Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,850
- Thread starter
- #41
๐๐๐ ni Laima mkuu.Hauna baya tajiri ๐น๐น
Ila ni Rahma au Laima?
Au basi tuendelee hivyo hivyo muhimu chai inanyweka ๐น
Hichi ni kisa changu cha kweli sijaongeza hata tuchumvi kidogo, labda hizo mbwembwe za kimaandishi na vile ambavyo nimesema nitaweka bandia ili kukwepa kudakwa na mume wa Laima.