Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 16,398
- 52,404
Hahaha ausio banaVibaya sana 😂😂
Hahaha ausio banaVibaya sana 😂😂
Unaonaje ukianza kutoa Advance kabisa then tumalizie kazi 😂😂, maana huchelewi kunitapeliWe nisomee then record nitumie voicenote kwa chini weka account no kwajili ya payment 🙂
Nampa onyo mapema 😂Hahaha ausio bana
Nilishtuka baada ya kuona anashinda kwenye uzi wa warembo wakali wodi waidi.Ukapigwa na jiwe la utosi 😂😂😂
Safi sanaNampa onyo mapema 😂
sina tabia hiyo Lamama mbona kazi ya kwanza nimekupay vizuri na tips juu...😁Unaonaje ukianza kutoa Advance kabisa then tumalizie kazi 😂😂, maana huchelewi kunitapeli
😂😂😂Nilishtuka baada ya kuona anashinda kwenye uzi wa warembo wakali wodi waidi.
Basi sawa ngoja nifanye kazi kwa weledisina tabia hiyo Lamama mbona kazi ya kwanza nimekupay vizuri na tips juu...😁
Sawa,Basi sawa ngoja nifanye kazi kwa weledi
Asante mkuu barikiwaUwe na subra mkuu... atapata unafuu
Nadhani utoto wa kifikra, nimewahi pigwa matukio mawili akili zikanikaa sawa, hadi leo nikiona mtu amezama katika mapenzi hata kama ana mvi kichwani namwona ni mtoto tu.Hua kinawakuta nini hadi mnapenda na kufikia hatua ya kua mtumwa wa mawazo??
Hii saa moja naiweka mkuu.Mkuu malizia basi au na wewe ndiyo umeamua kututesa kimawzo wasomji wako
mbona huweki? hizi tabia siyo za kitajiri kabisa,Hii saa moja naiweka mkuu.
🤣🤣🤣🤣🤣 mkuu kwani saa yako inasema saa ngapi sasambona huweki? hizi tabia siyo za kitajiri kabisa,