Nilichogundua kuhusu Arusha

Nilichogundua kuhusu Arusha

Duh watu mmeleta mahaba tu hapa hakuna asiejua kama arusha ni kuzuri, again arusha ni pazuri mnooo ila kwanini stand ipo vile ,kwanini hakuna kiwanja cha ndege cha maana?
Sasa kiwanja cha ndege kipo KIA km14 tu kutoka arusha mjin unataka kiwanja kingine cha nini?

Kile cha kisongo kinatosha kwa ajili ya ndege za kawaida

Yaani nimekufatilia post zako unabishana kishamba sana
 
Maneno mengi tu lakini TZ mji ni mmoja tu. DAR ES SALAAM. Huko kwingine sijui hali ya hewa sijui milima sijui simba ndo vitu gani? Huko ni porini, jiji kwa TZ ni Dar tu, kiasi na Mwanza.
 
Hata hii baridi na vumbi navyo ni sehemu ya mafunzo, semeni ukweli upinzani kuishika Arusha, serikali kuu imeingiza mikono kwenye sweta lengo ikiwa ni kuwasomesha namba kwa nini mmewapa upinzani, ila kwa jinsi mlivyo wabishi mtaribishia ili
Kama ni upinzani mbna karibu majiji yote yamechukuliwa na upinzani, ukiacha mwanza pekee ambayo na yenyewe ccm walitia mazingaombwe. Kwa hiyo kama serikali kuingiza mkono kwenye sweta mbna itaua majiji yote sasa. Hakuna kitu kama hicho, labda unawaza kwa sauti!
 
Mi sio mkazi wa arusha najiulizaga tu hilo swali arusha hakuna uwanja wala stand kwanini
Uwanja wa ndege si upo wa KIA, ulijenga strategically kuhudimia Moshi na Arusha, tena wana uwanja wa ndege ndogo pale kisongo ambao ni mzuri kuliko viwanja vingi TZ ukitoa hivo international airports!
Tatizo lako unafananisha DSM na miko mingine, dar ndo jiji haswa majiji mengine yamepewa hadhi kisiasa tu! Ukitaka fananisha Arusha na sehemu nyingine, ifanishe na Mwanza, Mbeya,Tanga,Ntwara ..... ndo utakuwa unaitendea kazi

Nisichopenda kuhusu Arusha ni barabara za mitaa hakuna, ukiacha barabara kubwa koote kwingine ni vumbi tu na ziko lowly maintaned tofauti hata na Dom
 
Acha kubishana, Arusha ni sehemu ya Utalii. Hata Stand ya mabasi ilivyo ni utalii tosha na muonekano wa watu wa pale ni utalii pia. Si kuna watalii wengi wanakuja kuangalia jinsi watu wanavyoishi na wanyama
Sidhani kama umesafiri mikoani ukajuonea stand za mikoani ila mpaka saivi stand zenye hathi kidogo ni za Kigoma ikikamilika ya Moro na singida lakini ya Arusha huwezi hata kuifananisha na Nyegezi ya Mwanza bora kidogo Buzuruga.

DSCN0261_thumb%25255B4%25255D.jpg
a
Arusha bus stand.
 
Uwanja wa ndege si upo wa KIA, ulijenga strategically kuhudimia Moshi na Arusha, tena wana uwanja wa ndege ndogo pale kisongo ambao ni mzuri kuliko viwanja vingi TZ ukitoa hivo international airports!
Tatizo lako unafananisha DSM na miko mingine, dar ndo jiji haswa majiji mengine yamepewa hadhi kisiasa tu! Ukitaka fananisha Arusha na sehemu nyingine, ifanishe na Mwanza, Mbeya,Tanga,Ntwara ..... ndo utakuwa unaitendea kazi

Nisichopenda kuhusu Arusha ni barabara za mitaa hakuna, ukiacha barabara kubwa koote kwingine ni vumbi tu na ziko lowly maintaned tofauti hata na Dom
Hapo umeongea kweli airport ya Arusha waboreshe lounge yao ila upo poa sana.
41215611.jpg

Kuhusu barabara naona wanazijenga kwa kasi ya ajabu saivi kama za olorien, fire, njiro, shams wameshakamilisha na hii mpya inayotoka Sakina mpaka tengeru Arusha bypass nayo ni makilomita ya lami.
 
Achen uhuni nyie....Chuga imekaa ka europe aisee...kinachoharibu ni serikali kutoplay part yake kama inavyotakiwa.....kama serikal ingeplay part yake Chuga ingekuwa kama Windhoek.. Hata hvyo Chuga haina influence ya watu kuish kule kama dar na mwanza
 
Hata mikoa mingine ina uniqueness yake. Tembea uone.
Uniqueness ya Dodoma ni omba omba wengi au?
Hapo umeongea kweli airport ya Arusha waboreshe lounge yao ila upo poa sana.
41215611.jpg

Kuhusu barabara naona wanazijenga kwa kasi ya ajabu saivi kama za olorien, fire, njiro, shams wameshakamilisha na hii mpya inayotoka Sakina mpaka tengeru Arusha bypass nayo ni makilomita ya lami.
 
Kwani mnalinganisha Arusha na mji UPI Mbeya,Tanga, Dar, Mwanza au wapi
 
Achen uhuni nyie....Chuga imekaa ka europe aisee...kinachoharibu ni serikali kutoplay part yake kama inavyotakiwa.....kama serikal ingeplay part yake Chuga ingekuwa kama Windhoek.. Hata hvyo Chuga haina influence ya watu kuish kule kama dar na mwanza
Duh Windhoek mimi nilijua ni bia kumbe kuna mji unaitwa hivyo
 
Duh watu mmeleta mahaba tu hapa hakuna asiejua kama arusha ni kuzuri, again arusha ni pazuri mnooo ila kwanini stand ipo vile ,kwanini hakuna kiwanja cha ndege cha maana?
Dada utajengaje viwanja vikubwa viwili within 50 Kilometers?? It is not economic viable. Kutoka Arusha stand mpaka KIA ni Kilomita 50 hivyo hivyo kutoka Moshi stand mpaka KIA ni kama kilomita 30..

Nchi nyingi tu duniani viwanja vya ndege vipo pembezoni na mji..
 
Arusha kizuri ni mamanzi wazuri lakini wameungua meno nyie jamaa mnaotoka huko toeni point za msingi badala ya kusingizia tafuta mtu akuzungushe, sijui ukija Arusha uwe na hela sijui zunguka wapi tajeni vitu vya msingi ila binafsi Arusha hakuna kitu.....
 
Acha ushamba Kilimanjaro airport kipo mpakani mwa Kilimanjaro na Arusha katikati ya mikoa miwili.

Kutoka Kilimanjaro airport hautumii hata dak 45 kufika Arusha city center.
Unaweza pia kumjibu hivi.. Kutoka JNIA mpaka Posta City center ni zaidi ya Saa moja na kukiwa na foleni ndio mpaka masaa mawili matatu yanaishia barabarani. Lakini kutoka Arusha City Center mpaka KIA ni dakika 30-45 pekee..
 
Back
Top Bottom