Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,860
- Thread starter
- #141
Sio wazo baya mkuu, kesho naenda Botswana nikirudi nitakupanga tuongee Bilionea wa 5.Mkuu Tajiri huna Baya, unaonaje tusign agreement tuanze kununua mataifa(Nations)
Sio wazo baya mkuu, kesho naenda Botswana nikirudi nitakupanga tuongee Bilionea wa 5.Mkuu Tajiri huna Baya, unaonaje tusign agreement tuanze kununua mataifa(Nations)
😁😁😁😋Sitaki nataka 😝
🖐🤚 🖐🤚 👍Hutaki Dollars
🤣🤣🤣🥰Naachaje kutaka sasa
Safi bwana bilionea wa 5 ashindee yeye tu.Ushapata wa kukupunguzia au una mchongo unasikilizia
🤣🤣🤣🤣🤣 Madam hapa mbuzi mwenyewe kashajileta kwa muuza supu, ninaamini hatutafungua tena darasa la kuzitega hela.Bado 😁
🔥🔥🔥Leo unaweza kupata hiyo bahati
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nitumiwe chap sasa
Pamoja mkuu, vipi hali ya yule ndugu yako?Ukileta muendelezo nitag Tajiri Sina BAYA
Dah mambo ni mengi mwanangu hadi nasahau kukuita mkuu.. nisamehe ndugu yangu 🙏🙏Hauna baya Tajiri
Huyu ni Deo kaka, ila hilo jina la Edo huwa linatokea lenyewe kwa sababu nililiandika sana kipindi kile, kwahiyo nikijisahau tu ndiyo naliweka automaticallyEdo
Deo
Lipi ni lipi.
Mkuu miendelezo umeiona?Nimeweka siti kumsoma Laima hapa
👍👍👍Hauna baya tajiri😀
Nipo mbali kidogo lakini niliongea nao jana wakaniambia maendeleo mazuri nadhani wiki ijayo akimaliza tiba ntawapa mrejeshoPamoja mkuu, vipi hali ya yule ndugu yako?
Fresh mkali,vipiMkuu niadje