Nilichogundua kuhusu Arusha

Nilichogundua kuhusu Arusha

Nilichogundua nimeona km uliishia kilombero pale. Mi nimeenda karibu mikoa yote tz lakini miji mizuri huku mikoani ni mwanza ikifuatiwa na arusha. Ila km ukienda kisiasa hasa ukiwa ccm, arusha kamwe sio mji mzuri kila kitu chake ni mbaya.
Mkuu hakuna aliyesema Arusha ni mbaya ila orodhesha hapa changamoto serikali yako sikivu huenda itasikia
 
Nilichogundua nimeona km uliishia kilombero pale. Mi nimeenda karibu mikoa yote tz lakini miji mizuri huku mikoani ni mwanza ikifuatiwa na arusha. Ila km ukienda kisiasa hasa ukiwa ccm, arusha kamwe sio mji mzuri kila kitu chake ni mbaya.
 
●●●HAHAHAHA....!!!!●●●

Wewe bado hujaifahamu Arusha hata kidogo. Ukiwa Arusha kama ni starehe utaenjoy hivi vyoote vifuatavyo:-

1) Climatic Condition:

Kanda ya kaskazini kwa ujumla climate yake ni nzuri sana especcially Arusha na Kilimanjaro.

2) Good & Executive Hotels,

Hotel zote kubwa za Arusha ni za 5 * na zipo za kutosha

3) Misosi, Nyamachoma, All fast foods mpaka vyakula vya asili ya kimasai na kichagga.

Kumbuka: wachoma nyama wazuri wanatokea huku na sio wale wa Dsm wanaobabua nyama kama mahindi ya kuchoma.

4) Arusha ipo karibu sana na Airports 3, yaani KIA, JKIA na mdogo wa Kisongo.

5) Swimming pools za hadhi nzuri sana

6) RALLY & Horse Ridding Je?

zipo karibu kiiila mara na maeneo yaliyotengwa kwaajili hiyo.

7) Really National Parks

ie. Ngorongoro, Manyara, Arusha National Parks, Tarangire.

8) Mt. Meru Je?

Kumbuka: after Kilimanjaro Mt. inafuata Mt. Meru na ina barafu throughout

9) Uoto wa Asili je?

Huko Olmotonyi Forest unapajua?

10) Water falls je?

Kuanzia Duluti juu, Meru na Ilboru juu zipo

11) Bar & Night Clubs Je?

Club D, Masai Camp, Apex, Babylon, Via Via.


12) Mito na Mabonde je?


13) HipHop Musics Je?

Unawajua hawa?

-Watengwa?
-Weusi?
-Nako2Nako
-Juniour Nakoz


Sasa umeifahamu Arusha? Usiishie Stand Mgeni. Karibu....

●ILA WARNING:
Ukitaka kuijua Arusha uwe na PESA.
good
 
Kwa tulioisakanya TZ tunajua, ukisema jiji unamaanisha DSM then Arusha, Mwanza kwa karibu, ila Mbeya, Dom (ya sasa), Tanga, Mtwara na Unguja ndo zinafuatia

Mikoa yoote iliyobaki bado sana
Rekebisha hapo usilinganishe Mwanza na hicho kijiji chenu cjui mnakiita Arusha.
 
Kwa tulioisakanya TZ tunajua, ukisema jiji unamaanisha DSM then Arusha, Mwanza kwa karibu, ila Mbeya, Dom (ya sasa), Tanga, Mtwara na Unguja ndo zinafuatia

Mikoa yoote iliyobaki bado sana
mbna nyie watu wa arushaa mwanza huwa inawanyima sana usingizi tatizo ni nn nyiee jamaaa thread inazungumzia arusha... mwanza tayari inaanza tajwa we jibu hoja kwa kuitetea arusha yako na sio kuitetea arusha yako kwa kutegemea support ya mwanza
 
Mkuu umetumia vigezo gani kujua sina hela kuna sehemu inauza soda zaidi ya elfu kumi? Ndyo nyie msiyojua kwamba kutembelea mbuga au milima gharama zake ni elfu kumi, unajifungia kwenye kichupa na kuogopa kwenda hata tarangire ukijua watakucharge dola kama wazungu, acha ujuha
Uku nilipo kazini soda sio take away ni 10 usd.
 
Back
Top Bottom