Kumbe wanga huwa hawavai nguo?

Kumbe wanga huwa hawavai nguo?

Chadema 2030

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,920
Reaction score
3,753
mida hii nimetoka nje kwenda washroom.Ila cha ajabu nmemuona mwanamke akiwa uchi wa mnyama ameshikilia vifurush sijui anafanya nn. ile mbio nmerud ndan maana hayo mazingira magumu kinoma.nikawaita majiran wanisaidie il tuweze kumkamata. ila cha ajabu tumerud tukampata hayupo.ila nmeshuku kama sio mchaw n mwangaji.

ila kinachonshangaza kwan nn wanajidhalisha hivyo na kujisumbua hivyo.maana hii nchi kuna watu wanawaza tu mabaya kwa wengine.

ila hawaniwez wala sitikisiki mm silogek hata kidogo.
 
Yaani mpaka mwanga amekuja nyumbani kwako maana yake wewe ni mwepesi kama karatasi
 
mida hii nimetoka nje kwenda washroom.Ila cha ajabu nmemuona mwanamke akiwa uchi wa mnyama ameshikilia vifurush sijui anafanya nn. ile mbio nmerud ndan maana hayo mazingira magumu kinoma.nikawaita majiran wanisaidie il tuweze kumkamata. ila cha ajabu tumerud tukampata hayupo.ila nmeshuku kama sio mchaw n mwangaji.

ila kinachonshangaza kwan nn wanajidhalisha hivyo na kujisumbua hivyo.maana hii nchi kuna watu wanawaza tu mabaya kwa wengine.

ila hawaniwez wala sitikisiki mm silogek hata kidogo.
Mkuu, unamkimbia mwanamke tayari yuko uchi! Mie ningemfungulia mlango nimkaribishe ndani.🤣
 
mida hii nimetoka nje kwenda washroom.Ila cha ajabu nmemuona mwanamke akiwa uchi wa mnyama ameshikilia vifurush sijui anafanya nn. ile mbio nmerud ndan maana hayo mazingira magumu kinoma.nikawaita majiran wanisaidie il tuweze kumkamata. ila cha ajabu tumerud tukampata hayupo.ila nmeshuku kama sio mchaw n mwangaji.

ila kinachonshangaza kwan nn wanajidhalisha hivyo na kujisumbua hivyo.maana hii nchi kuna watu wanawaza tu mabaya kwa wengine.

ila hawaniwez wala sitikisiki mm silogek hata kidogo.
Ungemvuta upige kimoja cha faster
 
Mchawi akienda kwenye nyumba ya mtu kuroga lazima apime kwanza je iyo nyumba mpo vizuri au ni wepesi tu kama wewe uwa wanatumia mchanga wa makaburini wanaurusha juu ya bati ukitoa cheche wanajua iyo nyumba mpo vizuri (hamrogeki) wanaenda kujipanga mchanga usipotoa cheche maana yake watu kwenye nyumba hiyo ni wepesi kama karatasi.
 
Back
Top Bottom