Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,812
- 6,326
Hahaha..unatafuta drama mzee.Uniqueness ya Dodoma ni omba omba wengi au?
Nilidhani Ben Paul alitoa somo kwenye track la dodoma.
Hahaha..unatafuta drama mzee.Uniqueness ya Dodoma ni omba omba wengi au?
Ahsante sana mkuu umemjibu vyema●●●HAHAHAHA....!!!!●●●
Wewe bado hujaifahamu Arusha hata kidogo. Ukiwa Arusha kama ni starehe utaenjoy hivi vyoote vifuatavyo:-
1) Climatic Condition:
Kanda ya kaskazini kwa ujumla climate yake ni nzuri sana especcially Arusha na Kilimanjaro.
2) Good & Executive Hotels,
Hotel zote kubwa za Arusha ni za 5 * na zipo za kutosha
3) Misosi, Nyamachoma, All fast foods mpaka vyakula vya asili ya kimasai na kichagga.
Kumbuka: wachoma nyama wazuri wanatokea huku na sio wale wa Dsm wanaobabua nyama kama mahindi ya kuchoma.
4) Arusha ipo karibu sana na Airports 3, yaani KIA, JKIA na mdogo wa Kisongo.
5) Swimming pools za hadhi nzuri sana
6) RALLY & Horse Ridding Je?
zipo karibu kiiila mara na maeneo yaliyotengwa kwaajili hiyo.
7) Really National Parks
ie. Ngorongoro, Manyara, Arusha National Parks, Tarangire.
8) Mt. Meru Je?
Kumbuka: after Kilimanjaro Mt. inafuata Mt. Meru na ina barafu throughout
9) Uoto wa Asili je?
Huko Olmotonyi Forest unapajua?
10) Water falls je?
Kuanzia Duluti juu, Meru na Ilboru juu zipo
11) Bar & Night Clubs Je?
Club D, Masai Camp, Apex, Babylon, Via Via.
12) Mito na Mabonde je?
13) HipHop Musics Je?
Unawajua hawa?
-Watengwa?
-Weusi?
-Nako2Nako
-Juniour Nakoz
Sasa umeifahamu Arusha? Usiishie Stand Mgeni. Karibu....
●ILA WARNING:
Ukitaka kuijua Arusha uwe na PESA.
Tafiti zinaoneshaArusha is the Geneva of Africa
hujamjibu au kumpa mwanga elimuplatformAhsante sana mkuu umemjibu vyema
Halaf mitaa yetu hata km ni Ngaleloo c michafu km dar
Watuachie Ar yetu
Arusha is the third largest city in Tanzania with a population of 416,442 people. Arusha is also the capital of the Arusha Region of the country. The current site of the city was first settled at some point in the 1830s by the Masai people who came from the town of Arusha Chini.Japo upande wa population naona wapo vizuri, kama upo Arusha niambie ni wapi nikienda nitapiga salute na kuacha kufananisha huu mji na sehemu za kawaida, asanteni
Upo wa KIA...Sio swala la kutua kama ni ndege kutua hata njiwa wanatua hapo ,kwanini hamna ndege za kueleweka zinazoanzia safari hapo? Vindege vya hapo kisongo ni vile vidogo vidogo sio za abiria ARUSHA HAKUNA UWANJA NA STAND
UniambieHapo kwenye nyekundu sijakuelewa kidogo..nifafanulie
Dah! Wewe ni muongo, 14 km...?!Sasa kiwanja cha ndege kipo KIA km14 tu kutoka arusha mjin unataka kiwanja kingine cha nini?
Kile cha kisongo kinatosha kwa ajili ya ndege za kawaida
Yaani nimekufatilia post zako unabishana kishamba sana
Aisee kwelihujamjibu au kumpa mwanga elimuplatform
kwanini Arusha haibadiliki
inachotakiwa sasa siasa ziwekwe pembeni Jiji hilo lihamishwe nje kidogo ya huo Mlima Meru, shuguli za kitalii zibaki hapo mjini tu.
- ukiitaja tu mitaa na majengo ya tangu 1967 ni kweli hayajabadilika hata stend ni bado ya 60's
- Arusha ardhi ya serikali hakuna kila mtu ni mjanja kamiliki eneo kubwa na kufanya mashamba toka enzi za makabwela,
- ukiingilia upande wa Mashariki Kikatiti mpaka Meru yote ni ugomvi wa ardhi, ni sawa na Kenya kila mtu anazuia mwenzake au Serukali kuchukua ardhi bila ya fidia
- ukitolea barabara ya Kisongo nako wamebana hasa, ya Naorobu pia
La sivyo Arusha bado ni pachafu, barabara zinazojengwa hata vyakula na usafi ni zero, Wali nyama ya ng;ombe 4.500/= ukigusa chips kuku kwa robo kuku 5,000/ du nyama choma usiombee
Najua umeelewa ila huwezi kukiri hapa maana lengo lako ni kuikosoa Airport ya Arusha.,Ndo umeandika manini sasa
Mkuu ni kujitambua na uzalendo wa kweli. Watu wa Arusha bila kujali ni kabila gani wala dini gani. Natamani Tanzania mzima wangekuwa hivi.Watu wa huko mna mahaba yaliyopitiliza
Sasa si uvitaje tujue..sasa kama hauuwezi vitaja tutajuaje...Mkuu kuna vitu Chuga hata dar haioni ndani...shida tu ni kuwa havipo collectively
🙂🙂🙂🙂🙂 Runway imeisha hahahahahaaaa🙄Sio dharura as such, rubani alidhani ametua KIA. Sasa alipotaka kupiga kona kama wanavyofanya KIA akashtukia runaway imeisha.
😀😀😀😀 heheheheeee aisee nimecheka........Hivi mwaka huu FIESTA itapelekwa hadi Arusha au itaishia Moshi - Kilimanjaro?Njooni na masingeli yenu tuwapopoe.
Inaishia Moshi chief..😀😀😀😀 heheheheeee aisee nimecheka........Hivi mwaka huu FIESTA itapelekwa hadi Arusha au itaishia Moshi - Kilimanjaro?
Hahahahaaaa yaaanii wewe...........😀😀Duh watu mmeleta mahaba tu hapa hakuna asiejua kama arusha ni kuzuri, again arusha ni pazuri mnooo ila kwanini stand ipo vile ,kwanini hakuna kiwanja cha ndege cha maana?
uwanja wa ndege mbona upo mkuu?Cha kushangaza zaidi ni hakuna uwanja wa ndege