elimuplatform
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,054
- 462
- Thread starter
- #101
Sijakupata mkuu una maana msanii kaimba kwamba Arusha imetengwa au?Watengwa!!-Rap kijenge!! Mkumbushe na X-Plastaz chini ya Faza Nelly(RIP)
Sijakupata mkuu una maana msanii kaimba kwamba Arusha imetengwa au?Watengwa!!-Rap kijenge!! Mkumbushe na X-Plastaz chini ya Faza Nelly(RIP)
Yupoje huyo asma mkuuClub AQ, bado ipo? Asma wa AQ nimekumiss.
Haina stendi ya maana si ya daladala wala mabasi, maendeleo kama yanaenda kwa kusua sua, boda boda mmoja kaniambia angendelea mkwere wangekua mbali,
ila mwenyeji mmoja kaniambia atanionyesha sehemu kadhaa zitakazonifanya niamini kwamba Moshi kwa Arusha si chochote,
Japo upande wa population naona wapo vizuri, kama upo Arusha niambie ni wapi nikienda nitapiga salute na kuacha kufananisha huu mji na sehemu za kawaida, asanteni
Evelyn Salt JF Expert Member nenda upate takwimu za ndege na abiria Tanzania na Africa linganisha na kauli yako. Huo unaitwa ukosefu wa elimu unaoendeshwa kwa mafanikio na Lumumba.Cha kushangaza zaidi ni hakuna uwanja wa ndege
Vile vindege vilivyopo pale kisongo sijui huwa vinaenda wapi au ngaramtoniSasa Hilo jiji lisilokuwa na airport la nini? Au walitumia kigezo gani kulianzisha
Unahitaji sh ngapi kuuzunguka mji au una maanisha ma ulevi na wanawakeUtaujuaje mji na huna hela ya kuzungukia mji? sijaelezea matumizi,nimesema kama huna hela hutaujua mji,ARUSHA sio kijijini kama unavyodhani,kuwa utazunguka toka kitongoji A mpaka B kwa mguu na uje hapa useme hapafai sio pazuri,yeye kaishia stand na anasema haoni chochote cha kufananisha(sijui na Mpwapwa)
ChuraYupoje huyo asma mkuu
Unahitaji sh ngapi kuuzunguka mji au una maanisha ma ulevi na wanawake wa kununuaHuna helaa unataka kuijua arusha,hapo ulipo pajua ndio mwisho wa kipato chako
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Asie na elimu nani?Evelyn Salt JF Expert Member nenda upate takwimu za ndege na abiria Tanzania na Africa linganisha na kauli yako. Huo unaitwa ukosefu wa elimu unaoendeshwa kwa mafanikio na Lumumba.
Mwaka 1972 Arusha Airport ilikuwa inaongoza Africa, labda tuwaulize CCM imetokea nini?
Wa kuvutia bangiKisongo ni uwanja wa matoroli?
Usionyeshe ujinga hadharani hata kama ni wa lumumba you are better than that.Asie na elimu nani?
kuna ndege ya abiria inafanya safari Arusha mwanza ,Dar na kwingineko??? From Arusha sio KIA
Nikikwambia huelezee wapi Arusha iliposahauliwa, pamoja na mazuri mengi iliyo nayo unaweza niambia?Ndo shida yenu watanzania,nimekua **** mara hii,anyway nina uzoefu kwenye tour operator kwa zaidi ya miaka 10 so kuhusu Nationa park tutakesha,na UJUHA wangu ARUSHA sio stendi ya mabasi,haiishii hapo,ARUSHA ni zaidi ya unavyohisi,kwa kuwa unaongea kwa mhemko hautahimili maelezo ya kina,wacha niamini pamoja nawe kuwa ARUSHA inaishia stendi ili niwe **** MKUU!
Nadhani wewe ndo mjinga kuliko badala uje na point zako unakuja kunijadili mie ,Lumumba Lumumba unadhani kila alie against ni mfuasi wa hizo siasa uchwara ovyoooUsionyeshe ujinga hadharani hata kama ni walumumba you are better than that.
Salute kwako Kamanda.●●●HAHAHAHA....!!!!●●●
Wewe bado hujaifahamu Arusha hata kidogo. Ukiwa Arusha kama ni starehe utaenjoy hivi vyoote vifuatavyo:-
1) Climatic Condition:
Kanda ya kaskazini kwa ujumla climate yake ni nzuri sana especcially Arusha na Kilimanjaro.
2) Good & Executive Hotels,
Hotel zote kubwa za Arusha ni za 5 * na zipo za kutosha
3) Misosi, Nyamachoma, All fast foods mpaka vyakula vya asili ya kimasai na kichagga.
Kumbuka: wachoma nyama wazuri wanatokea huku na sio wale wa Dsm wanaobabua nyama kama mahindi ya kuchoma.
4) Arusha ipo karibu sana na Airports 3, yaani KIA, JKIA na mdogo wa Kisongo.
5) Swimming pools za hadhi nzuri sana
6) RALLY & Horse Ridding Je?
zipo karibu kiiila mara na maeneo yaliyotengwa kwaajili hiyo.
7) Really National Parks
ie. Ngorongoro, Manyara, Arusha National Parks, Tarangire.
8) Mt. Meru Je?
Kumbuka: after Kilimanjaro Mt. inafuata Mt. Meru na ina barafu throughout
9) Uoto wa Asili je?
Huko Olmotonyi Forest unapajua?
10) Water falls je?
Kuanzia Duluti juu, Meru na Ilboru juu zipo
11) Bar & Night Clubs Je?
Club D, Masai Camp, Apex, Babylon, Via Via.
12) Mito na Mabonde je?
13) HipHop Musics Je?
Unawajua hawa?
-Watengwa?
-Weusi?
-Nako2Nako
-Juniour Nakoz
Sasa umeifahamu Arusha? Usiishie Stand Mgeni. Karibu....
●ILA WARNING:
Ukitaka kuijua Arusha uwe na PESA.
Waambie baba umesahau na Geneva OfAfrica IPO chugga ,Aicc je? 4ways ya kutoka sakina adi Holili Taveta Kenya je?? Aaahh waache bhna chugga tunaenjoy balaaaaa iv Nimesahau Madini ya Tanzanite je? Aya ngoja nikimbie naruhusu kupigwa mawe●●●HAHAHAHA....!!!!●●●
Wewe bado hujaifahamu Arusha hata kidogo. Ukiwa Arusha kama ni starehe utaenjoy hivi vyoote vifuatavyo:-
1) Climatic Condition:
Kanda ya kaskazini kwa ujumla climate yake ni nzuri sana especcially Arusha na Kilimanjaro.
2) Good & Executive Hotels,
Hotel zote kubwa za Arusha ni za 5 * na zipo za kutosha
3) Misosi, Nyamachoma, All fast foods mpaka vyakula vya asili ya kimasai na kichagga.
Kumbuka: wachoma nyama wazuri wanatokea huku na sio wale wa Dsm wanaobabua nyama kama mahindi ya kuchoma.
4) Arusha ipo karibu sana na Airports 3, yaani KIA, JKIA na mdogo wa Kisongo.
5) Swimming pools za hadhi nzuri sana
6) RALLY & Horse Ridding Je?
zipo karibu kiiila mara na maeneo yaliyotengwa kwaajili hiyo.
7) Really National Parks
ie. Ngorongoro, Manyara, Arusha National Parks, Tarangire.
8) Mt. Meru Je?
Kumbuka: after Kilimanjaro Mt. inafuata Mt. Meru na ina barafu throughout
9) Uoto wa Asili je?
Huko Olmotonyi Forest unapajua?
10) Water falls je?
Kuanzia Duluti juu, Meru na Ilboru juu zipo
11) Bar & Night Clubs Je?
Club D, Masai Camp, Apex, Babylon, Via Via.
12) Mito na Mabonde je?
13) HipHop Musics Je?
Unawajua hawa?
-Watengwa?
-Weusi?
-Nako2Nako
-Juniour Nakoz
Sasa umeifahamu Arusha? Usiishie Stand Mgeni. Karibu....
●ILA WARNING:
Ukitaka kuijua Arusha uwe na PESA.
Atakuwa alienda kiwanja akaopoa mtoto wa kimbulu akapewa show hataree akadata, labda kesho yake akaenda tena sehemu aka opoa tena, kwa upande wa vimwana ilo sipingi, kuna jamaa angu alikujaga faster kuchukua msichana wa kuzaa naye, siyo wa kuoa kwa ajili ya mbegu tuAR iko poa tu
Hata Nyani Ngabu ameikubali
Naona umejaribu huo ujingaUkishindwa hoja jaribu ujinga
Huenda kuna ukweli ndani yakeWakazi wa Arusha ni wabinafsi. Wana roho mbaya hata ongea yao ya kikatili katili tu mpaka wanawake...Mi nikifikaga Arusha kuna niboa sana kesho yake natamani kuondoka...Bora uishi Njombe au Songea wakazi wa huko wanaroho nzuri sana..