Hzo kodi za hapo mjini tuu we pimbi...? Rudi tupambanishe miji sio unakimbilia kodi ambayo hata rungwe ipo juu...mbio za magar wanaangalia sehemu yalipo mapori kama huko arusha porini mana hamna kitu.....mwaka Jana zilifanyika Chuga, mwaka juzi zilifanyika morogoro, miaka mingine zilifanyika huko pwani...hata dar hazikufanyika....wakat mwngne na mosh. Sasa huku miliman utafanya mbio za magari wapi we kiroboto....kama huko hakuna beach y unapondea hali ya hewa ya mwanza wakat ni kitu natural....unaweza ukawa na club nying but hakuna kitu....hapo Chuga kuna club gan famous ya kuzidi hata jembe ni jembe...club D ya gharama kubwa lakini utumbo mtupu hata TECNO hawez kwenda kule