Watu wa Pwani na maadili wapi na wapi!
Salaam,
Japo ni kweli kimaadili pwani ni tatizo lakini hata hivyo issue ya maadili ni tatizo la nchi zima,
Kuna mila moja ipo uchagani hata leo ila wachaga ni wasiri kwenye mambo yao ya aibu,
Ipo hivi,
Ikiwa mzee wakichaga amezeeka sana,na hana mke kwasababu zozote zile, eidha awe amefariki ama wameachana.
Na mzee huyu awe na shida ya uzazi,eidha hatungidhi mimba kwa wakati huo kwa sababu zozote za kiafya,ama si rijali,
Ama kwasababu ni mzee sana kiasi cha mabinti hawawezi kumkubali pale atakapo watongoza,
Uchagani hufanyika hivi:
Mzee anamuachia kazi yakumtongoza binti kijana wake na kijana ataanza jilo zoezi,
Binti akisha kubali kuanza mahusiano kijana ataanza ku date nae mpaka pale atakaposhika mimba then,
Itafanyika mtego kijana atamuingiza binti kwenye chumba nyumbani kwao,
Pindi wawapo faragha tu kijana atatoka nje na mzee ataingia kwa binti na kumkuta humo akiwa kwenye mazingira hayo na kuanzia hapo binti na mimba inakua mali ya mzee,
Hivyo mzee ataanza kuishi na binti kama mkewe na mtoto atakae zaliwa anakua wa mzee,
Haya ni maadili mabaya ambayo hayafai,
Makabila kama wahaya, warangi,wagogo,na uwanda wote wa singida huko hakufai,
Ndugu zangu wasukuma wana ngoma inaitwa chagulagaa,
Ifike mahali hii issue ya maadili itazamwe vizuri