FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,337
- 13,656
Mji Mkuu wa NamibiaDuh Windhoek mimi nilijua ni bia kumbe kuna mji unaitwa hivyo
Mji Mkuu wa NamibiaDuh Windhoek mimi nilijua ni bia kumbe kuna mji unaitwa hivyo
Vitu vya msingi vipi ndugu Terrence?? Viweke hapa ili tuvijibieArusha kizuri ni mamanzi wazuri lakini wameungua meno nyie jamaa mnaotoka huko toeni point za msingi badala ya kusingizia tafuta mtu akuzungushe, sijui ukija Arusha uwe na hela sijui zunguka wapi tajeni vitu vya msingi ila binafsi Arusha hakuna kitu.....
Ona sasa mtu mzima unanizidi miaka 50 afu unaleta utoto aagrrr shkamoo kwanza....
Hoja hujibu unaruka ruka tu ,nishasafiri mara mbili nakata tiketi za precision kwenda mwanza ila tunapanda costa hadi KIA sasa kwanini hatuanzii safari Arusha?????
Mkuu kuna vitu Chuga hata dar haioni ndani...shida tu ni kuwa havipo collectivelyArusha kizuri ni mamanzi wazuri lakini wameungua meno nyie jamaa mnaotoka huko toeni point za msingi badala ya kusingizia tafuta mtu akuzungushe, sijui ukija Arusha uwe na hela sijui zunguka wapi tajeni vitu vya msingi ila binafsi Arusha hakuna kitu.....
cc: FisadiKuuUwanja wa ndege si upo wa KIA, ulijenga strategically kuhudimia Moshi na Arusha, tena wana uwanja wa ndege ndogo pale kisongo ambao ni mzuri kuliko viwanja vingi TZ ukitoa hivo international airports!
Tatizo lako unafananisha DSM na miko mingine, dar ndo jiji haswa majiji mengine yamepewa hadhi kisiasa tu! Ukitaka fananisha Arusha na sehemu nyingine, ifanishe na Mwanza, Mbeya,Tanga,Ntwara ..... ndo utakuwa unaitendea kazi
Nisichopenda kuhusu Arusha ni barabara za mitaa hakuna, ukiacha barabara kubwa koote kwingine ni vumbi tu na ziko lowly maintaned tofauti hata na Dom
Waliojenga hicho kiwanja wana akili sana. Ndege wawili kwa jiwe moja. Yaani mtalii anaetaka kwenda Kilimanjaro/Arusha wanashukia sehemu moja.Dada utajengaje viwanja vikubwa viwili within 50 Kilometers?? It is not economic viable. Kutoka Arusha stand mpaka KIA ni Kilomita 50 hivyo hivyo kutoka Moshi stand mpaka KIA ni kama kilomita 30..
Nchi nyingi tu duniani viwanja vya ndege vipo pembezoni na mji..
Mkuu cha kushangaza wapiga kelele hilo hawalioni..Waliojenga hicho kiwanja wana akili sana. Ndege wawili kwa jiwe moja. Yaani mtalii anaetaka kwenda Kilimanjaro/Arusha wanashukia sehemu moja.
Mkuu we umenena. Dar ndio kila kitu. Anyway ngoja niangalie ligi ya watu wa Mwanza na Arusha hapa maana kila siku wanatunishiana ubavuManeno mengi tu lakini TZ mji ni mmoja tu. DAR ES SALAAM. Huko kwingine sijui hali ya hewa sijui milima sijui simba ndo vitu gani? Huko ni porini, jiji kwa TZ ni Dar tu, kiasi na Mwanza.
Hapo kwenye nyekundu sijakuelewa kidogo..nifafanulieNikikwambia huelezee wapi Arusha iliposahauliwa, pamoja na mazuri mengi iliyo nayo unaweza niambia?
Ha ha ha watanivutia bangi leo
machalii watakutafuna
kuwatukanisha mji wao
wakati wanauona kama peponi
wanatumia nguvu nyingi kuuweka juu![]()
Endelea kufatilia za kishamba zaidi zipo njianiSasa kiwanja cha ndege kipo KIA km14 tu kutoka arusha mjin unataka kiwanja kingine cha nini?
Kile cha kisongo kinatosha kwa ajili ya ndege za kawaida
Yaani nimekufatilia post zako unabishana kishamba sana
Ndege naona picha tu kwenye tv bado sijazionaNafikiri hats ndege unaionaga tu kwenye TV unasema ulishafika Arusha precision wakakupakia kwenye shuttle KIA wakati hats Arusha airport wanapakia na kushusha?
![]()
nyingi sana mi nilidhani unauliza zinazofanya safari nchi za ulaya? hata baadhi ya ndege za kenya wanatua Arusha airport.Asie na elimu nani?
kuna ndege ya abiria inafanya safari Arusha mwanza ,Dar na kwingineko??? From Arusha sio KIA
Kwa hiyo na JK International Airport pale Dar iko kichwani mwa JULIUS NYERERE? KILIMANJARO ni jina kama iliyo julius nyerer dear.Kipo kilimanjaro sio arusha
Ndo umeandika manini sasaKwa hiyo na JK International Airport pale Dar iko kichwani mwa JULIUS NYERERE? KILIMANJARO ni jina kama iliyo julius nyerer dear.
Ahsante at least umenijibunyingi sana mi nilidhani unauliza zinazofanya safari nchi za ulaya? hata baadhi ya ndege za kenya wanatua Arusha airport.
Umesahau Moro na iringa pia Pako biyeeeKwa tulioisakanya TZ tunajua, ukisema jiji unamaanisha DSM then Arusha, Mwanza kwa karibu, ila Mbeya, Dom (ya sasa), Tanga, Mtwara na Unguja ndo zinafuatia
Mikoa yoote iliyobaki bado sana
Ni mtazamo wako, japo naupinga lakini nauheshimu.Nimetembea yote Arusha is top.