Inaguresheni
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 294
- 131
Uwanja Upo na idadi ya ndege zinazoruka na kutua ni zaidi ya KIA takwimu za 2012 fuatilia. Tofauti ni kubwa tu na kubwa wa pua si wingi wa makamasi.Cha kushangaza zaidi ni hakuna uwanja wa ndege
Uwanja Upo na idadi ya ndege zinazoruka na kutua ni zaidi ya KIA takwimu za 2012 fuatilia. Tofauti ni kubwa tu na kubwa wa pua si wingi wa makamasi.Cha kushangaza zaidi ni hakuna uwanja wa ndege
hahah ni kweli mkuuNjoo tukuzungushe jijini.jiji halichunguliwi ukiwa ndani ya Lori la mkaa !!
Watu wana mwamko wa hatari. Shida wasanii wenu uchwara wanakuja na play-back badala ya live. Arusha watu hawashobokei majina wanaangalia uwezo. Muulize nature yaliyomsibu, muulize Ay anavyoenjoy akiwa A city.Huwez peleka fiesta Chuga..utaishia kupata hasara...kule hakuna mwamko wa burdani
Sio dharura as such, rubani alidhani ametua KIA. Sasa alipotaka kupiga kona kama wanavyofanya KIA akashtukia runaway imeisha.ile ilitua kwa dharura, ndo maana wale abiria walipelekwa kia wakapewa ndege nyingne. ndege ilipaa ikiwa tupu. uwanja uliopo ni mdogo., uzuri wake Arusha na Kia co mbali!??
Kwa hiyo wewe ulitumia elfu kumi kwenda tarangire.? Ulienda kwa miguu nini ? Maana hicho ni kiingilio cha getini tu na kimeshapanda kwa taarifa yako. Ulifikajefikaje huko ? Ulilala ? Ulikula ? Au Ulifika tu ukageuza ?Mkuu umetumia vigezo gani kujua sina hela kuna sehemu inauza soda zaidi ya elfu kumi? Ndyo nyie msiyojua kwamba kutembelea mbuga au milima gharama zake ni elfu kumi, unajifungia kwenye kichupa na kuogopa kwenda hata tarangire ukijua watakucharge dola kama wazungu, acha ujuha
Arusha watu sio walaini na wana maamuzi halisi, hakuna unafiki wala singeli. Ujinga wa viongozi kuzuia maendeleo kisa upinzani na wewe unashabikia inahuzunisha sana. Bill Clinton alimpa Colin powel cheo kikubwa bila kujali chama. Mnataka tupate maendeleo huku mkishabikia ubaguzi.Hata hii baridi na vumbi navyo ni sehemu ya mafunzo, semeni ukweli upinzani kuishika Arusha, serikali kuu imeingiza mikono kwenye sweta lengo ikiwa ni kuwasomesha namba kwa nini mmewapa upinzani, ila kwa jinsi mlivyo wabishi mtaribishia ili
Manyan'gau walizitafuna.Hukuelewa hiyo stand ilikuwa siku ya mwanzo observation, hata nyumba utaijua tu mara ufikapo jikoni au sebuleni, ila mambo mengine mpo vizuri, ila inaonekana idara ya mipango mji hawapo sereous, jiji ulikuwa unaingia kwa bara bara mmoja sasa hivi ndyo wamekurupuka wanajenga, kwani zile hela za Marekani za kujengea mabara bara hazikuwahusu,?
Umezidi kunivurugani Lafudhi na sio rafuzi
Chalii na sio charii
aisee bamdogo kama unataka kufundishwa misemo ya kichuga c ubongege ,....acha ureee
Andamana utaijua dolaDora ndio kaushuzi gani na wewe papasi..
Hahaaaaaaaaa ......ata ya jero atapata eerMkuu jaribu kutia maguu na shivers pale kuna vivutio vingi sana.
Nyingi sana. Ingia site ya pression Air uone.Asie na elimu nani?
kuna ndege ya abiria inafanya safari Arusha mwanza ,Dar na kwingineko??? From Arusha sio KIA
Huko ndyo pa kujaUku nilipo kazini soda sio take away ni 10 usd.
Inazidi lakiKwa hiyo wewe ulitumia elfu kumi kwenda tarangire.? Ulienda kwa miguu nini ? Maana hicho ni kiingilio cha getini tu na kimeshapanda kwa taarifa yako. Ulifikajefikaje huko ? Ulilala ? Ulikula ? Au Ulifika tu ukageuza ?
Tumia chapaa uijue Arusha.
Chapaa gani ushuziKwa hiyo wewe ulitumia elfu kumi kwenda tarangire.? Ulienda kwa miguu nini ? Maana hicho ni kiingilio cha getini tu na kimeshapanda kwa taarifa yako. Ulifikajefikaje huko ? Ulilala ? Ulikula ? Au Ulifika tu ukageuza ?
Tumia chapaa uijue Arusha.
Unafananisha mbingu na ardhiArusha watu sio walaini na wana maamuzi halisi, hakuna unafiki wala singeli. Ujinga wa viongozi kuzuia maendeleo kisa upinzani na wewe unashabikia inahuzunisha sana. Bill Clinton alimpa Colin powel cheo kikubwa bila kujali chama. Mnataka tupate maendeleo huku mkishabikia ubaguzi.
Aibu tupu.
Manyan'gau walizitafuna.
Jero ina kazi gani nowdaysHahaaaaaaaaa ......ata ya jero atapata eer
Umevurugwa nin sasaUmezidi kunivuruga
Hayo ndoo mapungufuTumia akili nan kakwambia jiji n lazma liwe na beach...!
Duh watu mmeleta mahaba tu hapa hakuna asiejua kama arusha ni kuzuri, again arusha ni pazuri mnooo ila kwanini stand ipo vile ,kwanini hakuna kiwanja cha ndege cha maana?
Dom imekuja juu sana baada ya kujengwa UDOM na hizo barabara za IRINGA, SINGIDA na KONDOA! Imekuwa kwa haraka zaidi na hili la kuihamishia serikali huko ndo utasababisha mji ufurikeHadi Dom! umezingatia zaidi matei lounge, maisha, rainbow na wale wanasiasa wanaojikusanya bila kuonekana live kwenye kimjengo chao