Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,365
- 9,472
Ndiyo unisomee sasa🤣🤣nimefika Lamama.
Ndiyo unisomee sasa🤣🤣nimefika Lamama.
ntazingua lafudhi ya kiswahili sometimes inanisumbua.Ndiyo unisomee sasa🤣🤣
Sawa mkuuNipo mbali kidogo lakini niliongea nao jana wakaniambia maendeleo mazuri nadhani wiki ijayo akimaliza tiba ntawapa mrejesho
Naleta sio muda mrefu mkuu.Tuletee mwendelezo baba lazima chibonge
Uwe na subra mkuu... atapata unafuuNipo mbali kidogo lakini niliongea nao jana wakaniambia maendeleo mazuri nadhani wiki ijayo akimaliza tiba ntawapa mrejesho
Simulizi kama hizi huwa tunalipia hela kupata muendelezo ila kwakuwa tajiri huna baya aanh ni furaha tu kwetu😁Naleta sio muda mrefu mkuu.
Ndiyo kusema🙄?ntazingua lafudhi ya kiswahili sometimes inanisumbua.
Fanya chap😄😄Naleta sio muda mrefu mkuu.
😃😃😃 sawaFanya chap😄😄
🤣🤣🤣 hakika mkuu mimi ni neema kwa watanzania.Simulizi kama hizi huwa tunalipia hela kupata muendelezo ila kwakuwa tajiri huna baya aanh ni furaha tu kwetu😁
Pamoja mkuu
😂😂 ajimix apasukee🤣🤣🤣 Mimi ni jitu la miraba minne jichanganye 🙌
Vibaya sana 😂😂😂😂 ajimix apasukee
We nisomee then record nitumie voicenote kwa chini weka account no kwajili ya payment 🙂Ndiyo kusema🙄?