Mwacheni jamani mbona mnamuandama sana huyu jamaa bana? sasa mnataka yeye akale wapi? ni njaa tu inamsumbua!!!!! actually alitegemea japo ukuu wa wilaya kutoka kwa mkulu ila ndio hivyo bado akatoswa!!! so sad na jamaa ndio hivyo tena nngwe yake inamalizika masikini!!! ila jamaa ana domo chafu sana sijui hata familia yake huwa wanamuonaje anaporudi home!!! dah!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.