Vi rendra
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 3,320
- 5,748
"Ewe bwana Floow mbona umechanganyikiwa, Yaliyonikuta mwenzenu natamani kunywa sumu"
Huu wimbo baba angu anaupendaga sana kuimba.
Mkuu pole sana ndio ukubwa huo, wengine sisi kaka zetu hata ukiwapelekea file la business idea limejaa kama hint kama kitabu cha mhubiri hawakusaidii hata mbuni.
Wengine wanachezea bahati[emoji22]