Nilichogundua kuhusu Arusha

Nilichogundua kuhusu Arusha

wanauza tu viwanja na wachagga wanavinunua kama hawana akili nzuri.

Watainunua yote kama walivyoimaliza Dodoma.
Alafu watabaki kulia lia wachaga wanauziana viwanja mara sijui wanapendelewa na blah blah kibao
 
Unaonaga Wascottish wanavyovaa visketi?? Yani huo ni utambulisho wa machalii wa Arusha.. Inaitwa minyonyoo

Hivi humu wanaishi watu au??

milima+ya+mwanza.jpg

Humo kwenye hii mikoa yetu maskini wanaishi watu.

sina uhakika nyinyi matajiri hizi slums Zenu Ni kwa ajili ya nini.

6a00e5517ca26788340120a6e18a34970b-pi
 
Azia ngulelo./ kerai mpaka ngaramtoni ya juu!! Azia miazini....hdimkonoo.. Njooo hadi kisongo.. Urudi hadi moshono km uneenda mererani!!/ yaani pana pendeza !! Saana!! Kwa dar es SALAMA! Azia. Ubungo maji ....Mabibo...panda km unaenda sinza..kunja km unaenda mkwjuni...tembea mpaka uje magomeni... Teremka uje Kigogo karibu saana na mjii naenda mpk keko napita mpk tandika!! Mtongani!! Hadi yombo!! Kote ni kuchafuu!!
 
Iringa inakusanya 51 Billion wakati Mwanza inakusanya 131 Billion sasa hapo Iringa imeipitaje Mwanza?? Au kusoma hujui? Au viroba kijana
Hizi 31/131b ni kwa mwezi sio? Halafu watu wanashangaa sehemu fulani inapewa priority.
 
Na ndio maana nikamwambia kama watu wa Arusha na Kilimanjaro ndio wangekuwa wakazi wa Mwanza na Shinyanga leo hii Shinyanga na Mwanza ingekuwa habari nyingine.. Hata kwenye makusanyo ya kodi na uwekezaji wa viwanda mbalimbali na biashara mbalimbali za uchuhuzi. Watu wa kanda ya ziwa wote plus Kigoma, Rwanda, Burundi wangekuwa wanakuja kufunga mizigo yao Mwanza na si kwenda Dar/Kariakoo ambako ni umbali mrefu zaidi. Ule uwanja wa ndege ungeshapanuliwa siku nyingi kwasababu lazima kungekuwa na direct flights kutoka huko Duniani kuja pale kwa either wafanyabiashara kusafiri kwenda kununua mizigo au wawekezaji mbalimbali kuja kutafuta fursa. Uwezi ukazungukwa na watu million 10 ukabaki unafanya biashara ya samaki tu..
Umeongea kitu kizuri sana. Kama mtu ana mtaji mkubwa anawalenga watu wa Mwanza na jirani zake wasije Dar tena. Nina jamaa zangu Mwanza wanakuja kununua mzigo wa hardware Kariakoo hadi huwa najiuliza kwanini wasiende China wenyewe? Wakati kuna watu wanauza nguo vifremu vya uchochoroni kariakoo lakini wanaenda China wenyewe. Business opportunity nje nje halafu watu bado wanalialia Magu kabana.
 
Utaendelea kutukana mpaka utanyooka tu. Hata Kilimanjaro hamuifikii.. Maendeleo hayapimwi kwa blah blah bali mzunguko wa pesa na ukusanyaji wa kodi.. Ndio maana leo hii vijiji vya Kilimanjaro vina infrastructure zote na huduma zote muhimu kuanzia zahanati, barabara za rami, shule za msingi na sekondari, umeme na maji... Kule kwetu Machame kuna mpaka Supermarket, Car Wash, Filling Stations, Hotels, Benki ya CRDB.. Je, huko Mwanza vijijini hizo huduma zipo??
Mimi sizungumzii vijiji vya machame.....kama hujaelewa main point yangu...is better 2 leav it
 
Hapo umehit Mwanza ni lifestyle ya kiporini wanaamini huwezi kufanikiwa mpaka upige ndumba na pia hawana uthubutu Mwanza wameishika wa mikoa ya Mara, Kaskazini lakini wenye mji wapo mbali huu ndio ukweli mchungu.
Haijalish mwnza wamejaa watu Wa Mara na kaskazin....main point hapa ni services zilizopo Mwanza na chuga...sio unachepuka kuingiza ukabila hapa....wewe unatetea chuga sina haja ya kufahamu kama wewe ni mmasai, na unavyoamini kila anayetetea mwnza ni msukuma....au lengo lako ni nin?
 
wanauza tu viwanja na wachagga wanavinunua kama hawana akili nzuri.

Watainunua yote kama walivyoimaliza Dodoma.
Kama we mchaga ligi ya chuga inakuhusu nini? But kwa vile unakaa chuga ndo mana unatetea arusha...shida mmekaa kiukabila sana ndo mana magufuli anawafire mahofcn...
 
Haijalish mwnza wamejaa watu Wa Mara na kaskazin....main point hapa ni services zilizopo Mwanza na chuga...sio unachepuka kuingiza ukabila hapa....wewe unatetea chuga sina haja ya kufahamu kama wewe ni mmasai, na unavyoamini kila anayetetea mwnza ni msukuma....au lengo lako ni nin?
Kijana mbona unanishambulia mimi ??

Pingana na facts sababu hizo ndio zinazoiweka Arusha juu ya Mwanza na bahati nzuri zinetolewa na serikali sio maneno ya vijiweni.

Naelewa inakua ngumu kuamini lakini ndio ukweli wenyewe solution hapa ni kuchapa kazi mjitoe kwenye list ya mikoa masikini iliyokithiri hamna namna.
 
No burudani kivipi? Hahahaha Mwanza ina Clubs nyingi kuliko Arusha?? No beaches kwani huku kuna bahari au ziwa mpaka useme hivyo?? Kama hakuna burudani uliza TBL ni wapi wanauza sana Bia kati ya Mwanza na Arusha..

Very Narrow City inakusanya kodi mara 3 yako.. Na kama burudani huku tuna mpaka mbio za magari wakati huko mna Baiskeli tu..
TBL ya Mwanza ni kubwa zaidi kuliko Arusha, Mwanza kuna SBL pia, Mwanza kuna clubs zaidi ya Arusha...
 
Nin sasa ulichoandika? Umenielewa lakini au umekunywa vodka?

Kama nilivyokuambia naongea kwa facts.

Hapo interpretation ya hizo two areas Arusha na Mwanza unaweza kuona Mwanza ina eneo kubwa sana ukilinganisha na Arusha lakini nikuhakikishie Mwanza ni moja ya mikoa yenye uhaba uliopitiliza wa ardhi Tanzania kwa udogo wa ardhi ikitoka Dar inakuja Mwanza.

Mwanza 75% ni maji tupu huwezi jenga ndani ya maji na ina dry land haizidi 8000 sqr mi pia hizo dry land ni milima yenye majabali makubwa na ni karibia nusu ya dry land, sasa pata picture hapo.

mkoa umebanana kupita maelezo tena umebanania milimani (dangerously areas) nikupe tu ukweli Mwanza wanaishi RAIA 760 ndani ya square metre moja huku Arusha wanaishi RAIA 120 ndani ya square meter moja hivyo mwanza ipo more congested and populated 633% than Arusha.

Sasa mnaposema Arusha imebanana na ndogo mna maana gani?
 
Hizi 31/131b ni kwa mwezi sio? Halafu watu wanashangaa sehemu fulani inapewa priority.
Hiyo ni kwa mwaka mkuu... Yaani kelele zote za Mwanza kodi wanayokusanya kwa mwaka wamezidiwa mpaka na kawilaya choka mbaya cha Temeke..
 
Umeongea kitu kizuri sana. Kama mtu ana mtaji mkubwa anawalenga watu wa Mwanza na jirani zake wasije Dar tena. Nina jamaa zangu Mwanza wanakuja kununua mzigo wa hardware Kariakoo hadi huwa najiuliza kwanini wasiende China wenyewe? Wakati kuna watu wanauza nguo vifremu vya uchochoroni kariakoo lakini wanaenda China wenyewe. Business opportunity nje nje halafu watu bado wanalialia Magu kabana.
Ni shida sana boss... Yaani wachuhuzi wa Rwanda hata Uganda wangetakiwa waishie Mwanza na si kuja Dar.. Yaani Mwanza kwa jinsi ilivyo strategic ni lazima ingetakiwa kuwa na Kariakoo yao. Lakini wao wamelala tu alafu hapa wanajisifu wao ni commercial city.
 
Kama nilivyokuambia naongea kwa facts.

Hapo interpretation ya hizo two areas Arusha na Mwanza unaweza kuona Mwanza ina eneo kubwa sana ukilinganisha na Arusha lakini nikuhakikishie Mwanza ni moja ya mikoa yenye uhaba uliopitiliza wa ardhi Tanzania kwa udogo wa ardhi ikitoka Dar inakuja Mwanza.

Mwanza 75% ni maji tupu huwezi jenga ndani ya maji na ina dry land haizidi 8000 sqr mi pia hizo dry land ni milima yenye majabali makubwa na ni karibia nusu ya dry land, sasa pata picture hapo.

mkoa umebanana kupita maelezo tena umebanania milimani (dangerously areas) nikupe tu ukweli Mwanza wanaishi RAIA 760 ndani ya square metre moja huku Arusha wanaishi RAIA 120 ndani ya square meter moja hivyo mwanza ipo more congested and populated 60% than Arusha.

Sasa mnaposema Arusha imebanana na ndogo mna maana gani?
Sasa kama Arusha kuna ardhi ya kutosha kwanini barabara za mitaani ni tu dogo sana...?! Yaani ni twembamba, gari kubwa mbili kupishana ni issue...

Halafu kitu kingine kwanini wananchi wanavamia mashamba ya wawekezaji mfano Meru kule ilhali ardhi ipo ya kutosha tu...?!
 
Mimi sizungumzii vijiji vya machame.....kama hujaelewa main point yangu...is better 2 leav it
Kijana unavyozungumzia maendeleo ni lazima maendeleo yawe yamejistream.. Maendeleo yanatawanyika hayabaki sehemu moja. Dar ilivyokuwa 2000 si ilivyo sasa, umejiuliza kwanini?? Sababu ni pesa inapatikana hivyo lazima maendeleo yatatanuka. Utanuzi wa mji usingeweza kubaki Old Dar wakati mzunguko ni mkubwa na watu wananufaika na biashara na kazi zinazofanyika hapo. Ndio maana leo Dar mpaka kulikokuwa vijijini na porini zamani leo hii ni makazi ya watu tena watu wameangusha manyumba ya laana. Nenda Kinzudi, Makabe fika mpaka Boko na Mbweni.. Ukirudi huku Morogoro road mji ushafungana na wilaya Jirani ya Kibaha.. Maendeleo yanatawanyika hayabaki sehemu moja.

Kilimanjaro huwezi ifananisha na Mwanza hata kidogo.. Kwanza Kilimanjaro ndio mji pekee wenye majengo machache sana ya Serikali. Mengi yalikuwa yanamilikiwa na watu binafsi au KNCU. Kilimanjaro maendeleo yametawanyika mpaka huko vijijini ndani.. Leo hii mfanyakazi ambaye si Mkazi wa Kilimanjaro akiamishiwa Kilimanjaro hawezi pata eneo la kujenga pale Mjini kwa ughali wa viwanja. Wengi wanakimbilia Boma (Wilaya ya Hai) na Uchira (Wilaya ya Moshi Vijijini).. Na bado watu wengi wenye shughuli zao mjini wanakaa huko vijijini.. Kamkoa ka Kilimanjaro ni kadogo kama utaangalia tu pale Mjini lakini ukubwa wake upo mpaka huko vijijini na ndio maana kwa makusanyo ya kodi Kilimanjaro inawazidi Mwanza
 
Sasa kama Arusha kuna ardhi ya kutosha kwanini barabara za mitaani ni tu dogo sana...?! Yaani ni twembamba, gari kubwa mbili kupishana ni issue...

Halafu kitu kingine kwanini wananchi wanavamia mashamba ya wawekezaji mfano Meru kule ilhali ardhi ipo ya kutosha tu...?!
Mkuu mbona unakua kama haushi Arusha huoni saivi kuna upgrading ya Arusha street inafanyika tuachane na Arusha Holili lakini kuna Arusha bypass ambayo inaanzia ngaramtoni inapita burka inatokea njiro engutoto mpaka mandela inatokelezea tengeru hii itasolve congestion kwenye highway ya tanroads.

Barabara ya kule shamsi majengo imepigwa lami, ngaramtoni ya chini inayotokea Arusha heritage imepigwa lami, barabara ya mwanama inayotokea olorien imepigwa lami, barabara ya crocon kuelekea kijenge na kuelekea daraja mbili na njiro relini imepigwa lami hizi zote kwa mpigo.

Projects bado zinaendelea kama kijenge mpaka kimandolu highway imepanuliwa soon itapigwa zulia na maeneo mengine mengi kazi inaendelea.
 
Back
Top Bottom