Nilichokishuhudia mume wangu akifanya siamini

Nilichokishuhudia mume wangu akifanya siamini

hiyo ni binamu nyama ya hamu...lakini mbona kawaida tu...!
 
Pole sana,njoo morning glory usali mtihani huo ni mdogo sana,usimfahamishe yeyote kwa sasa zaidi ya mungu wako aliye sirini,hakika huyo jamaa atabadilika hata kama ni mngoni.
 
Inaelekea bidada katoka familia zetu za daraja la mwisho kuondoka anaona ni kupoteza almas aloikota njian,anamuona mume km mkomboz,anaogopa hali ya kwao na mume analijua hili ndo mana anajua ataafanye nin wife anamwabudu yeye na familia yake wanamtegemea!
Cha msing anatakiwa afunge macho akiangalia nyumba nzur ya mumewe na magar ya kifahar roho ikamuuma kuviacha hatakaa achukue maamuz.Ni kwel ht upande wa mumewe hamna wakumshaur sabab wanamtegemea kwa nafas aliyonayo na pesa zake ivo wanamwogopa wanamwabudia ivo ni yeye tu mkewe nae akiendekeza shida atakufa kibudu!
Pesa inampa kibur na jeur mume wa Davina, na yeye anaenjoi kuwa Mrs Mheshimiwa jina tu wakt hamna ndoa hapo!

Hii ni kweli kabisa nimeiona mara nyingi,mke ananyanyaswa sababu tu katoka familia duni hivyo ana hofu ya kurudi katika maisha aliyoyapitia na mme anageuza udhaifu huo kama tiketi ya kufanya uchafu atakavyo.
Not fair at all.
 
Wee mmeo ana hamu na watoto wabichii,ila sio kua hakupendi usiondokeee kaa na mumeo mjaliii ataacha tuuu
 
Umeolewa miaka 7 iliyopita.... mumeo ana miaka 47...
Ningekuwa mshauri nadhani tungeanzia hapo hapo. ..

Pole
 
Wee mmeo ana hamu na watoto wabichii,ila sio kua hakupendi usiondokeee kaa na mumeo mjaliii ataacha tuuu

Kitu cha kwanza huyu mume alimuoa akiwa na miaka 40....

Jameni, mkiona mtu aliyevuka 35 anawajia kuchumbia jiulizeni mara 10 10...
 
Kitu cha kwanza huyu mume alimuoa akiwa na miaka 40....

Jameni, mkiona mtu aliyevuka 35 anawajia kuchumbia jiulizeni mara 10 10...

Ila huo umri watamu haooo wanajua kubembelezaaaa si unajua mtu mzima dawaa sema tu huyo wake karuka steji
 
Ila huo umri watamu haooo wanajua kubembelezaaaa si unajua mtu mzima dawaa sema tu huyo wake karuka steji

Ukiwa mchepuko sawa... ila ukute ndo anataka mazima!!!... labda awe alifiwa
 
aiseee pole sana davina kwa masahibu hayo yaliyokupata,

nashindwa nianzie wapi kukutia moyo ila cha kufanya wewe mwenyewe kaa chini mwite mumeo ukitaka kuongea naye
usiongee naye ukiwa home bali mtoe out uende ukaongee naye huko umuulize kulkoni mwenzangu kufanya kitendo cha
aina ile siku ile ulipowafumania, ongea nae kwa upendo ili upate picha na data kamili toka kwake kulikoni kukutenda kiaisi hicho best ; ukiona anamung'unya na anashindwa kusema basi waite wasimamizi wenu uwaambie yote yaliyotokea kwani hao vilevile wanasimama badala ya wazazi wenu halafu wamwite ili wajuie kulikoni ;

ukiona na hao vilevile ajajibu kitu basi ita wakubwa wazee wawashauri zaidi na kingine bestito uwe mwombaji wa familia yako kwani shetani sasa amemua kufanya kaizi kwa nguvu kuharibu familia hususani ndoa zetu hivyo simama katika nafasi
yako kama mwanamke lilia na kuombolezea familia yako Mungu atakakutokea na atambadilisha mumeo ni hayo bestito
 
Last edited by a moderator:
Naamini kwa uwezo wa Mungu mko wazima.

Napenda kuwashukuru sana kwa michango yenu ambayo huwa mnatoa humu mm ni mdau japo huwa siyo mchangiaji sana lakini siyo mara ya kwanza kuleta matatizo yangu hapa na mkanisaidia.

Kama utaweza kupitia topic zangu za nyuma utanielewa vizuri ila leo nimekuja na lingine.
Nimeolewa nina mtoto mmoja ana miaka 5 nimeolewa miaka 7 iliyopita, kipindi chote cha maisha yangu ya ndoa nimepitia mambo magumu sana kutokana na tabia ya ufataki aliyonayo mume wangu lakini mungu amenisaidia mpaka hapa nilipo.

Kama wiki 3 zilizopita kuna mtoto wa kike wa shangazi yake na mume wangu alikuja nyumbani kama kawaida huwa anakuja kutusalimia then anaondoka ila safari hii akawa amekaa sana nkamuuliza vpi unarudi au umekuja mjini kwa lengo gani akaniambia amechoka kukaa kijijini bora akae nyumbani anisaidie kazi za nyumbani nikamwambia sawa.

Tumekaa nikaona tuna shida ya mfanyakazi katika biashara yetu na yeye kwa elimu yake ndogo hiyo kazi anaiweza, basi nikamweleza mume nae akakubali tukaona kuliko akae nyumbani na kuna msichana wa kazi haina sababu, basi jana kaanza kazi na hiyo kazi anafanya hadi saa nne usiku then wanarudi na mjombaake ( yaani mume wangu).

Jana usiku saa nne nikiwa ndo nataka nijilaze kitandani nilisikia gari la mume wangu akiwa anarudi coz najua mlio wake, basi nikakaa kama dk 10 gari ipo nje nikajiuliza mbona hafungui geti aingize gari akili ikanijia labda anaongea na simu, nikalala zangu kama dk 20 mbele bado gari ipo silent nje, nikaamka nikatoka nje nikafungua geti taratibu nilishuhudia mume wangu akikisiana na huyo mtoto wa shangazi yake.

Niliishiwa nguvu nikamsogelea kuwaangalia vizuri binti akashtuka sana akataka kukimbia akashuka kwenye gari, nikamuuliza mnafanya nini hapa akaniambia wanafanya mahesabu nikamwambia mbona giza ebu leta hilo daftari la mahesabu mnalofanyia, akababaika akamuita yule binti akamwambia leta daftari akakimbia ndani chumbani kwake akajifungia akalala, nilistaajabu sana sikuamini nilichokiona, mume wangu akaingiza gari ndani akaja chumbani jasho linamtoka sikumsemesha wala kumuuliza chochote nikalala.

Leo asubuhi nilipoamka nikamwamsha yule binti nikamwambia ajiandae arudi kwao kajiandaa nikampa nauli nikamwambia asije tena nyumbani kwangu.

Wapendwa kichwa kinaniuma na kinachoniuma siyo kuwakuta katika hali ile ila roho inaniuma mume wangu alipofikia ukiangalia yule binti ni ndugu yake wa damu kabisa ana miaka 17 tu, mume wangu ana miaka 47 mtu mzima.

Nimefikiria cha kufanya nakosa sina wa kumueleza naogopa mume wangu ni kiongozi nikisema kwa watu ni aibu natamani nifungashe niende kwanza nyumbani kwetu kwani naishi mbali na wazazi labda huyu mume atabadilika nikiondoka au nifanye nini msaada wenu jamani.
davina, hebu usimsemeshe huyo mwanaume chochote,jiandae wewe na mwanao na housgirl wako muondoke kwa muda, kipindi ambacho upo mbali nae jaribu kujiweka karibu na mungu na utafakari sana hatma ya maisha yako na mwanao ndipo uamue la kufanya,muombe sana mungu,huyo mwanaume atakupotezea dira aisee
 
Last edited by a moderator:
Mshirikishe na Mungu,,, naamini ni ndoa takatifu, zungumza nae ktk maombi ya kweli kutoka kumoyo wako, maadam huyo mpwa keshaondoka tuliza moyo... Usijaribu kuondoka hapo nyumbani... utakuta mwenzio kahamia..... usikome kusali.... then tafuta muda muafaka zungumza nae.... usiite vikao kwanza.....ni yako lazima uyashinde...
Amina. Hii ndiyo silaha kubwa ila muda mwengi tunashindwa kuitumia. Majaribu ni mtaji na sehemu ya maisha pambana.
 
Pole sana!!!! Nakushauri umrudishe huyo mtoto wa shangazi yake halafu usiwasemeshe kaa kimya. We full upendo mpaka kupitiliza! Ataona aibu tuu na itakuwa mwisho wake hatorudia tena
 
Mara kazaa nimemfuma nikamsamehee... Mhm nikazidi kukomaa.. kama unataka mtoto BONGO ZAA ZALISHAA ISHI BILA PRESHA... ILA KOMAA I KNOW HE 47 NA WE NGAPI SIJUI ILA KOMAAA TUU NDO MATATIZO MENGINE MNAZUNGUMZA YANAISHA MENGINE MNAVUMILIANA... WE KOMAAAA
 
Naamini kwa uwezo wa Mungu mko wazima.

Napenda kuwashukuru sana kwa michango yenu ambayo huwa mnatoa humu mm ni mdau japo huwa siyo mchangiaji sana lakini siyo mara ya kwanza kuleta matatizo yangu hapa na mkanisaidia.

Kama utaweza kupitia topic zangu za nyuma utanielewa vizuri ila leo nimekuja na lingine.
Nimeolewa nina mtoto mmoja ana miaka 5 nimeolewa miaka 7 iliyopita, kipindi chote cha maisha yangu ya ndoa nimepitia mambo magumu sana kutokana na tabia ya ufataki aliyonayo mume wangu lakini mungu amenisaidia mpaka hapa nilipo.

Kama wiki 3 zilizopita kuna mtoto wa kike wa shangazi yake na mume wangu alikuja nyumbani kama kawaida huwa anakuja kutusalimia then anaondoka ila safari hii akawa amekaa sana nkamuuliza vpi unarudi au umekuja mjini kwa lengo gani akaniambia amechoka kukaa kijijini bora akae nyumbani anisaidie kazi za nyumbani nikamwambia sawa.

Tumekaa nikaona tuna shida ya mfanyakazi katika biashara yetu na yeye kwa elimu yake ndogo hiyo kazi anaiweza, basi nikamweleza mume nae akakubali tukaona kuliko akae nyumbani na kuna msichana wa kazi haina sababu, basi jana kaanza kazi na hiyo kazi anafanya hadi saa nne usiku then wanarudi na mjombaake ( yaani mume wangu).

Jana usiku saa nne nikiwa ndo nataka nijilaze kitandani nilisikia gari la mume wangu akiwa anarudi coz najua mlio wake, basi nikakaa kama dk 10 gari ipo nje nikajiuliza mbona hafungui geti aingize gari akili ikanijia labda anaongea na simu, nikalala zangu kama dk 20 mbele bado gari ipo silent nje, nikaamka nikatoka nje nikafungua geti taratibu nilishuhudia mume wangu akikisiana na huyo mtoto wa shangazi yake.

Niliishiwa nguvu nikamsogelea kuwaangalia vizuri binti akashtuka sana akataka kukimbia akashuka kwenye gari, nikamuuliza mnafanya nini hapa akaniambia wanafanya mahesabu nikamwambia mbona giza ebu leta hilo daftari la mahesabu mnalofanyia, akababaika akamuita yule binti akamwambia leta daftari akakimbia ndani chumbani kwake akajifungia akalala, nilistaajabu sana sikuamini nilichokiona, mume wangu akaingiza gari ndani akaja chumbani jasho linamtoka sikumsemesha wala kumuuliza chochote nikalala.

Leo asubuhi nilipoamka nikamwamsha yule binti nikamwambia ajiandae arudi kwao kajiandaa nikampa nauli nikamwambia asije tena nyumbani kwangu.

Wapendwa kichwa kinaniuma na kinachoniuma siyo kuwakuta katika hali ile ila roho inaniuma mume wangu alipofikia ukiangalia yule binti ni ndugu yake wa damu kabisa ana miaka 17 tu, mume wangu ana miaka 47 mtu mzima.

Nimefikiria cha kufanya nakosa sina wa kumueleza naogopa mume wangu ni kiongozi nikisema kwa watu ni aibu natamani nifungashe niende kwanza nyumbani kwetu kwani naishi mbali na wazazi labda huyu mume atabadilika nikiondoka au nifanye nini msaada wenu jamani.

Davina pole sana! wewe ni mke wa komba? any way.... watu wengi wanakushauri uachane na mmeo, usifanye hivo,wewe unajua mengi kuhusu mmeo najua kuna mengine huwezi kusema,uliolewa na m2 mzima 40 na sasa47 unapaswa kutumia mbinu tofauti za kumbadili wala haumwi kama ulivoshauriwa ila wanaume wengi tuko ivo.mwanaume akizoea ngono anasimamisha ovyo ovyo anaweza kula hata kisicholika. mmeo ulimkubali hata kama ni mzee unachotakiwa kufanya ni kuzidisha upendo kwa mmeo wala usimchukie, kuongea nae kiundani zaidi,rudisha mapenzi kama mwanzo na usinyamaze mwambie pale anapokosea ila usimwambie dada yake kuwa jamaa alikula mtoto wake,yy atajitetea kuwa wewe ndo hutaki ndg nawe huna ushahidi.usimwachie hausigarl ndo amhudumie mmeo muda wote,mpokee,mpe pole anapostahili.Atajishitukia atabadilika,mwambie unampenda kila unapata nafasi na sio aambiwe na wengine.jitahidi kuwa karibu nae,hata ukiachana nae wapi kwenye aman bila wewe mwenyewe kuitengeneza.hata magonjwa yapo kila sehemu.
 
Back
Top Bottom