Nilidhani ni story kumbe Kweli

Nilidhani ni story kumbe Kweli

Mzee usimwone hana akili. Hata mie ningefanya kitu kama hicho hicho ujue mda mwingine ni kutokujali ili umpe MTU sababu ya kujitafakari. Usije shangaa unaambiwa jamaa kaua maana uwezi jua anawaza nini juu yake.
 
Haahahahhaha huyo dada ana hasira kama zangu...... Niliwahi kukuta meseji kama hivyo kipindi simu yake x wangu ina week mbili tu toka anunue niliishika nikabamiza chini vunja vunja mpaka nilihakikisha haitengenezeki..... Kilichofuata ni kipigo cha mbwa koko nusu nife sirudii tena mimi kushika simu ya mtu na kuvunja Ile siku angeniua dah nilibadilika rangi mwili wote nikawa mwekunduuu jamani wadada tusifanye hii michezo ya kuvunjiana simu

Huyu alikua muuwaji kwa kipigo hichi ingekua ticket yangu
 
Nikivunja yako vunja yangu sio kutoana ngeu ntakulaza ndani hamna cha mwanaume wa dar au wa mkoa
Sasa kwanini kuvunjiana simu...kwani ukimvunjia simu ndo ataacha michepuko..wengine ukituvunjia cm akili yetu inatupeleka kukufanya kitu ambacho siku nyingine itakufunza usijaribu kusogelea kabisa simu yangu
 
Mkuu all in all unatetea kucheat sababu wewe ni mwanaume usifanywe chochote kweli
 
Ndo univunjie simu yangu...na maisha yalivyomagumu haya...ebu tuwe serious..ukinikamata na cheat wewe lia tu nitakuonea huruma nitaacha but usijaribu kuleta vurugu kwa kujifanya baunsa
 
Wewe udeserve machozi ya mwanamke hata kidogo bora iwe mbwai tu tena si simu tu upate ataekufanya uanze upya kwenye kila kitu ila afanye wakati haupo
 
Haahahahhaha huyo dada ana hasira kama zangu...... Niliwahi kukuta meseji kama hivyo kipindi simu yake x wangu ina week mbili tu toka anunue niliishika nikabamiza chini vunja vunja mpaka nilihakikisha haitengenezeki..... Kilichofuata ni kipigo cha mbwa koko nusu nife sirudii tena mimi kushika simu ya mtu na kuvunja Ile siku angeniua dah nilibadilika rangi mwili wote nikawa mwekunduuu jamani wadada tusifanye hii michezo ya kuvunjiana simu
Ndio maana ikaitwa simu ya mkononi ya mume ni ya mume,na mke ni ya mke hapo nadhani ndoa itakuwa safi no migogoro
 
Harafu wamama wanapenda kuchungulia simu za wababa tena wakat wababa wanaingia bafun kuoga duh! hawapotez muda eti wapo fasta
 
Ndo univunjie simu yangu...na maisha yalivyomagumu haya...ebu tuwe serious..ukinikamata na cheat wewe lia tu nitakuonea huruma nitaacha but usijaribu kuleta vurugu kwa kujifanya baunsa
Eti lia ntakuonea huruma hahahaa funny...if u cheat we cheat tu kwa raha zako wala sifanyi fujo namie ukijua napigwa dudu la yuyuu utulie hivo hivo
 
Back
Top Bottom