Nilichogundua kuhusu Arusha

Nilichogundua kuhusu Arusha

Hivi huu upinzani wamwanza na Arusha mbona umekua mkali hivi.Utazani mmechukuliana Mme.
 
Aisee mbna unaongea kshabiki sana.....wamachinga Chuga hawapo, wachuuzi chuga hawapo? Nssf hotel ina miaka kumi? Mwanza kuna hotel mbili..? Rock city mall kuna wauza dagaa? Haha haaaaa...lofa sana wee....jitafakari af urud
Wapo lakini kwenye maeneo Maalum kama Crocon sio wanazagaazagaa kama mbwa wenye kichaa.
 
Nan asiyejua utalii sa hv chuga umekauka.....mpak hotel zinauzwa af unatuletea takwimu za serikali ya mwendo kasi.... Haya ndo mambo ya bandar kukauka mizigo af mnatwambia bandar ipo shwar na mapato yamevuka lengo
Kama mambo huyajui uliza hakuna hotel iliyofilisika Arusha zinabadilishwa umiliki tu zipo hotels kama 5 five star tupu mpya Arusha 2 hazina mwaka zinazinduliwa na 3 zipo U/C early stages Arusha will always be a hot cake for tourism.
 
Arusha hiyo ni bar sio Lodge.

Hizi ndio Lodge za Arusha.
The-Ngurdoto-Mountain-Lodge-Tanzania.jpg
Hahahahah aisee acha kuua mbu na nyundo ,umenifurahisha sana kumwonyesha jamaa toafauti ya Lodge na Bar ,mkaribishe tu hata First left au Sakina Bar ale kuku wa kuchoma wa kienyeji
 
Hahahahah aisee acha kuua mbu na nyundo ,umenifurahisha sana kumwonyesha jamaa toafauti ya Lodge na Bar ,mkaribishe tu hata First left au Sakina Bar ale kuku wa kuchoma wa kienyeji
Hahaa Uncle kwa kweli nimetumia nguvu kubwa kupita kiasi niwie radhi huyu mwisho ni kwa mrombo huko namuonea bure anaweza kusema hapo ni Europe.
 
Uwanja wa ndege wa arusha upo kisongo nje kidogo ya mji wa arusha. Una milki ya eneo kubwa kiasi kwamba endapo ukiboreshewa miundombinu unaweza kuwa na hadhi ya kimataifa. Ila kwa sasa zinatua ndege ndogonna za wastani hasa zile za watalii na upo busy. Si kweli kwamba ars hakuna uwanja wa ndege. Kumbuka mwaka jana wakati ndege kubwa ya ethiopian air line rubani alijichanganya na kutua arusha airpport badala ya KIA japo kwa udogo wa run way ilienda kutua nje ya lami.
Jibu lako linaendana na jina lako, Ubarikiwe
 
Najifunza kitu Mwanza is Far most beautiful compared na Arusha ingawa watu huwa ni wakali humu.

Beaches, kuwa na international airport na ukaribu wa mbuga ya.Serengeti haihtaji mtu kupiga zumari kumbe.
Tupe takwimu za kiwango cha watalii na makampuni ya kitalii kulinganisha na Arusha.!!

Mwanza usingizi bado mkali sana kulinganisha na Arusha. Mbuga kuwa karibu na huwezi kuzitumia unapata faida gani?
 
Nyingine hii hapa inajengwa mwanza ujenzi wake unaanza January 2017...hii ni funga kazi....we unaona kama hakuna high and middle class people to afford such huge project...lakni wenzako wanaona kuna opportunity....hyo rockcity mall rud tena uangalie hutaamin majicho.....watu wa chuga punguzeni unaaaa

View attachment 403928View attachment 403929View attachment 403930
Mbona kama bado haijaanza kujengwa umetuwekea picha za kupiga badala ya blue print?

Ya kwanza na ya pili zinaonekana kama blueprint lakini zilizobaki ni ziro kabisa.
 
Mpe facts huyo hajielewi watu wanapiga virgin cash madollar watalii wanamiminika yeye anaongelea kutoka BUHONGWA mambo ya Geneva.
OK no problem....first naomba amwage hapa hzo data za kuongezeka kwa mapato ya utalii kwa mwez august from 7 bill up to 11 bill ukilinganisha na mwaka uliopita kwa mwez huo huo...second hayo mapato in ya utalii wa arusha tuuu au ni total revenue ya tourism kwa mikoa yote? Mana inaonekana mna mihemko sana
 
Sasa nyie bata mnalijua washamba tu villa ni vumbi tu imezungukwa na mitaro ya maji taka mabati ni kutu tupu viwanja vya kibabe vipo chugga sio hayo majamvi yenu.

Kwanza jengeni vyoo kwanza limjii ng'ombe wanachunguwa city center ukiingia tu ndani kidogo utafikiri upo bariadi au simiyu jiji limejaa ulugaluga washambaa wanashangaa tu vibugando vyenyewe vifupi vinahesabika.
Mkuu niongezee kidogo. Yaani fasheni ikiingia mwanza, Mji mzima unaivaa wanakuwa saresare mji mzima. Alafu useme Mwanza kuna wajanja ?
 
Back
Top Bottom