APEFACE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 6,191
- 12,384
Utamu mama...wanapenda kavukavuYaani, inaumiza hata kutumia kinga tu hakuna wakati anajua anatembea na mwanafunzi, [emoji30] [emoji30]

Nilimuacha akiwa mdogo sana na alikuwa anasoma shule ya msingi wakati ule Mimi nilikuwa naondoka mkoani kuja Dar kutafuta Maisha.
Miaka ilienda baadae akakua na akawa anaanza elimu ya sekondari , wakati huo Mimi nilikuwa nimeanza kupata vijihela kidogo nikaona ni bora dogo akasome private ili muda wake mwingi uwe ni shuleni
Ada kwa mwaka ni mil 1.6 amesoma miaka 4 mwaka huu alitakiwa amalize kidato cha 4 ,lakini napigiwa simu na mwalimu wake eti ana mimba tena ya miezi 4
Na ada nimelipa miaka yote minne ,ni zaidi ya milion 7 imetumika.Hapa nawaza naona bora ningeliacha mapema nisingehangaika nalo..
Mwalimu wake ananiambia tuma nauli mtoto arudi nyumbani, nimemwambia kama hawezi kutembea kwa miguu basi atembelee tumbo kurudi nyumbani kwao.
Jitahdi kua mvumilivu.penda adui yako.tena akifika usioneshe unahasira,lapili kama siku nyingine uwage unawaweka karibu yako wakirudi likizo.(unawapa shule ,kama bado unao wapeleke hospito wagongwe kipinga mimba cha miaka 5,akiaza tu fom 1,mtafte drNilimuacha akiwa mdogo sana na alikuwa anasoma shule ya msingi wakati ule Mimi nilikuwa naondoka mkoani kuja Dar kutafuta Maisha.
Miaka ilienda baadae akakua na akawa anaanza elimu ya sekondari , wakati huo Mimi nilikuwa nimeanza kupata vijihela kidogo nikaona ni bora dogo akasome private ili muda wake mwingi uwe ni shuleni
Ada kwa mwaka ni mil 1.6 amesoma miaka 4 mwaka huu alitakiwa amalize kidato cha 4 ,lakini napigiwa simu na mwalimu wake eti ana mimba tena ya miezi 4
Na ada nimelipa miaka yote minne ,ni zaidi ya milion 7 imetumika.Hapa nawaza naona bora ningeliacha mapema nisingehangaika nalo..
Mwalimu wake ananiambia tuma nauli mtoto arudi nyumbani, nimemwambia kama hawezi kutembea kwa miguu basi atembelee tumbo kurudi nyumbani kwao.
Nikuulize maswali 2Nilimuacha akiwa mdogo sana na alikuwa anasoma shule ya msingi wakati ule Mimi nilikuwa naondoka mkoani kuja Dar kutafuta Maisha.
Miaka ilienda baadae akakua na akawa anaanza elimu ya sekondari , wakati huo Mimi nilikuwa nimeanza kupata vijihela kidogo nikaona ni bora dogo akasome private ili muda wake mwingi uwe ni shuleni
Ada kwa mwaka ni mil 1.6 amesoma miaka 4 mwaka huu alitakiwa amalize kidato cha 4 ,lakini napigiwa simu na mwalimu wake eti ana mimba tena ya miezi 4
Na ada nimelipa miaka yote minne ,ni zaidi ya milion 7 imetumika.Hapa nawaza naona bora ningeliacha mapema nisingehangaika nalo..
Mwalimu wake ananiambia tuma nauli mtoto arudi nyumbani, nimemwambia kama hawezi kutembea kwa miguu basi atembelee tumbo kurudi nyumbani kwao.
Muache akisikia amejinyonga hata lia ataona sawa.We we ndio wakwanza kusomesha.Maisha yapo tu kila MTU kapingiwa fungu lake hata ukimtelekeza fungi lake lipo.Usikate tamaa kiasi hicho, tafuta mbinu ya kumsaidia .watoto wa kike wana roho nyepes sana kama utamtenga katika wakati huu mgumu. Anaweza kuchukua maamuzi mabaya.
Kuna watu wanazitafuta mimba hawazipati wanaozipata wanataka kuzitoa.Mkuu mimba hiyo pia ni baraka
Undugu huwa haufi hata kama atamkana ila bado itabaki yule ni mdogo wakeUnajua huwezi mtupa ndugu yako wa damu, Ni kweli inasikitisha kushindwa kumaliza masomo lkn bado dogo anahitaji msaada. Huwezi jua unaweza lea magufuli wa miaka ijayo. Tunatakiwa kusamehe maisha yaendelee
Mkuu kwa povu hili nachelea kuhisi wewe ndio muhusika [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]K
Nikuulize maswali 2
1.Wewe huwa unakaa mwaka mzima hufanya matusi?
2.Huyo mtoto amevunja ungo? Kama amevunja ungo k yake inahitaji kusuguliwa kutokana na maumbole ya kibinadamu.Vinginevyo binti anaweza aingie kwenye michezo michafu zaidi kama kuingiliana na wanawake wenzie.
Siasa na maumbile ya kibailojia ni vitu tofauti sana.
Elimu zimeletwa na mzungu,mapenzi yameumbwa na mungu.Kufanya mapenzi ni haki ya kibinadamu.Unatoka povu utasema huyo mtoto ni mti hana hisia.Utakuta wewe ndio muharibifu wa mabinti za watu.Muosha huoshwa.