Nilichogundua kuhusu Arusha

Nilichogundua kuhusu Arusha

Kama nilivyokuambia naongea kwa facts.

Hapo interpretation ya hizo two areas Arusha na Mwanza unaweza kuona Mwanza ina eneo kubwa sana ukilinganisha na Arusha lakini nikuhakikishie Mwanza ni moja ya mikoa yenye uhaba uliopitiliza wa ardhi Tanzania kwa udogo wa ardhi ikitoka Dar inakuja Mwanza.

Mwanza 75% ni maji tupu huwezi jenga ndani ya maji na ina dry land haizidi 8000 sqr mi pia hizo dry land ni milima yenye majabali makubwa na ni karibia nusu ya dry land, sasa pata picture hapo.

mkoa umebanana kupita maelezo tena umebanania milimani (dangerously areas) nikupe tu ukweli Mwanza wanaishi RAIA 760 ndani ya square metre moja huku Arusha wanaishi RAIA 120 ndani ya square meter moja hivyo mwanza ipo more congested and populated 633% than Arusha.

Sasa mnaposema Arusha imebanana na ndogo mna maana gani?
Ndo mana nakwambia shida yako hujanielewa mkuu....na inawezekana umenidandia njian bila kujua naelekea Wap.....sasa unatumia nguvu nyingi sana kunipeleka unapotaka...mwanzon tulienda vizur ila concept za fisadi aliyekubuhu zimekuharibu....fatilia page ya 1 had ya 31 ya huu Uzi ujue kama kuna post yeyote niliyopondea Chuga....shida imekuja pale ambapo mtu anadai jiji la mwanza si chochote....nikajaribu kumjibu kwa njia ya picha na wewe ukaingilia...ukawa unapost vitu ambavyo unaamin mwanza havipo nami nikakudhibitishia kwa njia ya picha.....ghafla ukaja na tax statistics za kimkoa...na hapo ndo umeng'ang'ana 'till dis moment....ok mkoa Wa mwanza space land yake ipo fixed kwa sababu ulizotaja ukilinganisha na mkoa Wa arusha.....but mji Wa mwanza unakua zaid ya mji Wa arusha....kwa nini unakua wakat umezungukwa na poor people? Na arusha iliyozungukwa na matajir bado expansion yake ni ndogo....hilo nakuachia wewe ujibu
 
Labda nikuulize tu... hivi Kilimanjaro kuna maduka mengi kuzidi Mwanza...?! Na kama hakuna je kodi ya Kilimanjaro inakusanyiwa wapi...?! Vipi kuhusu utalii..?! unajua unachangia kiasi gani, wale watu wanaokuja kupanda mlima vipi...?! Ile KIA ni international mizigo ikishukia pale hakuna inachochangia...?!

hivi hivi vyuo vilivyopo huku Arusha inamaana hawalipi kodi...?! Unaweza ukaniambia ni kwanini Nelson Mandela University imejengwa Arusha badala ya Mbeya...?!

Arusha kuna EAC, kuna TANAPA kuna AICC...

Unaweza ukaniambia ni kwanini zile cities mbili za NHC zinajengwa mkoa mmoja na nyingine inajengwa Dar es salaam Kawe...?!
Hahahahaha aiseee... Sasa Kilimanjaro wao wana mlima nyie si mna ziwa? Airport ya KIA inapitisha mizigo ipi mikubwa??

Kilimanjaro ina maduka mengi ndiyo sababu yametawanyika kuanzia mjini mpaka vijijini.. Kijijini kwangu pekee kuna maduka zaidi ya matano..

TANAPA ulitaka iwekwe Kagera ua Tabora.. EAC ulitaka iwe wapi wewe?? AICC nature ya hali ya hewa na utalii ina ruhusu kujengwa pale.. Unajua kitu kinaitwa Utalii wa Mikutano?

Arusha kuna vyuo vingapi vya serikali?? Nachojua ni Uhasibu tu hivyo vingine ni dhoofu sana. NHC inajenga sababu wanajua kuna wanunuzi.. NHC haifanyi biashara kichaa. Real Estate Arusha inalipa sana sababu wazawa wa huku hupenda kuifadhi pesa yao kwenye mali zisizohamishika kama ardhi na majengo..
 
Halafu mbona huwa unapenda sana kuonyesha u superiority ambao haupo, unaposema watu wa kaskazini ndio wapi hao...?!

je ni hawa Wamasai ninaowaona ndio unawapa sifa hizo, je ni hawa Wa Meru...?! Je ni Wachaga...?! Au ni wale Wa Iraqw...?!

je ni kilimo gani kinafanyika huku...?! Na hao wazawa, au unaongelea estates za wale wazungu kama kule KIMEMO, au labda migomba ndio kilimo chenyewe...?!

halafu kitu kingine wewe unataka watu wasiishi kwenye mawe wakaishi wapi...?! Kama hayo ndio mazingira, kule Arusha National park, snake farm kuna nyoka, je mbona hakuna mawe huko...?!
Huyo jamaa cjui fisadi kuu ni pumba kabisa.....amekaa kikabila Sanaa....
 
Okey conclude bas kuwa mosh ni zaid ya Mwanza....maana ninachokwambia huelewi.....bas service zilizopo hapo mosh zinazid mwanza... Na moshi ni zaid ya mwanza....maana hapa napigia mbuzi gitaaa
Ok Safi sana naona ligi sasa ni kulinganisha uchumi wa Mikoa tofauti kwa kutumia zaidi takwimu ni jambo jema
Tricky question. Not so sure.

Hapana aisee, ngojea nikupe elimu halafu uache maswala ya kuitana wajinga, nikupe mfano wa Banana investment hawa wapo Arusha, huwezi kuniambia banana wanahudumia Arusha tu, hawa Banana wanafika mpaka Mwanza hadi Dar es salaam ...

Sasa je kwa mantiki hiyo unataka kuniambia watu wa Arusha wanakunywa sana Banana ndio maana wameamua kujenga huko kiwanda cha Banana...?! Je na sio kwamba kimejengwa huko ili kupata urahisi wa malighafi kama vilivyo viwanda kwa mfano vya miwa...

Tukirudi pengine unaweza ukaniambia yale maduka kodi yake inaweza ikawa sawa na kiwanda au Arusha kuna maduka mengi kuzidi Mwanza, sababu unapoweka duka au bar unaangalia population, sasa je ni wapi kuna population kubwa...?!

angalia zile estate pia, taasisi a serikali linganisha Mwanza na Arusha uone nyingi zipo wapi, miradi mingi ipo wapi...?! Sasa labda tuulize waliopeleka zamani miradi pande za huko ni kwanini walifanya hivyo, ilhali inahudumia maeneo mengi...

Kwa mfano Tanzania nzima vitu vinatoka Dar es salaam kuhudumia mikoa mingine, je unataka kuniambia walifanya hivyo ku lenga watu wa Dar wenyewe tu...?! Hivyo viwanda vya Temeke vinahudumia Tanzania nzima na sio Temeke tu, na hayo maduka hayatoi kodi kubwa sana yale ya kina Mangi...

Unao uelewa wowote wa uchumi mkuu?? Unajua maana ya GDP na GDP per capita?

Well, Tanzania tuna GDP kubwa kuliko Botswana.. Lakini Botswana wana GDP per capita kubwa mara tatu sita zaidi ya yakwetu.. Botswana GDP per capita yao inakaribia Million 14 wakati Tanzania ni Million 2 pekee..

Kukutafsiria zaidi ni kwamba, watu kumi wanaweza kulima shamba la ekari 2 kwa siku moja wakati watu wawili watalima hizo ekari 2 kwa wiki 1.. Ila kwenye kuvuna watu 10 watapata kila mmoja gunia moja tu la walicholima wakati wale watu wawili watapata kila mmoja magunia matano..
 
Humu kuna vitu hata mimi nilikuwa sijui. Hata mimi nilifikiri Dar kuwa juu ni kwasababu ya makampuni makubwa na viwanda.
Mkuu ni watu tu kujijengea fikra potofu.. Dar sio viwanda na kampuni kubwa kubwa pekee ndio zinafanya iwe imeendelea.. Hata uwepo wa nguvu kazi inayosupport hiyo circulation ya pesa... Viwanda na kampuni na huduma mbalimbali zinazohudumia biashara kubwa au wafanyabiashara mbalimbali pasi ya kujali makazi yana mfuko wake maalumu ambapo kodi hudumbukizwa humo. Hizo kazi mara nyingi hufanywa na TRA strong room kule makao makuu na si hivi viofisi vya mawilayani kama Kinondoni, TMK na Ilala..

Kuna Large Taxpayers hawa Tz nzima wana mfuko wao bila kujalisha uko Mkoa gani, kuna DSM Service Centre hawa sanasana wanadili na bandari na ICD zake, kuna Kitengo kingine kipo pale Airport nacho kinakusanya kodi zote na kina mfuko wake. Kwahiyo Ilala kukusanya Billion 899 karibia 900 kwa mwaka hiyo ni kodi ya pale Kariakoo, Posta kule na za wafanyabiashara wengine wadogo na wakati na si Bandari.. Kinondoni hivyo hivyo Billion 461 kwa mwaka ni kwa biashara zilizo Kinondoni na si bandari wala blah blah nyingine. Kwa Investment zilizo Sinza na Mbezi pekee zinaweza kusanya kodi kuliko Mkoa wote wa Mwanza
 
Jamaa anafikiri wale raia wa kwenye slums ndio wanaolipa kodi sana...

Aangalii kuna shughuli gani eneo husika, ndio maana anajisifia wao wanalipa kodi...
Jamaa hamna kitu yule....tukianza mchanganuo Wa mapato ya mkoa yanavyopatikana...jamaa atabaki na wazungu tuu ndo wanaompa hela za kushangaa ngedere.. Lakini pale city center hamn kitu...sema amekaa kishamba sana na kishabiki pia
 
Hahahahaha aiseee... Sasa Kilimanjaro wao wana mlima nyie si mna ziwa? Airport ya KIA inapitisha mizigo ipi mikubwa??

Kilimanjaro ina maduka mengi ndiyo sababu yametawanyika kuanzia mjini mpaka vijijini.. Kijijini kwangu pekee kuna maduka zaidi ya matano..

TANAPA ulitaka iwekwe Kagera ua Tabora.. EAC ulitaka iwe wapi wewe?? AICC nature ya hali ya hewa na utalii ina ruhusu kujengwa pale.. Unajua kitu kinaitwa Utalii wa Mikutano?

Arusha kuna vyuo vingapi vya serikali?? Nachojua ni Uhasibu tu hivyo vingine ni dhoofu sana. NHC inajenga sababu wanajua kuna wanunuzi.. NHC haifanyi biashara kichaa. Real Estate Arusha inalipa sana sababu wazawa wa huku hupenda kuifadhi pesa yao kwenye mali zisizohamishika kama ardhi na majengo..
Ulishasikia mtalii anasafiri kuja kuogelea ziwani...?! nilikutolea mfano mimi nikitaka kwenda kuvua nitalipia bei gani TRA hujanijibu... je nikitaka kwenda kupanda mlima je nitapanda bure...?!

unataka kuniambia pale KIA hakuna clearance inayofanyika...?! Mfano wale watasha wanaokuja hawaji na mzigo wowote...?! Au watalii wakitaka kuondoka hakuna chochote wanachobeba...?! Hata yale mavinyago tu hakuna...?!

Arusha kuna vyuo vingapi...?! Je ni vya watu binafsi, pale Mwanza kuna matawi tu, hakuna chuo kiku hata kimoja cha serikali fanya kanda ile yote hakuna zaidi ya vi taasisi vidogo vidogo kama vya uvuvi...

Ukija katika maduka miaka 800 Mwanza kuna maduka mengi ya kina Mangi kuzidi Kilimanjaro...

Sasa huwezi niambia eti maduka yame boost kodi ya Kilimanjaro, we acha utani labda wazungu wana uwezo wa kukaa kwenye estate pote nilipozunguka hadi kule Ker & Downey au Legendary sijawaona kina Mchome, wenyewe nimewakuta na wazungu wanawazungusha wakiwa na rasta...
 
Jamaa hamna kitu yule....tukianza mchanganuo Wa mapato ya mkoa yanavyopatikana...jamaa atabaki na wazungu tuu ndo wanaompa hela za kushangaa ngedere.. Lakini pale city center hamn kitu...sema amekaa kishamba sana na kishabiki pia
Sidhani kama hata jamaa anajua kuna vyanzo vya Halmashauri Own Source Collection, sasa jiji linaundwa na halmashauri ya jiji wana vyanzo vyao tuchukulie mfano wa property tax ambapo walikuwa wanataka waipeleke TRA

Sasa jamaa yeye alichokariri ni TRA tu...
 
Unao uelewa wowote wa uchumi mkuu?? Unajua maana ya GDP na GDP per capita?

Well, Tanzania tuna GDP kubwa kuliko Botswana.. Lakini Botswana wana GDP per capita kubwa mara tatu sita zaidi ya yakwetu.. Botswana GDP per capita yao inakaribia Million 14 wakati Tanzania ni Million 2 pekee..

Kukutafsiria zaidi ni kwamba, watu kumi wanaweza kulima shamba la ekari 2 kwa siku moja wakati watu wawili watalima hizo ekari 2 kwa wiki 1.. Ila kwenye kuvuna watu 10 watapata kila mmoja gunia moja tu la walicholima wakati wale watu wawili watapata kila mmoja magunia matano..
Huo unakuwa sio uhalisia tuchukulie mfano kuna watu watano mtu mmoja katika watu watano akatoa 1000 wengine hakuna hapo ikigawanywa inaonekana kila mmoja alitoa 200 je kuna ukweli hapo...?!

ni sawa na hiyo per capita je wale machalii wa Ngareroo wanachangia kiasi gani...?! Zaidi ya kuvaa visuruali vya kubana na maviatu makubwa...

Lakini ikipigwa hesabu inaonekana ni wazalishaji na wana nafuu ya maisha...
 
Uzi navivyomo tofaut sahv ....story za kodi ndio zimeshika hatamu
 
Ulishasikia mtalii anasafiri kuja kuogelea ziwani...?! nilikutolea mfano mimi nikitaka kwenda kuvua nitalipia bei gani TRA hujanijibu... je nikitaka kwenda kupanda mlima je nitapanda bure...?!

Hapana ila najua kuna Samaki na Dagaa na viwanda vya kusindika samaki ambao wanauza kila mahali nchini na nje ya nchi.. Je, hiyo si biashara ambayo ingefanya pata la mkoa likuwe??

unataka kuniambia pale KIA hakuna clearance inayofanyika...?! Mfano wale watasha wanaokuja hawaji na mzigo wowote...?! Au watalii wakitaka kuondoka hakuna chochote wanachobeba...?! Hata yale mavinyago tu hakuna...?!

Kwahiyo vinyago na samaki wapi wangepaswa wainue kipato cha mji?? Yaani vimizigo vya watalii vya kulipa tozo za dola 10-100 ndizo zipambane na pesa ya samaki?? Tena watalii wenyewe hawa wa msimu?? Angalau ungeniambia wanaopitisha Tanzanite pale na kwa bahati ile kodi ya Tanzanite huwa inapelekwa Arusha na si Kilimanjaro..

Arusha kuna vyuo vingapi...?! Je ni vya watu binafsi, pale Mwanza kuna matawi tu, hakuna chuo kiku hata kimoja cha serikali fanya kanda ile yote hakuna zaidi ya vi taasisi vidogo vidogo kama vya uvuvi...

Ukitoa Uhasibu ni chuo gani kimepelekwa Arusha kwa upendeleo?? Hivi Arusha University nacho ni chuo cha kusema kinabeba mji?? Makumira na Uhasibu ndivyo vyuo pekee vikubwa Arusha na Makumira ni chuo cha binafsi. Hicho Mandela wala bado hakijaonyesha any positive impact in Arusha.. Vyuo vingine kama Esami wala huwezi kusema ni serikali..

Ukija katika maduka miaka 800 Mwanza kuna maduka mengi ya kina Mangi kuzidi Kilimanjaro...

Kama mna maduka mengi na biashara nyingi zinalipa hapo kwanini Kilimanjaro inawazidi kwa makusanyo ya kodi? Je, Kilimanjaro kuna viwanda vingi kuliko Mwanza?? Ulikuwa unajisifu hapa Mwanza ina kiwanda kikubwa cha TBL na SBL, bado kuna viwanda vya kusindika Samaki na utitiri wa viwanda.. Moshi kuna kiwanda cha Sukari pekee.. Kama unasema Moshi kuna Mlima basi na Mwanza kuna ziwa ila kuna Msukuma yeyote mwenye Kiwanda cha kusindika samaki huko?? Kuna msukuma yeyote ana kampuni kubwa ya uvuvi?? Kama yupo ni vizuri lakini kama hayupo usilalamikie Kilimanjaro kwasababu tu kuna watu wanatumia Mlima kama fursa kwao.. Wamejenga Hotels ambazo zinalaza watalii, hizo Hotels zimeajiri watu walipwa mishahara.. Hizo hotels zinahitaji vyakula na mboga mboga watu wanalima wanajipatia fedha.. Wamefungua kampuni za Tours, hizo kampuni zinaajiri watu hao watu wanalipwa mishahara.. Mzunguko wa pesa ndio uko hivyo na si useme tu eti kule serikali imependelea ndio maana kunatoa kodi kubwa.. Kodi inalipwa na watu si wanyama wala hicho unachoita taasis

Sasa huwezi niambia eti maduka yame boost kodi ya Kilimanjaro, we acha utani labda wazungu wana uwezo wa kukaa kwenye estate pote nilipozunguka hadi kule Ker & Downey au Legendary sijawaona kina Mchome, wenyewe nimewakuta na wazungu wanawazungusha wakiwa na rasta...

Hao wazungu wanaokaa kwenye Estate unazosema wanalipa kipi cha maana?? Kwani Mwanza hakuna wazungu wanaofanya shughuli zao huku?? Kilimanjaro ukitoa wale wazungu walima maua hakuna Mzungu yeyote mwenye kitu chochote cha maana pale. Kuanzia Hotels na biashara zote kubwa Kilimanjaro zinamilikiwa na wazawa. Wewe nikikuuliza hapa Mmiliki wa Malaika Beach humjui utaishia kuhisia tu. Hakuna kichaa atakwamini eti wachagga mpaka kule migombani wamedondosha mahekalu sababu mzungu mlima maua anawajengea, hakuna atakayekwamini ukimwambia Petrol Station iliyopo pale Nfon Machame na nyingine iliyopo Uduru Machame zimejengwa sababu ya magari ya wazungu.. Ni kwasababu ya hali nzuri ya wananchi ndio maana mpaka vijijini huko watu wengi tu wanamiliki magari na biashara zinafanyika.. Ndio maana mpaka UN na tafiti mbalimbali za wataalam si za blah blah zinasema Dar, Arusha na Kilimanjaro ndiko wananchi wake wanaishi kama binadamu kuanzia makazi yao mpaka huduma zinazowazunguka ni bora. Vijana wengi wa Arusha na Moshi maisha yao ni bora ukilinganisha na huko Mwanza... Huko Mwanza elimu tu ni kizungumkuti watu mmekalia kurogana na kuua bibi vizee kwa imani za kishirikina.. Mnaua Albino kwa kukosa elimu na ujinga uliowajaa.. Madini yamewazunguka lakini ni maskini wa mwisho.. Arusha kuna Tanzanite tu lakini kuna wajanja wengi hizo hizo Tanzanite zimewatoa sana na wengine wana miliki mpaka mashimo..
 
Sidhani kama hata jamaa anajua kuna vyanzo vya Halmashauri Own Source Collection, sasa jiji linaundwa na halmashauri ya jiji wana vyanzo vyao tuchukulie mfano wa property tax ambapo walikuwa wanataka waipeleke TRA

Sasa jamaa yeye alichokariri ni TRA tu...
Hivi we jamaa una uelewa wowote wa mambo ya fedha?? Leo uko wapi nikutafute na kama hutojali PM me your number...

Ebu nitajie mapato ya halmashauri ni yapi na yapi kwanza alafu nikufundishe kuacha ubishi usio na msingi
 
watu wa dar mnamatatizo.uwanja wa ndege uwe mkubwa mdogo una uhusiano gani.kama ata fast jet aujapanda
 
Huo unakuwa sio uhalisia tuchukulie mfano kuna watu watano mtu mmoja katika watu watano akatoa 1000 wengine hakuna hapo ikigawanywa inaonekana kila mmoja alitoa 200 je kuna ukweli hapo...?!

ni sawa na hiyo per capita je wale machalii wa Ngareroo wanachangia kiasi gani...?! Zaidi ya kuvaa visuruali vya kubana na maviatu makubwa...

Lakini ikipigwa hesabu inaonekana ni wazalishaji na wana nafuu ya maisha...
Sitaacha kukupa elimu ya bure kabisa.. Vijana wa Arusha wengi ni wachakalikaji na wana fedha zao.. Vijana wa Arusha huwezi fananisha na maskini wa Mwanza hata siku moja. Tuna mifano ya dhahiri kabisa vijana wachakalikaji waliotokea Arusha lakini leo hii Mwanza huwezi kunipa hata kijana mmoja mashuhuri hapa nchini.. Tuna akina Patrick Ngowi, Alberto Msando, tuna akina Millard Ayo, tuna Weusi, tuna akina Vannessa Mdee, Navy Kenzo, Nisher... Hao ni vijana baadhi tu ambao kujituma kwao kuna onyesha kunavyowalipa.. Hao ni mfano tu wa hao wavaa minyonyo wa Ngaleloo walivyo tofauti na wavua samaki wa Mwanza..

Nikikwambia nitajie mentor yeyote wa vijana huko Mwanza au anayejulikana hapa nchini akitokea huko Mwanza hayupo hata mmoja..

Definition ya HDI ni hii "The Human Development Index (HDI) is a composite statistic of life expectancy, education, and per capita income indicators, which are used to rank countries into four tiers of human development. A country scores higher HDI when the lifespan is higher, the education level is higher, the GDP per capita is higher, the fertility rate is lower, and the inflation rate is lower." HDI haiangalii blah blah zako za kuvaa minyonyo au kuvua samaki.. Inaenda mbali zaidi na kuangalia mfumo mzima wa maisha kwenye jamii husika. Ndio maana leo hii USA pamoja na Utajiri wake wote na kuongoza kwa kuwa na viwanda na wazilishaji wa kila kitu kwenye HDI list wao ni wa nane na wamezidiwa na nchi nyingi tu kutoka ulaya kama Norway, Ireland, Netherland, Germany, Australia, Denmark na Switzerland. HDI inaonyesha hali ya ubora wa maisha kwa kaya moja moja, familia moja moja na mtu mmoja mmoja.. Kwa Tanzania mikoa yenye HDI kubwa ni Arusha, Kilimanjaro na Dar... Mikoa mitatu ya Mwisho ni Mwanza ikiwemo..

Kwahiyo kuna tofauti kubwa sana kati ya vijana wavaa suruali za kubana na maviatu makubwa wenye uhakika wa maisha na kuishi kuliko vijana wachawi wa kisukuma wanaoishi milimani kama ngedere...
 
Leo hapa ni dozi ya kitakwimu na si blah blah...

hdi 1.png
 
Hivi we jamaa una uelewa wowote wa mambo ya fedha?? Leo uko wapi nikutafute na kama hutojali PM me your number...

Ebu nitajie mapato ya halmashauri ni yapi na yapi kwanza alafu nikufundishe kuacha ubishi usio na msingi
Maswala ya fedha naelewa... kwa leo nipo hapa town tu... vipi unataka kunitoa...?!
 
Sitaacha kukupa elimu ya bure kabisa.. Vijana wa Arusha wengi ni wachakalikaji na wana fedha zao.. Vijana wa Arusha huwezi fananisha na maskini wa Mwanza hata siku moja. Tuna mifano ya dhahiri kabisa vijana wachakalikaji waliotokea Arusha lakini leo hii Mwanza huwezi kunipa hata kijana mmoja mashuhuri hapa nchini.. Tuna akina Patrick Ngowi, Alberto Msando, tuna akina Millard Ayo, tuna Weusi, tuna akina Vannessa Mdee, Navy Kenzo, Nisher... Hao ni vijana baadhi tu ambao kujituma kwao kuna onyesha kunavyowalipa.. Hao ni mfano tu wa hao wavaa minyonyo wa Ngaleloo walivyo tofauti na wavua samaki wa Mwanza..

Nikikwambia nitajie mentor yeyote wa vijana huko Mwanza au anayejulikana hapa nchini akitokea huko Mwanza hayupo hata mmoja..

Definition ya HDI ni hii "The Human Development Index (HDI) is a composite statistic of life expectancy, education, and per capita income indicators, which are used to rank countries into four tiers of human development. A country scores higher HDI when the lifespan is higher, the education level is higher, the GDP per capita is higher, the fertility rate is lower, and the inflation rate is lower." HDI haiangalii blah blah zako za kuvaa minyonyo au kuvua samaki.. Inaenda mbali zaidi na kuangalia mfumo mzima wa maisha kwenye jamii husika. Ndio maana leo hii USA pamoja na Utajiri wake wote na kuongoza kwa kuwa na viwanda na wazilishaji wa kila kitu kwenye HDI list wao ni wa nane na wamezidiwa na nchi nyingi tu kutoka ulaya kama Norway, Ireland, Netherland, Germany, Australia, Denmark na Switzerland. HDI inaonyesha hali ya ubora wa maisha kwa kaya moja moja, familia moja moja na mtu mmoja mmoja.. Kwa Tanzania mikoa yenye HDI kubwa ni Arusha, Kilimanjaro na Dar... Mikoa mitatu ya Mwisho ni Mwanza ikiwemo..

Kwahiyo kuna tofauti kubwa sana kati ya vijana wavaa suruali za kubana na maviatu makubwa wenye uhakika wa maisha na kuishi kuliko vijana wachawi wa kisukuma wanaoishi milimani kama ngedere...
Sidhani kama huwa unafuatilia mambo, hao uliotaja wasanii Mwanza wametoka wengi tu, huwa sipendi kutaja taja majina na kusifia watu wakati hainisaidii kitu late mtoto wa Dandu, Fid, Young Killer kwa uchache tu unaweza ukaniambia wametokea wapi...?!
 
Hapana ila najua kuna Samaki na Dagaa na viwanda vya kusindika samaki ambao wanauza kila mahali nchini na nje ya nchi.. Je, hiyo si biashara ambayo ingefanya pata la mkoa likuwe??

Kwahiyo vinyago na samaki wapi wangepaswa wainue kipato cha mji?? Yaani vimizigo vya watalii vya kulipa tozo za dola 10-100 ndizo zipambane na pesa ya samaki?? Tena watalii wenyewe hawa wa msimu?? Angalau ungeniambia wanaopitisha Tanzanite pale na kwa bahati ile kodi ya Tanzanite huwa inapelekwa Arusha na si Kilimanjaro..

Ukitoa Uhasibu ni chuo gani kimepelekwa Arusha kwa upendeleo?? Hivi Arusha University nacho ni chuo cha kusema kinabeba mji?? Makumira na Uhasibu ndivyo vyuo pekee vikubwa Arusha na Makumira ni chuo cha binafsi. Hicho Mandela wala bado hakijaonyesha any positive impact in Arusha.. Vyuo vingine kama Esami wala huwezi kusema ni serikali..

Kama mna maduka mengi na biashara nyingi zinalipa hapo kwanini Kilimanjaro inawazidi kwa makusanyo ya kodi? Je, Kilimanjaro kuna viwanda vingi kuliko Mwanza?? Ulikuwa unajisifu hapa Mwanza ina kiwanda kikubwa cha TBL na SBL, bado kuna viwanda vya kusindika Samaki na utitiri wa viwanda.. Moshi kuna kiwanda cha Sukari pekee.. Kama unasema Moshi kuna Mlima basi na Mwanza kuna ziwa ila kuna Msukuma yeyote mwenye Kiwanda cha kusindika samaki huko?? Kuna msukuma yeyote ana kampuni kubwa ya uvuvi?? Kama yupo ni vizuri lakini kama hayupo usilalamikie Kilimanjaro kwasababu tu kuna watu wanatumia Mlima kama fursa kwao.. Wamejenga Hotels ambazo zinalaza watalii, hizo Hotels zimeajiri watu walipwa mishahara.. Hizo hotels zinahitaji vyakula na mboga mboga watu wanalima wanajipatia fedha.. Wamefungua kampuni za Tours, hizo kampuni zinaajiri watu hao watu wanalipwa mishahara.. Mzunguko wa pesa ndio uko hivyo na si useme tu eti kule serikali imependelea ndio maana kunatoa kodi kubwa.. Kodi inalipwa na watu si wanyama wala hicho unachoita taasis

Hao wazungu wanaokaa kwenye Estate unazosema wanalipa kipi cha maana?? Kwani Mwanza hakuna wazungu wanaofanya shughuli zao huku?? Kilimanjaro ukitoa wale wazungu walima maua hakuna Mzungu yeyote mwenye kitu chochote cha maana pale. Kuanzia Hotels na biashara zote kubwa Kilimanjaro zinamilikiwa na wazawa. Wewe nikikuuliza hapa Mmiliki wa Malaika Beach humjui utaishia kuhisia tu. Hakuna kichaa atakwamini eti wachagga mpaka kule migombani wamedondosha mahekalu sababu mzungu mlima maua anawajengea, hakuna atakayekwamini ukimwambia Petrol Station iliyopo pale Nfon Machame na nyingine iliyopo Uduru Machame zimejengwa sababu ya magari ya wazungu.. Ni kwasababu ya hali nzuri ya wananchi ndio maana mpaka vijijini huko watu wengi tu wanamiliki magari na biashara zinafanyika.. Ndio maana mpaka UN na tafiti mbalimbali za wataalam si za blah blah zinasema Dar, Arusha na Kilimanjaro ndiko wananchi wake wanaishi kama binadamu kuanzia makazi yao mpaka huduma zinazowazunguka ni bora. Vijana wengi wa Arusha na Moshi maisha yao ni bora ukilinganisha na huko Mwanza... Huko Mwanza elimu tu ni kizungumkuti watu mmekalia kurogana na kuua bibi vizee kwa imani za kishirikina.. Mnaua Albino kwa kukosa elimu na ujinga uliowajaa.. Madini yamewazunguka lakini ni maskini wa mwisho.. Arusha kuna Tanzanite tu lakini kuna wajanja wengi hizo hizo Tanzanite zimewatoa sana na wengine wana miliki mpaka mashimo..
Inamaana hayo uliyosema hayafanyiki huko Mwanza...?!
 
Back
Top Bottom