Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Usepe uende wapi sasa bila wewe humu inakua haina haja ya yeye kujaWacha baana! Ngoja nisepe
Usepe uende wapi sasa bila wewe humu inakua haina haja ya yeye kujaWacha baana! Ngoja nisepe
Utacover the gap[emoji3] [emoji3] [emoji115]Usepe uende wapi sasa bila wewe humu inakua haina haja ya yeye kuja
HahahahhUnajiskia kumpa tena ?
Unacheka nini sasa kama sio kuchimbana hahahaaaaaHahahahh
Maswali yenyewe hajibu!Mbona hujamalizia story????
We una moyo mgumuItapendeza zaidi ila wakiwa na moyo mgumu kama wangu
Tatizo maswali hajibu, kaleta mada katokomea zake. Huyu atakuwa alionjeshwa kaona khaaa! Kumbe taaam hivi! na anavosema alikuwa anamezea mate kitambo! HahahaaaKama mmeshajua ni ndugu hata kama ni wa mbali mpeane heshima sasa yaliyofanyika ibaki history au bado unataka ukulwe na ndugu yako tena
Hahahaa sio kukuchimba jamani ila huyo mdada inaonyesha bado anataka kukulwa na ndugu yake atakuwa kakutana na show ya kibabe show kama ya muhenga mbaliziUnacheka nini sasa kama sio kuchimbana hahahaaaaa
Niutoe wapi?We una moyo mgumu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo maswali hajibu, kaleta mada katokomea zake. Huyu atakuwa alionjeshwa kaona khaaa! Kumbe taaam hivi! na anavosema alikuwa anamezea mate kitambo! Hahahaaa
Kwani siku zile hukumuhoji? ina maana ulimpa tu hata hamkuongea ongea kujuana japo kidogo? Makuuubwa!We una moyo mgumu
Kama sio undugu wakaribu sana wangeoana tu kuliko kuanza kuibana ke atakosa hata wakumuoaHakika ndugu maana ata mkiacha haibadiri kitu itabaki vile vile tu kua mshapiga game
Jamani unakana tena mahandishi yako si umesema una moyo mgumuNiutoe wapi?
Moyo wake najua ulivyo ndio mana nimemuuliza hivyoKwani siku zile hukumuhoji? ina maana ulimpa tu hata hamkuongea ongea kujuana japo kidogo? Makuuubwa!
ahaaaaaaa hapo sawaMoyo wake najua ulivyo ndio mana nimemuuliza hivyo
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] sasa wewe ulimkataa binamu yako au anamatege?Nilienda kumsalimia bibi yangu nikakutana na binti mtoto wa shangazi yangu ,bibi akanambia jichukulie binti bado mbichi huyu umfaidi( nikachukulia utani) jioni wakati wa kulala binti anakomaa alale na mimi nikamwambia acha uwendawazimu ww! unasikiliza maneno ya bibi! Alinuna midomo kaivuta kama minati, moyoni najisemea utajua mwenyewe
Duuuuuu, kwa kweli wafanye tobaHahahahaha, mkuu umenichekesha sana yani