Nilichofanya leo Mlimani City

Mleta thread ni lofa na mwenye chuki na uislam

Ni kweli kabisa
Ndio maana akaanza kwa maelezo kuwa Oooh! Kavaa Kanzu!! Mara ana Ndevu!! Hayo yalikuwa na umuhimu gani kuyaelezea?! Mtoa mada jipange huyo mtu ni wa kawaida tu nashangaa wanaokusifu!!
 
Unafikiri angekuwa na Nia ovu ange ji expose hivyo?, lala usingizi wenye kazi zao walishamuona kabla yako.

Mkuu si kila mwenye nia mbaya anaonekana.jamaa amefanya jambo zuri kumtilia shaka na kumfuatilia.
 
Unafahamu sababu ya kuzuia Kupiga picha sehemu muhimu za serikali? Au unaropoka tu!
Utazuia Muuwaji kuua kwa Kuweka Camera ?
Hivi nyie viumbe mmekulia Wapi?
Ungeniambia hizo sababu ndugu. Ila mi navoelewa sababu moja wapo ya kuzuia kupiga picha ni suala la ki usalama kabisa. We unadhani wale magaidi wa West Gate ni kwanini hawakukamatwa? Ni kwamba walikua tayari na ramani na picha ya jengo zima na inasemekana wengine walitoroka kupitia mabomba ya ardhini chini ya lile Jengo.
 
Kwanza inaonesha huyo mtu si mtanzani na ametoa sababu kuwa alikuwa akilinganisha na s.africa,ajabu unaposema haujaridhika na majibu yake sijui sasa ni aina gani ya jibu ambalo ulilitaka? mi nafikiri kama magaidi ndiyo wangekuwa wanafanya kama alivyokuwa akifanya huyo jamaa basi wangezibitiwa kirahisi sana.
 
Bravoooo monaco for been patriotic. When you see people of said description, please contact your nearest precinct.
Jews looks like that chap on the picture.
The one who fill up your belly everyday. [emoji23]
 
Last edited by a moderator:
Mleta thread ni lofa na mwenye chuki na uislam
Makafiri tumesha wazoe! We ulitegemea Muimba kwaya ataanzisha uzi wa Maana?
Msamehe bure, ni kondoo asiejua anachokifanya.
 
Nimejua kwa nn umefanya hicho kitendo just bcuz ana ndevu na amevaa kanzu dah shame on u
 
Nimejua kwa nn umefanya hicho kitendo just bcuz ana ndevu na amevaa kanzu dah shame on u

Jaribu kufuatilia tangu mwanzo wa thread uelewe na si kuruhusu udini kuitawala akili....
Tunaangalia kaskazini upofu wako utulazimu kuangalia mashariki......
Jitathmini upya....
 
Makafiri tumesha wazoe! We ulitegemea Muimba kwaya ataanzisha uzi wa Maana?
Msamehe bure, ni kondoo asiejua anachokifanya.

Hivi na wewe una tofauti gani na faiza..... Mnalala na kuamka na akili ile ile.....
Udini unawashika miguu.......
 
Hivi na wewe una tofauti gani na faiza..... Mnalala na kuamka na akili ile ile.....
Udini unawashika miguu.......
Tofauti yetu yeye ni dada na mimi ni kaka.
Thats all. Hakuna zaidi ya hapo.
 

Kaka nimeku appreciate. ..tuipende nchi yetu
 
Mkuu Monaco,

Ulichokifanya umetimiza wajibu wako wa kusaidia kutoa taarifa za kuwepo kwa mtu unaemshuku na bahati nzuri askari au walinzi nao walikwishamgundua nyendo zake.

Hio ni kazi nzuri na uendelee na moyo huo.

Hao askari au walinzi nao wametekeleza wajibu wao wa kumsimamisha na kumhoji huyo jamaa na hatiame kumwamuru afute picha zote alizopiga akiwa ndani ya Mlimani City na kwa kweli hawawezi kwenda mbali zaidi kwakuwa mtu huyo hajatenda kosa.

Nafikiri wamiliki wa Mlimani City wataona bandiko lako na watachukua hatua zaidi za kuweka tahadhari kwa watalii wa sehemu hiyo na watumiaji wengine.

1. Alama za kutahadharisha na kuonya kuhusu kuchukua picha, kwamba hairuhusiwi.

2. Kuonya kwamba yeyote anaeingia humo Mlimani City tayari anakuwa ameridhia kuchukuliwa picha na kufuatiliwa kwenye CCTV.

3. Onyo kwenye nembo kwamba CCTV ipo kwa ajili ya kutambua, kubaini na kulinda dhidi ya vitendo vya uhalifu na kwamba picha na video za CCTV zitatumika mahakamani.

Ila unafaaa sana kwa kazi za ulinzi nakupa 5
 
Hao mgambo bora waondolewe tu kama alivyoahidi mhe. Magufuri, hawana hata chembechembe za tahadhari za kiusalama. Halafu mkuu monaco si kuna polisi wenye silaha pale mlimani city, mbona hukuwashtua?
 
Last edited by a moderator:
Tatizo ni nini? ni kupiga picha au kuvaa nguo nyeusi? Kama kupiga picha hairuhusiwi, wewe mbona umepiga? Kuna mahali Mlimany City imeandikwa kwamba hairuhusiwi kupiga picha? au yeye haruhusiwi kwa sababu ya nguo alizovaa au kwasababu ya asili yake? Kwamba ungeenda polisi usingemwahi na kwamba ulimtilia wasiwasi!! Kwa kutumia vigezo gani ukahitimisha kwamba alikuwa tishio kwa amani? Askari alimuachia kwasbabu hakuwa na sababu ya kumkamata. Je wewe, ungefuatiliwa kama huyo jamaa na kupigwa picha ungejisikiaje??
 
baada ya kuona hii na nikiwaza kwamba wiki ijayo kuna mahafali ya chuo cha udsm yatakayopelekea kuwa na watu wengi sio siri moyo unashtuka na kuingiwa na kahofu fulani...

Sio wewe tu mkuu hata mimi pia najawa na wasiwasi kutokana na hili tukio. Hongera mtoa habari, ulinzi ni jukumu letu sote
 
utashtakiwa kwa kosa la kumkwaza mwekezaji........chezea tanzania wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…