Unamaanisha corporate tax...?! Hebu niambie wale wafanyabiashara wa samaki pale Kamanga wanalipa vipi kodi TRA...?! Au wale wanaopanga bidhaa chini...We jamaa una ubishi wa kitoto sana.. Endelea kujibishia mwenyewe basi
Ila kwa kukupa maarifa zaidi kodi za viwandani hao wako classified as Large Tax Payers.. Na wao kodi zao hazijumuishwi na kodi zingine za wilayani au mkoa. Na wana Kamishna wao kabisa wa Large Taxes..
Kodi zinazojumuishwa hapo ni kodi ndogo ndogo za wafanyabiashara wadogo wadogo na wa kati. Megatrade Mtengenezaji wa Kiroba yeye kodi yake iko kwenye Large Tax.. Sanasana labda VAT pekee ndiyo itakusanywa na TRA Mkoa Arusha..
Mkuu tmk sio choka mbaya. Kuna viwanda vingi tmk. Tmk imebadilika sana.Hiyo ni kwa mwaka mkuu... Yaani kelele zote za Mwanza kodi wanayokusanya kwa mwaka wamezidiwa mpaka na kawilaya choka mbaya cha Temeke..
mji wa dar buana, shape za wanaume zinafanana na shape za wanawakeacha kufananisha mjini na kijijni mkuu
Jamaa anafikiri wale raia wa kwenye slums ndio wanaolipa kodi sana...Mkuu tmk sio choka mbaya. Kuna viwanda vingi tmk. Tmk imebadilika sana.
Corporate Tax 30% ya Profit unaweza isiwe Large Tax vile vile... Large tax payers ni wale wanaolipa kodi kuanzia Billion 1 p.a nadhani.. Nitarejea tena kuangalia kiasi.. Wewe ukiwa na kikampuni chako na una faida ya Million 500 huwezi kuwa Large tax payer lakini utalipa Corporate Tax ya 30% kwa faida yako..Unamaanisha corporate tax...?! Hebu niambie wale wafanyabiashara wa samaki pale Kamanga wanalipa vipi kodi TRA...?! Au wale wanaopanga bidhaa chini...
Najua mkuu.. Ndio maana nikamwambia huyo Temeke ina viwanda vingiMkuu tmk sio choka mbaya. Kuna viwanda vingi tmk. Tmk imebadilika sana.
Huu ubishi wengine unatuelimisha, ila post kama hii utaharibu au kuhamisha mantiki ya hii thread.mji wa dar buana, shape za wanaume zinafanana na shape za wanawake
Wewe ni mjinga wa mwisho.. Hizo shughuli kwanini zisiwe Mwanza? Wewe hujui hizo shughuli ndizo zinazungusha pesa kwenye hilo eneo husika?Jamaa anafikiri wale raia wa kwenye slums ndio wanaolipa kodi sana...
Aangalii kuna shughuli gani eneo husika, ndio maana anajisifia wao wanalipa kodi...
Hebu wacha kujiabisha.. !!Nin sasa ulichoandika? Umenielewa lakini au umekunywa vodka?
Hapo nilikuwa nakuonyesha mantiki yako watu wa eneo fulani wanalipa kodi kuliko wengine, sasa nikawa nakuonyesha haupo sahihi...Corporate Tax 30% ya Profit unaweza isiwe Large Tax vile vile... Large tax payers ni wale wanaolipa kodi kuanzia Billion 1 p.a nadhani.. Nitarejea tena kuangalia kiasi.. Wewe ukiwa na kikampuni chako na una faida ya Million 500 huwezi kuwa Large tax payer lakini utalipa Corporate Tax ya 30% kwa faida yako..
Kwahiyo una maanisha Mwanza makusanyo madogo sababu wafanyabiashara wa samaki hawalipi kodi? Kwani Arusha wauza maparachichi na ndizi wao wanalipa? Alafu mbona hata HDI Arusha iko juu sana ya Mwanza.. Hapa par capita income Arusha imeizidi Mwanza..
Hapana aisee, ngojea nikupe elimu halafu uache maswala ya kuitana wajinga, nikupe mfano wa Banana investment hawa wapo Arusha, huwezi kuniambia banana wanahudumia Arusha tu, hawa Banana wanafika mpaka Mwanza hadi Dar es salaam ...Wewe ni mjinga wa mwisho.. Hizo shughuli kwanini zisiwe Mwanza? Wewe hujui hizo shughuli ndizo zinazungusha pesa kwenye hilo eneo husika?
Kwamfano Temeke tu tukisema ina maduka 50,000 yanayohudumia hiyo population ya watu Laki 7 ambao wamevutwa kuishi hapo kwasababu ya hizo shughuli husika unazozisema na kila duka likatoa kodi ya 200,000 average kwa mwaka hiyo tayari ni Billion 10.. Kwahiyo maduka pekee yaliyopo Temeke yanalipa kodi kubwa kuliko hata kodi inayokusanywa na mkoa mzima wa Lindi.. Hapo bado hujagusa biashara nyingine..
Wewe unafikiri Viwanda tu ndivyo vinaleta kodi kubwa pasi na shughuli ndogo ndogo za ujasiriamali?? Ujinga huo
Unajicontradict mwenyewe bila hata kujua.. Na wala sijui nikujibu nini maana hueleweki.Hapana aisee, ngojea nikupe elimu halafu uache maswala ya kuitana wajinga, nikupe mfano wa Banana investment hawa wapo Arusha, huwezi kuniambia banana wanahudumia Arusha tu, hawa Banana wanafika mpaka Mwanza hadi Dar es salaam ...
Sasa je kwa mantiki hiyo unataka kuniambia watu wa Arusha wanakunywa sana Banana ndio maana wameamua kujenga huko kiwanda cha Banana...?! Je na sio kwamba kimejengwa huko ili kupata urahisi wa malighafi kama vilivyo viwanda kwa mfano vya miwa...
Tukirudi pengine unaweza ukaniambia yale maduka kodi yake inaweza ikawa sawa na kiwanda au Arusha kuna maduka mengi kuzidi Mwanza, sababu unapoweka duka au bar unaangalia population, sasa je ni wapi kuna population kubwa...?!
angalia zile estate pia, taasisi a serikali linganisha Mwanza na Arusha uone nyingi zipo wapi, miradi mingi ipo wapi...?! Sasa labda tuulize waliopeleka zamani miradi pande za huko ni kwanini walifanya hivyo, ilhali inahudumia maeneo mengi...
Kwa mfano Tanzania nzima vitu vinatoka Dar es salaam kuhudumia mikoa mingine, je unataka kuniambia walifanya hivyo ku lenga watu wa Dar wenyewe tu...?! Hivyo viwanda vya Temeke vinahudumia Tanzania nzima na sio Temeke tu, na hayo maduka hayatoi kodi kubwa sana yale ya kina Mangi...
Naona umeng'ang'ana kwenye angle ambayo umeibuni ili kujiweka salama zaid kwenye ligi...ok poa mkuuKijana mbona unanishambulia mimi ??
Pingana na facts sababu hizo ndio zinazoiweka Arusha juu ya Mwanza na bahati nzuri zinetolewa na serikali sio maneno ya vijiweni.
Naelewa inakua ngumu kuamini lakini ndio ukweli wenyewe solution hapa ni kuchapa kazi mjitoe kwenye list ya mikoa masikini iliyokithiri hamna namna.
Unao uelewa wowote wa uchumi mkuu?? Unajua maana ya GDP na GDP per capita?Hapo nilikuwa nakuonyesha mantiki yako watu wa eneo fulani wanalipa kodi kuliko wengine, sasa nikawa nakuonyesha haupo sahihi...
HDI Arusha ipo vizuri, Per Capita ipo vizuri unaweza leta hesabu za per capita zinafanywaje...?!
lakini Growth Domestic Product (GDP) inazidiwa hadi na Shinyanga na Mwanza ikiwa ya pili baada ya Dar es salaam hapo ni kabla ya Mwanza na Shinyanga kugawanywa na kutoa mikoa mingine miwili ya Geita na Simiyu...
Nadhani kwa sasa Mkoa wa Arusha ni mkubwa kuliko Mwanza, lakini population bado ni kubwa kuzidi Arusha, nikirejea idadi ya wapiga kura maana baada ya Dar es salaam ilifuatia Mwanza baadae Mbeya hapo kabla Mbeya haijagawanywa kutoa mkoa wa Songwe kwa sasa Mbeya idadi itakuwa imepungua...
Ukirudi katika zile data za NBS kwa GDP Arusha ilikuwa ya saba, lakini kwa GDP per Capita ipo juu lakini na yenyewe ikizidiwa baadhi ya mikoa kama Iringa na Kilimanjaro kama sikosei...
Na hapo inatoa tathmini kwamba kuna unafuu na sio kwamba ni tajiri, au wananchi ni matajiri, la hasha...
Okey conclude bas kuwa mosh ni zaid ya Mwanza....maana ninachokwambia huelewi.....bas service zilizopo hapo mosh zinazid mwanza... Na moshi ni zaid ya mwanza....maana hapa napigia mbuzi gitaaaKijana unavyozungumzia maendeleo ni lazima maendeleo yawe yamejistream.. Maendeleo yanatawanyika hayabaki sehemu moja. Dar ilivyokuwa 2000 si ilivyo sasa, umejiuliza kwanini?? Sababu ni pesa inapatikana hivyo lazima maendeleo yatatanuka. Utanuzi wa mji usingeweza kubaki Old Dar wakati mzunguko ni mkubwa na watu wananufaika na biashara na kazi zinazofanyika hapo. Ndio maana leo Dar mpaka kulikokuwa vijijini na porini zamani leo hii ni makazi ya watu tena watu wameangusha manyumba ya laana. Nenda Kinzudi, Makabe fika mpaka Boko na Mbweni.. Ukirudi huku Morogoro road mji ushafungana na wilaya Jirani ya Kibaha.. Maendeleo yanatawanyika hayabaki sehemu moja.
Kilimanjaro huwezi ifananisha na Mwanza hata kidogo.. Kwanza Kilimanjaro ndio mji pekee wenye majengo machache sana ya Serikali. Mengi yalikuwa yanamilikiwa na watu binafsi au KNCU. Kilimanjaro maendeleo yametawanyika mpaka huko vijijini ndani.. Leo hii mfanyakazi ambaye si Mkazi wa Kilimanjaro akiamishiwa Kilimanjaro hawezi pata eneo la kujenga pale Mjini kwa ughali wa viwanja. Wengi wanakimbilia Boma (Wilaya ya Hai) na Uchira (Wilaya ya Moshi Vijijini).. Na bado watu wengi wenye shughuli zao mjini wanakaa huko vijijini.. Kamkoa ka Kilimanjaro ni kadogo kama utaangalia tu pale Mjini lakini ukubwa wake upo mpaka huko vijijini na ndio maana kwa makusanyo ya kodi Kilimanjaro inawazidi Mwanza
Sasa ni kipi cha muhimu kiko Mwanza na Moshi hakipo? Nitajie kimoja tuOkey conclude bas kuwa mosh ni zaid ya Mwanza....maana ninachokwambia huelewi.....bas service zilizopo hapo mosh zinazid mwanza... Na moshi ni zaid ya mwanza....maana hapa napigia mbuzi gitaaa
Labda nikuulize tu... hivi Kilimanjaro kuna maduka mengi kuzidi Mwanza...?! Na kama hakuna je kodi ya Kilimanjaro inakusanyiwa wapi...?! Vipi kuhusu utalii..?! unajua unachangia kiasi gani, wale watu wanaokuja kupanda mlima vipi...?! Ile KIA ni international mizigo ikishukia pale hakuna inachochangia...?!Unajicontradict mwenyewe bila hata kujua.. Na wala sijui nikujibu nini maana hueleweki.
Miradi mikubwa ya serikali unayoisema huko Arusha ilipelekwa kwa kupendelewa? Nitajie taasis za serikali zenye makao makuu Arusha kama unavyosema na ambazo zimepelekwa kwa upendeleo..
Tukirudi kwenye swala la viwanda bado tunarudi pale pale tu.. Kodi kubwa kubwa zina mfuko wake.. TBL ina makao makuu Dar lakini usifikiri kodi yake inalipwa Kinondoni au Ilala.. Kodi zao zina makamishna wao.. Hivyo hivyo kama Megatrade na Banana wanalipa kodi kuanzia 1 Billion hiyo kodi inalipwa TRA Makao Makuu.. Wale makamishna ndio wanakagua mahesabu na ndio wanaokusanya kodi. Hivyo hivyo kwenye biashara za mazao ya biashara kama Pamba, Korosho na Kahawa..
Unaposema eti sijui viwanda na taasis ndio zinafanya kodi ya eneo husika kuwa kubwa na si mzunguko wa fedha mahali hapo na hali ya uchumi ya wakazi wa hapo ni bla bla tu na uongo.. Kilimanjaro wana taasis zipi za serikali? Wana viwanda kuzidi Mwanza? Mbona Kilimanjaro nao wanakusanya kuliko Mwanza?? Au sababu ya Mlima Kilimanjaro na si shughuli za uchumi zilizopo?
Humu kuna vitu hata mimi nilikuwa sijui. Hata mimi nilifikiri Dar kuwa juu ni kwasababu ya makampuni makubwa na viwanda.Unajicontradict mwenyewe bila hata kujua.. Na wala sijui nikujibu nini maana hueleweki.
Miradi mikubwa ya serikali unayoisema huko Arusha ilipelekwa kwa kupendelewa? Nitajie taasis za serikali zenye makao makuu Arusha kama unavyosema na ambazo zimepelekwa kwa upendeleo..
Tukirudi kwenye swala la viwanda bado tunarudi pale pale tu.. Kodi kubwa kubwa zina mfuko wake.. TBL ina makao makuu Dar lakini usifikiri kodi yake inalipwa Kinondoni au Ilala.. Kodi zao zina makamishna wao.. Hivyo hivyo kama Megatrade na Banana wanalipa kodi kuanzia 1 Billion hiyo kodi inalipwa TRA Makao Makuu.. Wale makamishna ndio wanakagua mahesabu na ndio wanaokusanya kodi. Hivyo hivyo kwenye biashara za mazao ya biashara kama Pamba, Korosho na Kahawa..
Unaposema eti sijui viwanda na taasis ndio zinafanya kodi ya eneo husika kuwa kubwa na si mzunguko wa fedha mahali hapo na hali ya uchumi ya wakazi wa hapo ni bla bla tu na uongo.. Kilimanjaro wana taasis zipi za serikali? Wana viwanda kuzidi Mwanza? Mbona Kilimanjaro nao wanakusanya kuliko Mwanza?? Au sababu ya Mlima Kilimanjaro na si shughuli za uchumi zilizopo?