Nilichogundua kuhusu Arusha

Nilichogundua kuhusu Arusha

Ni TRA Ilala, niliongelea gate za kule Kurasini...
Huna unachokijua bandari bora ukae kimya tu.. Zile gate zote za bandari watendaji wake wote wanatoka strong room pale TRA Samora.. Kaa kimya tu usije aibika
 
Niambie Manyara chadema wana viti vingapi...?! Kama sio viwili tu, au kule Tanga wana viti vingapi...?!

na imeundwa lini hiyo North Empire...?!
Arusha na Kilimanjaro imekuwa Manyara na Tanga?? Watanga wao wana empire yao inaitwa Tanga Line..

Ipo kabla baba yako hajazaliwa
 
Huna unachokijua bandari bora ukae kimya tu.. Zile gate zote za bandari watendaji wake wote wanatoka strong room pale TRA Samora.. Kaa kimya tu usije aibika
We wa wapi wewe...?! Kishumundu nini... mi naongelea location, hivi wafanyakazi wengi kwa mfano wa Serengeti wakitokea Arusha, itaifanya Serengeti kuwepo Arusha...?!
 
Bwana Ardhi naongea kitu ninachokijua sio blah blah na hisia zako za kijinga..
 
Arusha na Kilimanjaro imekuwa Manyara na Tanga?? Watanga wao wana empire yao inaitwa Tanga Line..

Ipo kabla baba yako hajazaliwa
Mara nyingi mbona huwa unaijumuisha Tanga katika North Empire...?! Naona...
 
Arusha ni arusha hlo halina ubishi amna magonjwa ya mlipuko,amna folen,amna hali ya hewa ya kikuda
 
Mtu mjinga sana anasema TMK eti wanategemea kodi ya bandari.. Mpuuzi sana huyu mtu.

Unajua TMK kuna viwanda vingapi? Unajua Temeke kuna population ya watu wangapi? Unajua TMK ina shule na vyuo binafsi vingapi? Unajua Keko kule kuna workshop na vijiwanda vidogo vidogo vingapi? Unajua mtaa wa temeke pekee una bar na maduka mengi kuliko hata Mwanza yote? Alafu mtu mjinga kabisa anasema Temeke wanategemea tozo za bandari. Tozo za bandari hajui kama zinaenda DSM Service Centre... Unafikiri hapa kuna wajinga kama wewe..
 
Mkuu wala usihangaike kushambulia.. Mwambie akuwekee analoliita pagala la kishamba kutoka Mwanza. Kama hatakuwekea vile vijumba vya milimani kule hahahahaha... Mwanza nzima nyumba nzuri ni hizi pekee

5149445725_95c9e1350a_b.jpg
68352.jpg
5360615.jpg

Hakuna picha watakuwekea zaidi ya hizi na zile nyingine mbili...
Acha ushamba wew
 
Hivi tetemeko lingesogea mpaka mwanza hizo nyumba zingebaki kweli!?, ushauri nasaha, tafadhalini wamiliki mkakate insuarance/bima za majengo yenu
 
ahahahah! hii ligi tamu sana....naona vijana mnagombania ukubwa, sie wa Dar slaam unajua tuliemuachia ziwa toka kwa mama ila ngoja tuwaache mtiane adabu wadogo zetu.Mgombane humu humu chumbani mkitoka nje lenu liwe moja msianze tena kuchokoana hadi kwenye nyumba za jirani.
 
Mtu mjinga sana anasema TMK eti wanategemea kodi ya bandari.. Mpuuzi sana huyu mtu.

Unajua TMK kuna viwanda vingapi? Unajua Temeke kuna population ya watu wangapi? Unajua TMK ina shule na vyuo binafsi vingapi? Unajua Keko kule kuna workshop na vijiwanda vidogo vidogo vingapi? Unajua mtaa wa temeke pekee una bar na maduka mengi kuliko hata Mwanza yote? Alafu mtu mjinga kabisa anasema Temeke wanategemea tozo za bandari. Tozo za bandari hajui kama zinaenda DSM Service Centre... Unafikiri hapa kuna wajinga kama wewe..
Mbona umekuwa mkali, atleast umepata mantiki, na sio kuja kutamba tena humu eti nyie mnalipa kodi...
 
Mtu mwongo lazima agombezwe... Mwanza mnalitumiaje hilo ziwa na hao samaki?? Arusha mnasingizia eti ni Mbuga na Moshi nayo yenye Mlima Kilimanjaro pekee mtasemaje?? Moshi ina mlima nyie mna ziwa mbona Kilimanjaro na udogo wake bado wanawazidi ukusanyaji
 
Azia ngulelo./ kerai mpaka ngaramtoni ya juu!! Azia miazini....hdimkonoo.. Njooo hadi kisongo.. Urudi hadi moshono km uneenda mererani!!/ yaani pana pendeza !! Saana!! Kwa dar es SALAMA! Azia. Ubungo maji ....Mabibo...panda km unaenda sinza..kunja km unaenda mkwjuni...tembea mpaka uje magomeni... Teremka uje Kigogo karibu saana na mjii naenda mpk keko napita mpk tandika!! Mtongani!! Hadi yombo!! Kote ni kuchafuu!!
Dah watu wa vijijini/mikoani kwa kujipa matumaini!
 
Eti bandari iko temeke hahahahhaa...

Mkuu RRONDO hivi bandari iko TMK au Ilala?? Naomba msaada wako hapa..
Na gati za meli zitakua chang'ombe au mbagala. 😀😀😀😀
Ni TRA Ilala, niliongelea gate za kule Kurasini...
Ni TRA Ilala, niliongelea gate za kule Kurasini...
We unadhani zile gate za Kurasini zipo Wilaya gani...?!

Bandari iko Temeke kuhusu kodi unaweza lipa TRA manispaa yoyote benki
 
Mkuu hizo kodi zinalipwa popote huyu alikuwa anaongelea tozo.. Hizo kodi huwa hazijumuishi kwenye mapato ya Wilaya bali zote zinaingia kwenye DSM Service Centre
 
Mtu mwongo lazima agombezwe... Mwanza mnalitumiaje hilo ziwa na hao samaki?? Arusha mnasingizia eti ni Mbuga na Moshi nayo yenye Mlima Kilimanjaro pekee mtasemaje?? Moshi ina mlima nyie mna ziwa mbona Kilimanjaro na udogo wake bado wanawazidi ukusanyaji
Nikirudi katika kodi za Halmashauri, kwa mfano ile kodi ya Huduma/service levy, au kodi ya Hotel/hotel levy...

Je kwa Arusha kuna kampuni ngapi na hotel ngapi...?! Kumbuka pote huko wanapopita Halmashauri na TRA wanapita huko...

Je unaweza ukanipa sababu ni vigezo vipi vimefanya Kilimanjaro kuipita Mwanza kwenye ukusanyaji wa kodi kulingana na jedwali lako...?! Je ni wale watu wachache wa huko wanatoa sana kodi ama...?!

au labda nikuulize ni kwanini kwa mara ya kwanza kabisa walivyoingia serikali ya awamu hii ikaonekana kodi inakusanywa kubwa zaidi...?! Na kwenda kiwango kinapungua...

Nikuulize tena, mimi ninapoingia ziwani kwenda kuvua je kodi nitailipia wapi sababu hata sitokuwa na TIN, labda nikienda kuuza sokoni nitalipia ushuru wa soko ambayo ni 500 tu na wenyewe ni kwa ajili ya halmashauri tu...

Na Magufuli akiutoa huo ushuru sitolipa, wanaolipa kodi ni yale makampuni na viwanda vya samaki kitu kinasoma TRA na mimi sio ninaenda kuvua...

Wale watu wanaofanya shughuli ndogo ndogo pote Mwanza na Arusha hawalipi kodi TRA, kwa hiyo usiseme watu wa huku wanalipa sana kodi kuliko sehemu fulani, angalia vyanzo...
 
We jamaa una ubishi wa kitoto sana.. Endelea kujibishia mwenyewe basi

Ila kwa kukupa maarifa zaidi kodi za viwandani hao wako classified as Large Tax Payers.. Na wao kodi zao hazijumuishwi na kodi zingine za wilayani au mkoa. Na wana Kamishna wao kabisa wa Large Taxes..

Kodi zinazojumuishwa hapo ni kodi ndogo ndogo za wafanyabiashara wadogo wadogo na wa kati. Megatrade Mtengenezaji wa Kiroba yeye kodi yake iko kwenye Large Tax.. Sanasana labda VAT pekee ndiyo itakusanywa na TRA Mkoa Arusha..
 
Back
Top Bottom