuta meza ya jirani baba wa maika 45 anakula na binti wa miaka 16 hadi 20.... Unajiuliza Hata kama amevuka miaka 18... Huo ni uharibifu huyo binti kwa miaka Hiyo alitakiwa awe anamalizia shule na kama aliishia darasa la saba basi walau awe na elimu ya ufundi stadi ya kumuwezesha kuishi.

Na hapo hakuna atayemuuliza huyo baba mbona unaonekana kwenye nyumba za starehe na binti ambaye kwa umri yuko sekondari badala yake tuna gossip....

The future is hunting us in the middle of the Jungle. Ni mwanzo wa ama zako ama zangu looh hehehehheee.

Unachosema ni kweli mambo hayo yanatokea sana, Mimi kuna jamaa nilimkuta sehemu nikasikia hadithi yake anatembea na binti wa primary school zamani kidogo kama miaka 5 au 6 imepita nikamuoji na kumshangaa nikamwambia kwa nini unafanya hivyo ananiambia nitafanyaje sasa na hata Mimi nilivyofanya nae ngono sikumkuta bikra.

Nikamuuliza je unatumia Kinga ukiwa unafanya naye akaniambia situmii kinga ya nini, nikabaki naangalia chini na kushika kichwa na he was very Normal wakati ananielezea, of which inakupa picha kwa hajali what will be the outcomes Either kwa kujua au kutokujua

Na wasichojua wanaume wengi kisaikolojia hakuna, Binti wala mwanamke yeyote anaye penda kuingiliwa pasipo ridhaa yake, na kuwaingilia mabinti wadogo ni kuwaharibu kisaikolojia. LAKINI HAKUNA ANAYEJALI

Asikwambie mtu haya mataifa yaliyoendelea wanajitahidi sana kulinda maadili yao, kulinda vizazi vyao at large. Safari tuliyo nayo ni ndefu sana
 
mkuu,Mimi naona jamaa hajakosea kabisa,narudia tena jamaa yuko sahihi kabisa,yaani kaingia gharama kiasi hicho Dogo kaharibu na kudharirisha familia halafu amtumie nauli tena kurudi hom???kama anataka kurudi hom atumie njia anazojua yeye,kama vipi amfuate alompachika mimba au watumiane nauli,wapumbavu sana hawa madogo,labda halijakukuta mkuu
Huyo dogo inabidi aachwe ajifunze.
 
Back
Top Bottom