Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,660
- 171,791
Yani roho ilipuke kushika mkono Mmmmh huo ni mchepuko wa mwendokasiHatakama ni maigizo. Majibu wanayo wao. Lakini kutembea mmeshikana mikono sio kitu cha mtoto. Kwanza wanawake wengi wasio na michepuko wanakuwa na amani kwasabubu wanajua kama jamaa inamamichepuko lazima roho zipasuke
Swali likaulizwa...Kweli nimejilaumu sana ukizingatia me ndo nilimbwaga
Likajibiwa..... Na hili jibu wajanja limesha tufumbua umempendea nini mkaka wa watu...Wachache sana wanaweza wakasema hayo... By the way, ungemkuta amechoka sana ungejilaumu?
Nisingejilaumu
Majuto ni mjukuu...Dada yangu Maisha hayana formula.
Kweli nimeamini
Hello jf,
Jumapili ya jana ilikua mbaya sana kwangu sababu nilikutana na kitu ambacho sikutarajia kukutana nacho iko hivi,
Jana nikiwa zangu town nikawa nimepitia kwenye duka fulani hivi la vipodozi nikiwa hapo gafla akaingia gentleman mmoja kabeba handbag na mdada mjamzito kwa mtazamo tu ikaonekana ni mtu na mtuye kumcheki vizuri yule man nikagundua ni man ambaye nilimzingua kipindi hicho daah nilitaman ardhi ipasuke nipotee maana kachange sana amekua na muonekano amaizing..sikutaka nimeet nae uzuri duka ni kubwa nikajichanganya nikatoka zangu hapo dukani nikaenda simama duka la jirani na hapo ili nione wakitoka pale wanaelekea wap,
Kwa vile kulikua na kimvua ikaonekana kama nimejisitiri kimvua kumbe wala basi muda si muda hao wakatoka zao dukan man kamshika bibie mkono hapo ndo nikapigwa butwaa zaidi baada ya man na huyo bibie kuingia kwenye moja ya car zilizopaki pale nje ya duka nami faster nikaingia zangu kwenye hice huyoo mpaka home..to be honestly niliwatamania saaaaana!
khaaaa mi hapo sijaona pointHello jf,

Ni fundisho.... la maisha. Lakin huwa wengi wao haelewi. Watarudia kosa lile lile miaka nenda rudi.Hiyo ni kawaida, wadada mnaowazingua wanaume inawatokea puani sana hii kitu!
Kuna wanaume ambao hawapendi kabisa kujionyesha wana nini pindi wanapotongoza, au wanakuwa ni fighters haswa wa life, ikitokea ukimzingua siku ukikutana nae utatamani ardhi ipasuke!!
Hello jf,
Jumapili ya jana ilikua mbaya sana kwangu sababu nilikutana na kitu ambacho sikutarajia kukutana nacho iko hivi,
Jana nikiwa zangu town nikawa nimepitia kwenye duka fulani hivi la vipodozi nikiwa hapo gafla akaingia gentleman mmoja kabeba handbag na mdada mjamzito kwa mtazamo tu ikaonekana ni mtu na mtuye kumcheki vizuri yule man nikagundua ni man ambaye nilimzingua kipindi hicho daah nilitaman ardhi ipasuke nipotee maana kachange sana amekua na muonekano amaizing..sikutaka nimeet nae uzuri duka ni kubwa nikajichanganya nikatoka zangu hapo dukani nikaenda simama duka la jirani na hapo ili nione wakitoka pale wanaelekea wap,
Kwa vile kulikua na kimvua ikaonekana kama nimejisitiri kimvua kumbe wala basi muda si muda hao wakatoka zao dukan man kamshika bibie mkono hapo ndo nikapigwa butwaa zaidi baada ya man na huyo bibie kuingia kwenye moja ya car zilizopaki pale nje ya duka nami faster nikaingia zangu kwenye hice huyoo mpaka home..to be honestly niliwatamania saaaaana![/QOTE]
Pole ndugu it's life
Dada pole kwa yaliyo kukuta. kwa sasa ushajutia nanhuwezi kurudisha muda nyuma. Muombe Mungu akupe wako.Hello jf,
Jumapili ya jana ilikua mbaya sana kwangu sababu nilikutana na kitu ambacho sikutarajia kukutana nacho iko hivi,
Jana nikiwa zangu town nikawa nimepitia kwenye duka fulani hivi la vipodozi nikiwa hapo gafla akaingia gentleman mmoja kabeba handbag na mdada mjamzito kwa mtazamo tu ikaonekana ni mtu na mtuye kumcheki vizuri yule man nikagundua ni man ambaye nilimzingua kipindi hicho daah nilitaman ardhi ipasuke nipotee maana kachange sana amekua na muonekano amaizing..sikutaka nimeet nae uzuri duka ni kubwa nikajichanganya nikatoka zangu hapo dukani nikaenda simama duka la jirani na hapo ili nione wakitoka pale wanaelekea wap,
Kwa vile kulikua na kimvua ikaonekana kama nimejisitiri kimvua kumbe wala basi muda si muda hao wakatoka zao dukan man kamshika bibie mkono hapo ndo nikapigwa butwaa zaidi baada ya man na huyo bibie kuingia kwenye moja ya car zilizopaki pale nje ya duka nami faster nikaingia zangu kwenye hice huyoo mpaka home..to be honestly niliwatamania saaaaana!
Teh teh teh teh sawaHii ni kauli...
Swali likaulizwa...
Likajibiwa..... Na hili jibu wajanja limesha tufumbua umempendea nini mkaka wa watu...
Haya tunaendelea
Majuto ni mjukuu...
Tunakonkludi kwamba unajuta kukosa mali za huyu mbaba wa watu.....
Kama unapenda hela sana, kaolewe na bank.
Nimemaliza
AhsanteDada pole kwa yaliyo kukuta. kwa sasa ushajutia nanhuwezi kurudisha muda nyuma. Muombe Mungu akupe wako.
Kwa sasa chukulia hili kama funzo la maisha... na uwafundishe wenzako kama wana tabia hii waache kabla hayaja wakuta.
Nitakuja huko sababu nina maswali mengi sana
Umeunga story hadi wasiolewa wameelewa haswaa..... ASANTEEHii ni kauli...
Swali likaulizwa...
Likajibiwa..... Na hili jibu wajanja limesha tufumbua umempendea nini mkaka wa watu...
Haya tunaendelea
Majuto ni mjukuu...
Tunakonkludi kwamba unajuta kukosa mali za huyu mbaba wa watu.....
Kama unapenda hela sana, kaolewe na bank.
Nimemaliza
Pamoja kiongozi wangu.Umeunga story hadi wasiolewa wameelewa haswaa..... ASANTEE
And for you, if you want to fanikiwa zaidi... Ahahahahahaha matiplai them..."...behind every successful man there is woman unfortunately that woman is not you..."
hahahahah imenibidi nicheke kwanguvu sanaMbona bado ukifikisha miaka 30+ ndio utajua kwanini baiskeli haitumii mafuta