Mtu anayekuja Arusha anasema Arusha si pazuri anashida zake tu, hajiu lolote kuhusu A City. Umekuja Arusha kufanya nini? Unachapaa kwenda sehemu nzuri? Kumbuka mgeni yeyote mtalii anaweza zunguka Tz lakini akifika Arusha anajua amefika sehemu ya kipekee Tz. Kuanzia hotels, hali ya hewa, watu wake and everything.
Tatizo watanzania wengi wanaotoka mikoa isiyo ya kitalii ni "washamba" na hawajui lolote kuhusu lifestyle ya Arusha na uzuri wake. Hii ndio sababu kuu. Watu wa Arusha ni kama Nairobi....no nonsense type.
Arusha all day everyday