Nilidhani huwa anatangaza akiwa UCHI

Nilidhani huwa anatangaza akiwa UCHI

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,144
Reaction score
166,082
e+kibonde.JPG
 
Ha ha ha ha Bujibuji msamehe bure huyu jamaa,wakati mwingine anafurahisha tu watu fulani ili mradi siku iende na mkono uende kinywani.
 
halafu nilidhani huwa namafua kumbe pua yake ndio inafanya aongee kama ana mafua.
 
ha ha ha! Bujibuji tafadhali sana , huyu ni mtu mzima na familia..hata kama anaongea mambo ambayo pengine wewe kama msikilizaji hufurahishwi nayo..nafikiri si busara kumuanika kwa headline hiyoo..#Mtazamo wangu!

mbona yule dada unayetangaza naye hotmix huwa anatangaza akiwa uchi kabisa tumeshamzoea tu.
kazi yake kubwa ni kuuliza leading questions, hasa akiwahoji wasanii wa bongolala movies.
 
Duuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!! lets call it a day.
 
Ma Mc wa harusi na send off wanapokuwa watangazaji. Bongo ukijua ku-floo tu utakuwa MC utakuwa mtangazaji. raha sana
 
Nadhani atakuwa alivaa nguo kwa ajili ya kupiga picha tu........halafu akarejea kwenye kukaa uchi.........:whistle::whistle::whistle::whistle::whistle:
Hiyo T-Shirt ya mradi wa ICAP kupambana na Ukimwi sijui ni balozi wa mradi huo wa Wamarekani?.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom