Nilichogundua kuhusu Arusha

Nilichogundua kuhusu Arusha

Huo uwanja ndio nausikia leo, bila shaka utakuwa mdogo sana........ Shukuruni KIA upo jirani ndio unaokoa jahazi.
Huwezi kujua kama hutaki kujua. Nakushauri ukasome ili ujue viwanja kwa kupitia CAA na TAA ndio utagundua kwamba Arusha Airport au kwa code za AITA and CAA inaitwa ARK siyo airfield bali na Regional Airport kama vilivyo Mwanza, Kigoma, Dodoma, Songea, Mtwara Tanga ect
 
Haina stendi ya maana si ya daladala wala mabasi, maendeleo kama yanaenda kwa kusua sua, boda boda mmoja kaniambia angendelea mkwere wangekua mbali,

ila mwenyeji mmoja kaniambia atanionyesha sehemu kadhaa zitakazonifanya niamini kwamba Moshi kwa Arusha si chochote,

Japo upande wa population naona wapo vizuri, kama upo Arusha niambie ni wapi nikienda nitapiga salute na kuacha kufananisha huu mji na sehemu za kawaida, asanteni

We ndo umepotea kabisa! Baki na mtazamo huo huo na waendesha bodaboda
 
🙂🙂🙂🙂🙂 Runway imeisha hahahahahaaaa🙄
Najua unacheka kwa kunikebehi kwa sababu hujui tofauti ya uwanja wa KIA na Kisongo. Ni kwamba ndege inapotua KIA ina ingia kwenye runaway then inakata kona ili iweze kwenda terminal. So kuna option ya kukata kona. Kisongo hakuna option ya kukata kona ili uende terminal. By the way kwani runway haina mwisho?
 
Who are u mpaka kutousikia kwako kudhibitishe udogo wa uwanja..for your info ni uwanja mkubwa ila hutumika sana na TMA for military training,pamoja na hayo kuna civil avation pia

Acha kudanganya ww unaukubwa gan ule uwanja? Au kwa kutua vile vindege vya bob sembeke??
 
Acha kudanganya ww unaukubwa gan ule uwanja? Au kwa kutua vile vindege vya bob sembeke??

Year
Passengers Aircraft movements Cargo (kg)
2010
154,174
11px-Increase2.svg.png
20.5% 19,460
11px-Increase2.svg.png
15.5% 812,930
11px-Increase2.svg.png
6.69%
2011 112,433
11px-Decrease2.svg.png
-37.1% 21,306
11px-Increase2.svg.png
8.66% 41,238
11px-Decrease2.svg.png
-1871%
2012 162,268
11px-Increase2.svg.png
30.7% 22,690
11px-Increase2.svg.png
6.10% 192,725
11px-Increase2.svg.png
78.6%
2013 187,911
11px-Increase2.svg.png
13.7% 23,868
11px-Increase2.svg.png
4.94% 212,760
11px-Increase2.svg.png
9.42%
2014 179,511
11px-Decrease2.svg.png
-4.68% 23,904
11px-Increase2.svg.png
0.15% 148,390
11px-Decrease2.svg.png
-43.4%
2015 142,224
11px-Decrease2.svg.png
-26.2% 20,692
11px-Decrease2.svg.png
-15.5% 141,061
11px-Decrease2.svg.png
-5.20%
Source: Tanzania Airports Authority[8]
 
Najua unacheka kwa kunikebehi kwa sababu hujui tofauti ya uwanja wa KIA na Kisongo. Ni kwamba ndege inapotua KIA ina ingia kwenye runaway then inakata kona ili iweze kwenda terminal. So kuna option ya kukata kona. Kisongo hakuna option ya kukata kona ili uende terminal. By the way kwani runway haina mwisho?
Aviation industry naijua vizuri.....na wala sijacheka kukukebehi..... nimecheka hapo ulipoandika runway imeisha!!!
Kwa kifupi runway ya KIA ni 3600 meters (3.6km) long na Arusha airport ni 1639 meters (1.6km) long hivyo Arusha airport ina runway fupi ina sehemu pia ya kugeuzia ndege ila si kwa ukubwa wa ile boing ya Ethiopian airline
 
The manager however pointed out that despite the drop of aircrafts movements at the terminal, the Arusha Airport still ranked second, from Dar-es-salaam airport (now named Mwalimu Nyerere International Airport) in handling the highest number of aircraft in the country and was in third position from Dar and Mwanza airports in terms of passenger traffic..

Hayo maneno ni ya 2005
 
2005....its over 10yrs....obviously kuna mabadiliko makubwa.
 
2005....its over 10yrs....obviously kuna mabadiliko makubwa.
Mkuu mabadiliko sio makubwa sana sababu waliipa kisogo na kuamua kuimprove KIA... Na hata hivyo hilo sililaumu, it was very strategic
 
Back
Top Bottom